Тёмный

Alikiba - CINDERELLA (Album) 

Alikiba
Подписаться 2 млн
Просмотров 284 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 884   
@nduwayesuibrahim1645
@nduwayesuibrahim1645 3 года назад
Kama unajua kiba ndio king nipe like♥️
@MohammadHusseinKalume
@MohammadHusseinKalume 9 месяцев назад
@luendosabah2047
@luendosabah2047 6 месяцев назад
2024💃💃
@mrkhamisaichi3207
@mrkhamisaichi3207 3 года назад
Huu mziki ni wako baba ww ndo mwenye funguo za bongo flavour fanya unavotaka hakuna wakukuzuia hakika ww ndo ONLY ONE KING 🤴🔥
@teamkonde6630
@teamkonde6630 3 года назад
King kiba ameamua kutuludisha utotoni sas🔥
@uwimananuriat712
@uwimananuriat712 2 года назад
🔥🔥
@majaliwamajaliwa5547
@majaliwamajaliwa5547 3 года назад
Leo umeniweza mzee Baba Kiba...Nayaona matukio kadhaa miaka ya 2006, shule hiyo...😂😂😂😂
@erickgulayi2089
@erickgulayi2089 3 года назад
Kutoka kwa #Cinderella mpaka leo #OnlyOnKing sio kazi ndogo ni dhahili shairi kuwa wewe ni Mfalme haswaaa👏👏
@almacyrupia5038
@almacyrupia5038 3 года назад
Kiba nikiboko yamabisho bana
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv 3 года назад
Woooow huu muziki ulipotea sasa umerudi upyaaaaa,, kama unamkubali king kiba like na kukomenti hapa 💥💥💥💥💥💥💥💥💥
@darprprime3492
@darprprime3492 3 года назад
Akili mtu wangu album had leo inaishi🎧🎧🎧👑👑👑 on the top kibaaaaaaaa💥💥💥
@sabrsabra4563
@sabrsabra4563 3 года назад
Ukiskiza ndo utapata moral lesson
@darprprime3492
@darprprime3492 3 года назад
@@sabrsabra4563 achana nayoo 🤣🤣🤣🤣
@georgekinabo68
@georgekinabo68 3 года назад
Wapi like za nguvu kwa King 👑 Kiba
@phillybalile
@phillybalile 3 года назад
Kama pipi vile, ulikuwa unamung'unya Wala haiishi utamu adi Leo hii, real definition of album 👊
@mwambaohealthconsultant
@mwambaohealthconsultant 3 года назад
Albam bora kwa vizazi vyoteee kudadadekiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥😍
@clarampagama3462
@clarampagama3462 3 года назад
Nakumbuka 2007 niliinunua Elfu moja mia tano
@mariahprettyvlogs
@mariahprettyvlogs 3 года назад
My playlist team Kenya in Dubai🇦🇪🇰🇪
@isihakalubuva5383
@isihakalubuva5383 3 года назад
Huyu mwamb ni king kwel jmn coz ana mipango tofaut kbisa akuna msanii anaeweza kufanya ivo Album ya zaman lkn kaitupia you are so talented king as a king🥰🥰💯💯💯💯💯
@ommybamz7242
@ommybamz7242 3 года назад
Mambo vipi ndugu zangu naitwa Ommy Bamz ni msanii chipkiz nime drop ma new song inaitwa #Utaniua nawakalibisha kuisikiliza
@harithkisauji7298
@harithkisauji7298 3 года назад
Njiwa🕊🕊🕊
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 3 года назад
Nataka na album ya Ali k for real Kuna ngoma inaitwa Ni yule umeimba na Queen Darling. Kali vby na nyengnezo km Shamba
@tanzanianews2558
@tanzanianews2558 3 года назад
KING KIBAAAA........NAISUBIRIA ALBUM KWA HAMU SANAAAAAA WANGAPI TUNAISUBIRI ALBUM MPYA???
@ahmednadhiru3725
@ahmednadhiru3725 3 года назад
Acha unafiki
@Vapes_zanzibar
@Vapes_zanzibar 3 года назад
@@ahmednadhiru3725 umeona ee
@ezraernsti1925
@ezraernsti1925 3 года назад
Achaunafki wewe hukusisi hatutaki unafiki
@tanzanianews2558
@tanzanianews2558 3 года назад
@@ezraernsti1925 mziki mzur hauna team jmn
@agaaah6697
@agaaah6697 3 года назад
Ametumwa na boss wake
@jumakalani1109
@jumakalani1109 3 года назад
Legend Kiba album ilishiba sana I can't wait new album nathani itakua bomba zaidi
@ibsk88salim98
@ibsk88salim98 3 года назад
Tunakumbushwa
@MrKatastrophe
@MrKatastrophe 3 года назад
From The Archives 🔥🔥🔥🔥▶️▶️▶️Zilihit kama Nonsense.
@africaninsider
@africaninsider 3 года назад
0:01 - Cinderella 4:11 - Nakshi Mrembo 9:29 - Njiwa 14:52 - Zaidi Yangu 19:36 - Kuteseka ft Dully Sykes 23:35 - Yatima 27:37 - Nashukuru Mungu 33:30 - Nichuum 37:07 - Mac Muga 42:02 - Sabrina 45:57 - Kuforce Mapenzi 48:57 - Namzimia 53:44 - Msela 57:39 - Raggatone 1:01:34 - Sikuoni
@jumasherry9679
@jumasherry9679 3 года назад
Thanks 😂😂😂
@peloabandelwa9099
@peloabandelwa9099 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mungu wangu kuna watu Wana akili ya ajabu kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@peloabandelwa9099
@peloabandelwa9099 3 года назад
Asante kwa taarifa
@africaninsider
@africaninsider 3 года назад
Mac Muga ni mziki ambao huwa unaniongelesha mimi. Somo kubwa sana
@NYAHURURU_ICON
@NYAHURURU_ICON 3 года назад
Wow
@almasimairizi2710
@almasimairizi2710 3 года назад
umetuweza king kiba
@mouxabetto7806
@mouxabetto7806 3 года назад
The Goat 🙏🙏🙏
@aminabernad4626
@aminabernad4626 3 года назад
Kwa Tanzania na kwa wasanii huyu ndio msanii wa pekee nyimbo zenye maadili no matusi yani jaman niraha sana asante mfalme wetu BG 👆 sana💕💕 nainjoi kusiliza nyimbo zako sana huna mbaya kwangu👍🏻👍🏻
@almacyrupia5038
@almacyrupia5038 3 года назад
Kiba atabaki kua juu tu
@uwimananuriat712
@uwimananuriat712 2 года назад
😍😍
@issamussa4953
@issamussa4953 3 года назад
King Kiba mfalme 👑👑👑 wa musics 🎶🎵🎼🎺🎧🎤💿📀💽🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@fahadjinni5845
@fahadjinni5845 3 года назад
Wa kwanza kw ali kiba
@gospeltarent9886
@gospeltarent9886 3 года назад
ONLY ONE KING🇹🇿✴️
@alphamosha5571
@alphamosha5571 3 года назад
Like 👍 hapa kwa King 👑 kiba yupo juu
@UziVert_SA
@UziVert_SA 3 года назад
🔥🔥🔥 hii cinderela irudiwe tena mm sikuwepo anavyoitoa
@mnyamahandsome9297
@mnyamahandsome9297 3 года назад
Dah hii album ilixababixha nipigwe home niliiba ela nikanunua kandaaa
@assumanemuidine4229
@assumanemuidine4229 3 года назад
😃😃😄😄ok abar ya king
@addy03wamfizow
@addy03wamfizow 3 года назад
Alikiba hapa umenifraisha sanaa brazaa hi ndo album yangu toka 2006
@fadk4rever
@fadk4rever 3 года назад
Twaidubili hii ingine albam🔥🔥🔥
@mathewsephraim7425
@mathewsephraim7425 3 года назад
Msanii wangu numbe 1 miaka yote
@bastospirlo2114
@bastospirlo2114 3 года назад
Njiwa
@munguzojean6512
@munguzojean6512 3 года назад
King of the JUNGLE😎
@amjohny7190
@amjohny7190 3 года назад
Yeah I remember this song "cinderella" was one of the best hit in kenya 🇰🇪 from Tanzania 🇹🇿. Can't wait for the new album
@sultanhaji5264
@sultanhaji5264 3 года назад
Let no man take your crown🕵 acha simba akae pembeni alinde mfalme 😏
@ellymtz9687
@ellymtz9687 3 года назад
Here we gooooo for kiba 💪💪💪
@jafemsagati8259
@jafemsagati8259 3 года назад
Old is gold twenzetu team kiba 2sikize ngoma kali 💪💪👑😊
@astongllo725
@astongllo725 3 года назад
Only one king in Tz 🧠🗣
@kevinryt4963
@kevinryt4963 3 года назад
Kwa mpigo! ☝️👑
@wartv730
@wartv730 3 года назад
Hii nyimbo ( Sikuoni ) mbona hatari mazee daah uyu jamaa ni Next level
@rosesamila3609
@rosesamila3609 3 года назад
King always be a king, MUNGU aendelee kukubariki my king 👑
@almacyrupia5038
@almacyrupia5038 3 года назад
Sija ona mwenye mziki mzuri Tz kama #Ali_kiba nakama atatokea bc huyo sikiba bali nikiki nyingi tuu🔥🔥nani yuko pamoja king wetu jamani
@kalamuyangu1
@kalamuyangu1 3 года назад
Hii ndio maana halisi ya MFALME WA MUZIKI mzuri. #KingKiba
@benytv7538
@benytv7538 3 года назад
Real King of bongo flavour
@bazuusnr5593
@bazuusnr5593 3 года назад
Only one King......Kibaaaa🎶
@ericonyura3497
@ericonyura3497 3 года назад
Noma king...... .. nmekubali sauti
@denverabenz7234
@denverabenz7234 3 года назад
The real king is here.... Kiba for real
@ayubuhussein6767
@ayubuhussein6767 3 года назад
❤️💪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@ahammedmahruki8708
@ahammedmahruki8708 3 года назад
Yooh
@akimserast3136
@akimserast3136 3 года назад
@Cheed na
@williamsongoro4397
@williamsongoro4397 3 года назад
Nichum ilikuwa bampa sana king
@jacques_polite
@jacques_polite 3 года назад
Hii ilikuwa kali kabisa mfalme
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 3 года назад
We love you king
@خسنموس
@خسنموس 3 года назад
This is the number of Fans 👇 Only one King...Old is GoLD 🔥🔥
@AbToughHustle
@AbToughHustle 3 года назад
Hii kitu bado ina bamba mpaka kesho…nomaaa
@allykea3380
@allykea3380 3 года назад
Track 12 NAMZIMIA ndio ilinifanya nianze Kumfuatilia king kiba, hapo ndio ushabiki na upenzi wa mziki wake kwangu ulipoanzia, ilikua 2010, ndipo nilinza kuwa teamkiba rasmi. #ONLYONEKING
@jumaadioff9346
@jumaadioff9346 3 года назад
My favorite artist king 👑 kiba 😍 🤝🏽💪🏽💪🏽🥰
@lanafelix8649
@lanafelix8649 3 года назад
Classic Cinderella king kiba👑
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 3 года назад
*You Deserves to be called a "One And Only King"* 👏👏👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Toka enzi hizoooo mpaka Leo bado unawakimbiza khaaaa noma sana
@hamadsuleiman5397
@hamadsuleiman5397 3 года назад
Hapooo namieee nilikuaga bishoooo.jamaniii dah
@mrossybuzz6418
@mrossybuzz6418 3 года назад
Watu Hutoka mbali. He is a Genius.
@Zander.the.Zealot
@Zander.the.Zealot 3 года назад
So many memories. Hii playlist ya nikumbusha mengi bana!... jey wewe?
@maryannemwangi168
@maryannemwangi168 3 года назад
King is here Kenya representing
@mohamedykhalifa7724
@mohamedykhalifa7724 3 года назад
alikiba we ni🔥🔥
@albashirkombo8328
@albashirkombo8328 3 года назад
big up king kiba our only one nilitokea kumuenzi sana tokea wimbo wa nakshki mrembo
@Lemongypsum
@Lemongypsum 3 года назад
I was diamond platnumz die hard fan but am now focusing on alikiba 👑
@clarampagama3462
@clarampagama3462 3 года назад
Yeaaah
@abdulabdallah9688
@abdulabdallah9688 3 года назад
💪💪💪💪💪
@samiramadenge953
@samiramadenge953 2 года назад
🤝
@ngoshazedon4085
@ngoshazedon4085 3 года назад
ONLY ONE KING ANGAIN🔥🔥🔥🔥
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 3 года назад
Woooouh! Viva king tukumbushe kabla ya brand new album 🙏💥
@dinarinewnew7262
@dinarinewnew7262 3 года назад
ilove Ali kiba 🇸🇴🇸🇴 Somali fans 💯
@almacyrupia5038
@almacyrupia5038 3 года назад
One love kwa mfalme wetu
@salumhafidhally5927
@salumhafidhally5927 3 года назад
Waache wajigambe lkn we ndio namba one
@mirugimediacable-q7g
@mirugimediacable-q7g 3 года назад
Good job. Much love from 🇰🇪
@mvnteam
@mvnteam 3 года назад
Chachu koleaa👏👑
@mrjulius5840
@mrjulius5840 3 года назад
Nyimba ya "ZAIDI YANGU" naikubalo sana 😘
@mwingitv6070
@mwingitv6070 3 года назад
If u love KING KIBA gonga like hapa twende mbelee
@ramadhanmpungwe9014
@ramadhanmpungwe9014 3 года назад
Kaz kubwa san
@benhakeem98
@benhakeem98 3 года назад
Hii album imenikumbusha kitambo sanaa
@dullarnurdin9328
@dullarnurdin9328 3 года назад
Only one king 🔥🔥🔥
@nourofficial0505
@nourofficial0505 3 года назад
YEBABA!!!!!👑
@AbToughHustle
@AbToughHustle 3 года назад
Noma hii albam
@dr.bonye1
@dr.bonye1 3 года назад
Huyu jamaa ni nomaaaa sanaaaaa hakuna ata wimbo mmoja aliouharibu zote hit song
@morningstarartproduction8436
@morningstarartproduction8436 3 года назад
Waiting for only one king 👑🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hidayaseleman2397
@hidayaseleman2397 3 года назад
Ww ni nomaa waoneshe watoto watafute wakushindana nao sio ww
@badchido
@badchido 3 года назад
Waziiii#only one king
@sadikibenard4016
@sadikibenard4016 3 года назад
Forever the king 👑💪🔥🔥
@Emmamusiccmb
@Emmamusiccmb 3 года назад
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 👈👈*
@dotonassibu1782
@dotonassibu1782 3 года назад
Nimeangalia broh...ila sijaupenda
@zaidiathumanikarombwe5364
@zaidiathumanikarombwe5364 3 года назад
@alikiba🔥🔥🔥💯
@UziVert_SA
@UziVert_SA 3 года назад
Sitarajii kuona ablum kali kuliko kuja kuwahi kuyokea tz #kiba sinapapara najua Mola ataniap, 🙏🙏
@meshtobi
@meshtobi 3 года назад
So far "KUFOSI MAPENZI" is my favorite track. Nilikuwa sijui jina la wimbo hadi wa leo hii album thanks sana Kiba.
@husseinchema8382
@husseinchema8382 3 года назад
Ukito ,Cinderella, naksh mrembo Kuna njiwa, sikuoni, Mac muga, nichum ni miongon mwa nyimbo pendwa kwangu
@varentini3281
@varentini3281 3 года назад
Moja moja ndo mpango adi
@bamejoe
@bamejoe 3 года назад
Sijui kaa itakuja kutokea album tamu kama hii 🔥🔥🔥🔥
@johslim2895
@johslim2895 3 года назад
Kiba 🔥🔥🔥🔥🔥
@aminanurudini9233
@aminanurudini9233 3 года назад
Aaah tumeanza na Cinderella
@kloppmaniaynwa7977
@kloppmaniaynwa7977 6 месяцев назад
He is unique and a special human being.
@godfreymasanjabundalah4817
@godfreymasanjabundalah4817 3 года назад
Dah mwanang hii ngoma ya njiwa imekumbusha mbali sana ...kiba yupo kama old wine haishiwi utamu ...na Cinderella
@thanihmbaruk378
@thanihmbaruk378 3 года назад
wasalamie kigoma waambie nishaoa
@mwingitv6070
@mwingitv6070 3 года назад
King always 💯%
@jayjus5575
@jayjus5575 3 года назад
I have been a fan since day 1 and still going. More life king
@MariootzViewskhoursago
@MariootzViewskhoursago 3 года назад
Big up..
@oliverv1246
@oliverv1246 3 года назад
Best Album ever✅
@primostemba
@primostemba 3 года назад
Cinderella 🔥
@djaristo5679
@djaristo5679 3 года назад
King kama king🔥🔥🙌🏿
@bundalahamza8902
@bundalahamza8902 3 года назад
Hizi ngoma ukisikiliza akili inawaza mbali sanaa..ONLY KING..
@rahimstarling3679
@rahimstarling3679 3 года назад
Kaka kitambo sana duu!!king
Далее
Mapenzi Run Dunia
4:35
Просмотров 514 тыс.
Ilkinchi hotin oberasanmi deb o’ylabman🥹😄
00:26
Скинь той самой ❤️‍🔥
00:15
Просмотров 17 тыс.
Alikiba feat Jay Melody - Hatari (Visualiser)
3:30
Alikiba - Nahodha (Visualiser)
2:58
Просмотров 344 тыс.
Ilkinchi hotin oberasanmi deb o’ylabman🥹😄
00:26