Тёмный

ALIKIBA AVUNJA UKIMYA AFUNGUKA MACHAFU YANAYOENDELEA KWENYE MZIKI,NI USHETANI 

BONGO 24
Подписаться 120 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

#bongo24 #alikiba #diamondplatnumz

Опубликовано:

 

26 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@sixmelody4349
@sixmelody4349 2 дня назад
King kiba unajuwa sana yani unajuwa Hadi unajuwa tena 🔥🔥🔥
@NemesMasawe
@NemesMasawe 2 дня назад
Nakuelewaa sanaaa King kiba
@michelbalume6382
@michelbalume6382 2 дня назад
King je t'aime fort brother.
@depsonathanase6275
@depsonathanase6275 День назад
❤❤❤❤❤ mon king longue vie à vous
@RashidMjbl
@RashidMjbl День назад
Huyu jamaa ako na akili sana...
@Faustinfamilly
@Faustinfamilly 2 дня назад
Team Kiba hapa
@collinndabi1914
@collinndabi1914 2 дня назад
Business wise
@Mr_eye001
@Mr_eye001 День назад
Waeleze wajitume wasitumiwe king kiba 😊😂
@princessplatnum4416
@princessplatnum4416 День назад
Mara oooh iga mwenzio anaenda kimataifa anatrend 1 moja kila siku kumbe wanamsugua aendelee kua najina kubwa
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc День назад
Alikiba muogope muumba wa mbingu na ardhi muogope mola mlezi muogope mola mkarimu msiimbe nyimbo na wanawake wako uchi msiimbe nyimbo na wanawake wako nusu uchi kwanini na ni ajabu kubwa sana nyinyi wanaume mnoimba muziki mashaallah mmejisitiri vizuri mmevaa mavazi sio ya nusu uchi wala ya uchi
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc День назад
Mimi sijasema wavae hijaabu au wavae niqaab au wavae majalabiib wakati wakiimba muziki hapana hasha wakalla Lakini wajaribu kuvaa ya heshima kidogo hats kama wanavaa skirt lakini wavae skirt ndefu pana au magauni marefu mapana au nguo yoyote lakini iwe ndefu halafu iwe pana
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 День назад
Hapo ndio unaona heshima iliyopo ktk kuwajib waandish wa habar wakiwa ktk radio zao na utofaut wakiwa nje tu tena media ming ming😂😂😂
@danielgeorge7404
@danielgeorge7404 День назад
Hilo neno maproduza wa zaman walikuwa hawafikir angelisema mond wengi wengesema anadharau ila kwakuwa kasema kingkiba Wala haitakuwa mjadala
@AngelmackieCharity
@AngelmackieCharity День назад
Ss Yule c mpakwa mafuta😅😅
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc День назад
Mimi nimewauliza nyinyi wanaume mnaoimba nyimbo za bongo fleva na kuwashirikisha wanawake au wasichana au mabinti wakiwa nusu uchi wakiwa uchi kabisa mbona nyingi wanaume hamuvai mavazi ya nusu uchi au mavazi ya uchi kabisa mbona nyinyi wanaume mnavaa mavazi ya stars majeans marefu mapana mbona hamuvai vichupi kama mnavyowavalisha Dada zetu mabinti zetu wasichana wetu wanawake wetu
@Fantastic.-gm1eo
@Fantastic.-gm1eo 21 час назад
Sasa mwanaume akae uchi ili amtamanishe nani😂😂
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc День назад
Kumbe nyinyi lengo lenu ni baya sana lengo lenu ni kuwadhalilisha utu wao mabinti zetu wasichana wetu Dada zetu kwa kuwaonyesha wakiwa nusu uchi au wakiwa uchi eti kwa kisingizio cha kuwapa pesa nyingi nyinyi ni watu wabaya sana yaani mnawadhalilisha mnadhalilisha utu wa mabinti zetu wanawake wetu wasichana eti kisingizio ni kuwapa pesa fedha nyingi sana kwa kuwaacha wakiwa nusu uchi au uchi kabisa
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc День назад
Kwa nini Dada zetu mabinti zetu wasichana wetu mnawadhalilisha kwa sababu ya pesa mnawavalisha nusu uchi au mnaimba nao wakiwa nusu uchi au wakiwa uchi kabis
@yuvenalalphonce5978
@yuvenalalphonce5978 День назад
King hali ya kujiamini imeongezeka sana kwenye interview zake.!
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 День назад
Sabab anayo media nae ko hatak uoga uoga 😂
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc День назад
Kwani mwanamke au msichana au binti hawezi kupendeza mpaka aimbe muziki akiwa nusu uchi au akiwa uchi kabisa
@selesantos8627
@selesantos8627 День назад
King anajua sana
@FadhilLukuta
@FadhilLukuta День назад
Mondi amewekwa huko
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 День назад
Sasa Diamond platnumz ana subscribers wangap na Kiba ana subscribers wangap ko asijifananishe na Diamond platnumz. Ukwel unaonekana
@RashidiMkongewa
@RashidiMkongewa День назад
Diamond gani uyo anaeliwa na jay z
@ibrahimsalim7247
@ibrahimsalim7247 День назад
Huyo choko wenu anayelazimisha umaarufu subscribers wa kununua viewers wa kununua mziki afanyi bila kiki achaneni na king bana tunampenda hta akiwa na subscribers kumi
@Fantastic.-gm1eo
@Fantastic.-gm1eo 21 час назад
Umeshaambiwa mond huwa anafirwa ili aende kimataifa ambacho huelewi ni nini😂😂
Далее
Ozoda & Dilime - Lada
00:36
Просмотров 1,4 млн
Как он понял?
00:13
Просмотров 108 тыс.