King kiba....Ile siku nitakuwa Millionare nitapanga safari hadi Dar nikuzawadi for entertaining me tangu enzi za kale .....Much love and support from Nairobi.
ramazan nyanga unajina mzuri lakini una roho mbaya sana ally siyo levo yako unabishana na mtu aumwezi kwa lolote bali utaumia bule alikiba akujuwi utakufa kwa rohoo baya eti aumwezi simba donani kwakuva vikuku kweli alikiba siyo wa kulinganisha na watu wa kiki
Idaya Key umenena Dada Yangu Kiba hamuwezi mond kwa sababu mond ametobowa pua amechora tatooo na ametobowa masikio na vikukuu pia anavaa. ila Kiba hivyo vitu hana kabisa so hawezi kumuweza Kiba
Mkitaka kuamini kua iibeti Ali keshaifanyia kazi ludidi nyuma kipindi anabadilisha nguo alafu yupo chumbani kashika grace ya moo alikua kunanyimbo anaimba ndiyo mtaamini
KING hii bit ilotumika humu hattarii..sijui nyimbo yake itatoka lini,inaonekana ni nyimbo Kali sanaa,ila Mzee baba unachelewa sanasana kutowa nyimbo,na muda si Rafiki kwasasa
yani kiba ww katika wasani wazembe tanzania ww ndo namba 1 yani ww mondi au mwezi kimziki mwana mziki labda lava lava taipu zako naikiezekana lava lava kimziki anakukalisha boya we labda ukalime unaweza ukawa kingi mlimaji
Mshenzi wew lavava Ana nyimbo gn zamkuzid Alikiba hizo nyimbo za kulalamika kl siku gundu na mengineyo hata siyajui kwasababu siyafatiliag nyimbo za WCB wote Awe huyo Simba wenu wote WCB sijawaeleawa ht kidogo bongo ni mmoja tyuu Anaitwa king kiba nasikiliza nyimbo zake ninaemuelewa mashairi mpk kila kitu hasa sijui unaongea Nini hasa jibebe