Hata ngoma sina Presha sina Ugonjwa sina Jina lako ninalo Mistari mitamu unaweza kula nayo wali wallah Team kiba usipite bila kulike please let's support our brother king himself 😍😍
Waseme nini wasiseme,,watoe ngoma kali wasitoe,,walete ngoma zao kila siku wasilete,,,mimi team kiba kwa moyo wangu wote,, napenda ngoma zako kiba kila ninapo sikiza,,milele shabiki wako,,, napenda mziki mzuri,,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,,,nipeni likes basi mashabiki wa king kiba
Sijawahi comment ila leo imenibidi tu tena nina furaha sana YANGA imeshinda kugeuka huku nako kumekucha ALI KIBA pia ameshinda🤣🤣🤣👍👍👍km anawe umefurahishwa km mm twende sawa.
Khadija khadija Dada tulikuwa tunaandamana kumtetea kiba Leo umeona matunda Dada? ametoa tamko rasmi kuhusu kusaidia watu waingie kwenye sanaa kuferi while sio kufeli maisha akaona haitoshi akasema atatembea mikoa yote ya tz na zenji kwa ajili ya kusaidia watu kupima magonjwa na dawa bure hapo hapo . haishia hp akasema anamtambulisha Rasmi msanii Mpya kwenye lebo yako akasema hpn lazima mashabiki wake atupe kitu moyo unapenda sauti ya kutowa nyoka pangoni ikaaza kulalamika hahahahahahaha hatari lakin salama.
Ule ugonjwa ulioniacha nao, Bado sijapona Hata mapenzi ulioniacha nayo, Yamebaki jina Hospitali oooh, Za dunia nzima Nimezunguka kote, Wamepima majibu hakuna Hata ngoma sina(Sina ooh) Pressure sina(Sina eeh) Ugonjwa sina(Sina) Jina lako ninalo Uwepo wako Ndo ulikuwa wangu uzima Naona giza (Ungeniacha hata na mshumaa) Alioo iyooo... Nakumiss... Tena! Tutonana Tena! Hata Mungu akipanga leo Tena! Nikufe kesho Tena! Tutaonana tena Tena! Ifike kesho uliamba Tena! Waniweke kwa mchanga Tena! Nikufe kesho Tena! Ali oooh Labda nikukumbushe, Nilipokuvisha pete Ulisema machache, Hauniachi mpaka nife Maana ngoma sina(Sina ooh) Pressure sina(Sina eeh) Ugonjwa sina(Sina) Jina lako ninalo Uwepo wako Ndo ulikuwa wangu…
MSHUMAA unawaka chumbani wakati upo na CINDERELLA ndani mkila DODO taratibu mwambie MWANA tamlete HELA sio kwamba afikili ni hadthi yeye AJE tena kwa MBIO Kama unahakika kwako ngoma hizi zimekubamba like natoa neno kwa king kiba bs ndugu yangu(uku tukiendelea kula DODO by alikiba
Hii nyimbo nimeenda benk kuchukulia mkopo nimeambiwa nipate like Mia tatu Tu nikachukue milioni 30 nipeni like zangu fasta maana ndo dhamana yangu ya benk
Hii Nyimbo ni tiba ya vichomi, msongo wa mawazo ya aina yoyote hata uwe umevurugwa na stress za maisha Dude hil kutoka kwa Mwenye mziki wake #Kingkiba #officialAlikiba #KingsmusicforGoodMoment dondosha japo like tu ili twende sawa kama una fikra kama zangu.
The illness you left me with it, haven't recovered Ule ugonjwa ulioniacha nao, Bado sijapona Even the love you left me with, remains a name Hata mapenzi ulioniacha nayo, Yamebaki jina Hospital oooh, Worldwide Hospitali oooh, Za dunia nzima I've wandered around, They have measured no answers Nimezunguka kote, Wamepima majibu hakuna I don't even dance (I have no ooh) Hata ngoma sina(Sina ooh) Pressure sina (Sina eeh) Pressure sina(Sina eeh) Ill have no (I have) Ugonjwa sina(Sina) Your name I have Jina lako ninalo Your presence Uwepo wako That was my life Ndo ulikuwa wangu uzima I see the darkness (You would even leave a candle) Naona giza (Ungeniacha hata na mshumaa) Alioo eooo ... Alioo iyooo... With Miss ... Nakumiss... Again! Tena! See you later Tutonana Again! Tena! Even God planning today Hata Mungu akipanga leo Again! Tena! I will die tomorrow Nikufe kesho Again! Tena! We will see each other again Tutaonana tena Again! Tena! Arrive tomorrow you started Ifike kesho uliamba Again! Tena! Put them in the sand Waniweke kwa mchanga Again! Tena! I will die tomorrow Nikufe kesho Again! Tena! Ali oooh Ali oooh Maybe I'll remind you, When I got you a ring Labda nikukumbushe, Nilipokuvisha pete You said a few, You never leave me until I die Ulisema machache, Hauniachi mpaka nife Meaning dance I don't have (Sina ooh) Maana ngoma sina(Sina ooh) Pressure sina (Sina eeh) Pressure sina(Sina eeh) Ill have no (I have) Ugonjwa sina(Sina) Your name I have Jina lako ninalo Your presence Uwepo wako That was my life Ndo ulikuwa wangu uzima
He's whining of the pain from a broken relationship. He says he is sick and in the dark, that she should have left a candle(mshumaa) for some light. Her presence was his health. All left behind is the word love
@@bashirunyoni8812 hahahah mtalala njiani na bado ongeza zingine kama zote ila Baba lao katimba mpaka mwenyewe ajitoe tena kkkk in 2days 2.5M , mchumaa in 2days 8K kkkkkkkk tofauti isioongelewa
Kwa kwel mpk some time naona shida haya kucomment coze mnaniangusha Team Kiba kwa kutonipa ushirikiano ktk like kwasababu mie ndie muwakilishi kindakindaki wa King Music kutoka Zanziba,nipeni faraja basi na kunitia nguvu angalau mara hii nifikishe likes hata 100 basi pls.... Mshumaaaa 👑