Тёмный

ALIYEKUA MUME WA DIVA ATOKWA MACHOZI JUU YA YA JENEZA LA BABA YAKE MZAZI/JUA KALI LAMATA WAFIKA.. 

Carrymastory
Подписаться 475 тыс.
Просмотров 37 тыс.
50% 1

SHEIKH ABDULAZACK AKILIA MBELE YA JENEZA LA BABA YAKE MZAZI #msiba #abdulazack #divathebawse

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 165   
@user-fo5my5pe3b
@user-fo5my5pe3b 21 день назад
Kufiwa ni kitu kizito tuseme Alhamdullah mimi pia sina baba wala mama ila Alhamdullah zaid dua kwa wazazi wetu awasameh maiti zetu awajaalie jannatul firdaous amin yaarab kwa sote
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 22 дня назад
Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejeshwa. Pole Sana mwanangu Abdul Razak.
@Saum-o1w
@Saum-o1w 21 день назад
Alikuw ni mtu mwema wallah 😢 mara ya Kwanza kwenda nyumbni kwake aliniombea dua aki kanishika mkono nilijiona ni mtu mwenye bahati sna hana kisirani na mke wake ni mkarimu sana namuonea huruma alkuw akimpenda sna shekh😢😢 Allah awatie nguvu wana Familia pamoja na waislam wote walioguswa na msiba huu inshaallah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 19 дней назад
Anaitwa shekh nani
@Saum-o1w
@Saum-o1w 19 дней назад
@@Catherine-mh8sw shekh Salum Mubarak """maarufu kwa jin la Mtimkavu
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 19 дней назад
@@Saum-o1w anha sawa ahsante
@homeandaway2811
@homeandaway2811 22 дня назад
Pole sana Abdul, apumzike kwa amani mzee wetu. Abdul kua sasa kaka, jifunze kitu leo, dunia tunapita
@ShadidaAbeli
@ShadidaAbeli 21 день назад
Shekhe Salim Mubarak mti mkavu Allah akupunguzie adhabu ya kaburi amiin
@Hot_rod-lies
@Hot_rod-lies 15 дней назад
Poli sana my bro kazi yamungu mungu amuwekia pema peponi sote njia niheyo nikazia bro
@AminaSendekwa
@AminaSendekwa 22 дня назад
Innalilah wa Inna Lilah rajiun NI Safar ya kila mmoja wetu. Allah akutie nguvu Kaka tuko pamoja katika Maputo hayo
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 21 день назад
Pole sana msiba usikie kwa mwenzio tu inna lillah wanna iley rajiun wabiqul Paul thabit mzee wetu
@aminaramdan3283
@aminaramdan3283 22 дня назад
Polee sana Abduli MWENYEZI mungu Amfutie Adhabu ya kabur😢😢😢..Hii Isikiee Allah Akbar 😭😭😭😭 Uchungu Ulio nao Abduli Najuaa Nilishaondokewa na baba yangu.. Najua Unavyosikia kikubwa ni Duwa Sana Ndio wanayo Hitaji kwa sasa
@RizikRizikissa
@RizikRizikissa 22 дня назад
pole sana Mwalim wg Allah akupe subr
@EstarMichael
@EstarMichael 21 день назад
kweli hiki huwa kipindi kigumu sana pole Abdul Mungu akutie nguvu
@MollyDavis-z6i
@MollyDavis-z6i 21 день назад
Hii naielewa sijawahi kusahau mpaka sasa nikimkumbuka baba yangu nalia Sana Allahu akbar laailahaillah muhammad rasulullah.... Allah ampe kauli thabi
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 19 дней назад
​@@RizikRizikissaanaitwa shekh nanj
@SubiraJohn-k7k
@SubiraJohn-k7k 20 дней назад
Innalilah wainnaylilah rajiuun Mwenyezimungu amjalie kauli thabit!! Poleni sana wafiwa!
@aishaomar9621
@aishaomar9621 21 день назад
Innalillah wainna ilayh rajiun💔😴 poleni sana kaka abdul Allah qkupe subra na imani kwnye kipindi hichi kigumu🙏
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 22 дня назад
Sheehe Salim ,1989 mama alifariki alifika kumzika mama yangu wilays ya Monduli,enzi hizo ukizikwa na shehe Salim wewe unaonekana mwenye bahat mno, Mwenyez Mungu awape pepo njema marehem wetu wote😭😭😭
@neemaabdu1091
@neemaabdu1091 21 день назад
Dah ata Mimi alimzika mama yangu mwaka juzi kisutu
@SubiraJohn-k7k
@SubiraJohn-k7k 20 дней назад
Amina!
@RayanDai-fr7ks
@RayanDai-fr7ks 16 дней назад
Allahumma Amin
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 22 дня назад
Pole sana Abdul na familia Mungu akawe mfariji wenu. R.I.P
@AishaIssa-l4q
@AishaIssa-l4q 21 день назад
Innalillah wainalillah rajuun pole sana ndugu yangu Kwa kifia na baba Yako mzazi
@wahidothman-f5x
@wahidothman-f5x 22 дня назад
pole sana kaka mke ,mume ,baba mama na mtoto uchungu ulionao anaujua allah allah akupe nguvu inshallah
@MohammedSaidi-rn2io
@MohammedSaidi-rn2io 21 день назад
Pole sana brother Mungu amulaze roho yake pahali pema peponi 🤲
@user-wz9no5wx3g
@user-wz9no5wx3g 21 день назад
Pole kipenzi Allah akutie nguvu ktk kipindi hichi kigumu hatuna budi kusema Alhamdulilah
@mwanahawanyambi9440
@mwanahawanyambi9440 20 дней назад
Allah akujaalie subra maalim Abdulrazaq na familia yote.
@ziadayasin711
@ziadayasin711 21 день назад
Innalillah waina lillah rajuuni Allah amsamehe makosa yake porena san wafiya in shaallah
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 21 день назад
Mwenyez mungu akampe makazi mema peponi nasi atupe mwisho mwema yaarabi
@tabutabu8900
@tabutabu8900 21 день назад
INNA LILLAH WANNA ILLAH RAJIUN pole my brother 🤲🤲
@zainabramadhani9838
@zainabramadhani9838 21 день назад
Pole saaana baba ni mtu aliyekuwa na roho yake Arusha yote watu wanajuwa Mwenyezi Mungu ampumzishe Kwa amani
@teedullah5708
@teedullah5708 22 дня назад
Ooh kumbe ni baba ke mzazi pole Sana kkngu mungu akupe subra 🇰🇪
@omarymwamudu9916
@omarymwamudu9916 19 дней назад
Pole sana ndugu yangu mwenyezi mungu akutie nguvu katika iki kipindi kugum amini
@minnahhers7437
@minnahhers7437 19 дней назад
Innalillah wainna illahy raji'iun pole sa Allaah awajalie subra
@ZuhuraMohamed-ny1jr
@ZuhuraMohamed-ny1jr 21 день назад
Sikuwah kujua maumivu ya msiba mpk nlipofiwa na baba yangu mwezi uliopita tar 23 mpk leo nashndwa kuamini, kufiwa kunauma sn jamani😢 Mwenyezi Mungu awape subra.
@SmilingGrapes-ml9ts
@SmilingGrapes-ml9ts 21 день назад
Inna Lilah wainahiley rajoon ALLAH akupe kauli thabit yarabiii AMEEN 🤲
@HhRt-m5z
@HhRt-m5z 20 дней назад
Innaalillahi wainna ilayhi raajiuun pole sana kaka
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 22 дня назад
Inalilah wainahilah rajiun...pole abdul razak
@user-dx1hz3ow7k
@user-dx1hz3ow7k 22 дня назад
Kufiwa kunauma jamani usikie tu kwa mwenzio wengine sie tukikumbuka tu wazazi wetu wametuacha toka wadogo tunalia na kumshukuru Mungu kikubwa dua pole sana wanafamilia
@Dicksonaliko
@Dicksonaliko 22 дня назад
Pole Sana jamani
@karemakarema8260
@karemakarema8260 21 день назад
Innallillah wainaillah rajiun 😭 😭 😭 pole sana Abdul
@AishaKhamisi-o5e
@AishaKhamisi-o5e 22 дня назад
Pole Sana kaka, mbele yake nyuma yetu 😢
@wahidothman-f5x
@wahidothman-f5x 22 дня назад
Innalilah wainaillaih rajjiun allah akupe moyo wa subra kifo ukisikie kwa mwenzio tu kisikukute
@wazambulitv5735
@wazambulitv5735 21 день назад
Innalillah wainna lillah raj'iun 💔🕊️
@ummulokara9534
@ummulokara9534 21 день назад
Innalillah wa inna Lilah rajiun,tangulia kwa amani hiyo ni jia ya marahaba mungu akuepushe na athabu ya kaburi
@user-fo5my5pe3b
@user-fo5my5pe3b 21 день назад
Inna Lillah wainna ilayhi rajioun Allah ampe kauli thabit
@brendashao36
@brendashao36 21 день назад
Uwiii najua maumivu ya kufiwa na mzazi achaa kabisa. Mwenyezi mungu awape nguvu na faraja kwenye wakati huu.
@SophiaAhmeddodo
@SophiaAhmeddodo 21 день назад
Innalilah wainnailah rajighuun Allah awazidishie subira na awape kilicho bora
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 22 дня назад
Pole sana mwanangu kwa kufiwa Allaah amrehemu
@user-ug4dg3zh1w
@user-ug4dg3zh1w 21 день назад
Kwanza Pole kwa kuondokewa na kipenzi chako yote kwa yote sasa ivi habari ya kumdhalilishana mitandaoni yaeche kk angu ktk imani leo baba auko nae tena hayo ni mawaidha tosha km duniani tunapita tunasubiri muda na siku yk
@prisilaKennedy
@prisilaKennedy 21 день назад
Pole sana ndugu yangu mungu akutie nguvu
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 20 дней назад
Msiba hauna mjanja Mungu awatie nguvu wanafamilia.
@oman1oman179
@oman1oman179 21 день назад
Innalillaah wa innalillaah rajiun 😢😢😢😢 mungu amlaze magali pema mzee wetu
@alanoudalseari7208
@alanoudalseari7208 21 день назад
inailah wainailah arjun mungu ampe ulimi tabithi na adabu yakaburi mungu hanamakosa amechukuwa chake amuweke mahali pema
@tanzaniawomenyouthempowerm267
@tanzaniawomenyouthempowerm267 21 день назад
Hapo akimuwaza Diva ndio uchungu zaid
@user-mf2ll7nz5g
@user-mf2ll7nz5g 21 день назад
Mawazo yako finyu.Roho chafu
@abubakarmustwafa-lg8fe
@abubakarmustwafa-lg8fe 21 день назад
Inna lillah wa Inna ilayh rajiun....Inna lillah wa Inna ilayh rajiun 😢😢😢
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 21 день назад
Innalillahi wa Inna ilayhi rajiuun Allah amsamehe makosa yake
@lotusvalleylimited5577
@lotusvalleylimited5577 21 день назад
Innalilah waina ilah rajuun kwakwel hii hali ikikuta ni ngumu sana mzazi anauma jamani.
@fatmajumma8161
@fatmajumma8161 21 день назад
Innalilah was lnna lilah rajiun
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 22 дня назад
Inalillahi wainailahi rajuun. Allah amsamehe makosayake. Ampe kauli thabiti
@ArianaPaul-t7e
@ArianaPaul-t7e 21 день назад
Inalillah waina ilahi rajighun
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 21 день назад
Innalillah wainnaa lillahi rajiun polen familya 😭😭😭
@user-xn7lv8ck3e
@user-xn7lv8ck3e 21 день назад
😭😭😭Inna lilahi wanna inalayhi rajighuni
@glorypetro2204
@glorypetro2204 22 дня назад
Wana arusha tumefiwa jamn dah pole Abdull
@AmanaHussein
@AmanaHussein 22 дня назад
Poleni ndunguu 😭
@RodaMaganga-ye6ye
@RodaMaganga-ye6ye 22 дня назад
Sikia tu Kwa mwenzio jamani omba yasikukute pole sana inauma
@mwanjaarashidi7402
@mwanjaarashidi7402 21 день назад
Poleni wafiwa wote
@fatumakale7004
@fatumakale7004 22 дня назад
Innalilh wainaiiley rajiuni allah amueke pema palipo na wema Amiini yarabi
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 21 день назад
Yesu wangu mtie nguvu abdul na familia yake
@user-ui6wh5ui3e
@user-ui6wh5ui3e 22 дня назад
Innalilah wainailayih rajighun Allah akupe subra katika kipindi hiki kigum kakaang
@anifahussein7682
@anifahussein7682 22 дня назад
Innalilah wainailah rajiuun Allah ampe kauli thabit shekhe wetu😭😭😭
@fatumamorris7581
@fatumamorris7581 20 дней назад
Innah lilah wa innah lilah rajhun
@fallymetoo191
@fallymetoo191 22 дня назад
Allahumma ghufirlahu warhamhu waaskinahu filjannat 🤲
@Aisha-ic1rl
@Aisha-ic1rl 21 день назад
Amin 🤲
@AmanaHussein
@AmanaHussein 21 день назад
Amiin🤲🤲🤲
@womanwoman901
@womanwoman901 19 дней назад
Innalillah wainna ilah rajioun
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 22 дня назад
Pole Sheikh na familia nzima
@HattadxbHatta
@HattadxbHatta 21 день назад
Inna lilah wanna Ilahi rajouna
@MohamedMkota
@MohamedMkota 21 день назад
Arusha tunamsiba mkubwa jmn mwenyz mung u amuondolee. Mchanga wamacho
@user-rr8cw8yl5o
@user-rr8cw8yl5o 21 день назад
Allah ampe kauli thabit mzee wetu
@halimamussa8175
@halimamussa8175 22 дня назад
Innallah wainna illeh rajiunna mungu ni mkubwa kwetu
@user-td6xx2pc5q
@user-td6xx2pc5q 22 дня назад
Pole sana kka
@RAHMAAMOUR
@RAHMAAMOUR 22 дня назад
Ina lillah wain ilalh rajuu Allah ampe kaul sabit Pol san wafw
@glorynyarandu-ln8rc
@glorynyarandu-ln8rc 22 дня назад
Pole sana kwa msiba ndugu
@subbyraibrahimu250
@subbyraibrahimu250 21 день назад
Innalillah wainaillah lajuun😢
@Safreenfeen
@Safreenfeen 21 день назад
Sisi waislam tunaamini mzazi anapokufa kinachomfaa ni mambo matatu Katika mambo hayo ni mwanao Wallah Abdul umeweza kumstir baba yako Tunakuona Naamin hapo anaproud kwa ajili ya mtoto mwema Nia na madhumun ya Abduli anajua Allah Nakuomben na watoto wengine ingeni mfano wa Abdul muwe mbele kuwastir wazaz wenu
@DicksonKulwa-zp9rl
@DicksonKulwa-zp9rl 21 день назад
Pole Sana mwanangu Mungu akutie nguvu
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 22 дня назад
Poleni jamani kufiwa kusikieni tu kwa wenzenu a sasa ndo mtaona umhimu wake
@Riadhanaima-hu7qp
@Riadhanaima-hu7qp 21 день назад
Naomba kujua hizo wanasoma zinaitwaje ,alafu ni sunna ama ni faradh sijui jaman wasilamu nijibuni
@zamzanimakundi2546
@zamzanimakundi2546 21 день назад
Bhidaa
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 17 дней назад
Allah mjuz zaid
@user-xc8gm7vv1x
@user-xc8gm7vv1x 22 дня назад
Dah pole sana Abii😢😢
@raishahatibu7095
@raishahatibu7095 22 дня назад
Pole sn mdogowangu Inalilah wainalilah rajiun😭😭
@user-mq4qc2jw4v
@user-mq4qc2jw4v 18 дней назад
😢😢😢poleni sana na uyaone tu kwa mwenzio 😢😢😢
@BimRamadan
@BimRamadan 22 дня назад
Poleni Sana wafiwa
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 21 день назад
mhhhh yule mzee ameishi jamani alizeeka sana
@chikujuma18
@chikujuma18 22 дня назад
😢😢😢 inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman mola ampe khauli thabiti ndugu yetu
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 22 дня назад
Pole wana family wote
@aminakasim1198
@aminakasim1198 22 дня назад
Pole kakaangu 😢😢😢😢😢😢
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 22 дня назад
Innalillah wainna ilayh rajiun 😥 Allah ampe kauli thabiti
@Dicksonaliko
@Dicksonaliko 22 дня назад
Pole sana
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 22 дня назад
Huyu Abdullah anapenda camera hata kwenye msiba tazama yake niyakuangalia camera Iko wapi
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 17 дней назад
punguza kusema kila muda
@ZaharaSamgweno
@ZaharaSamgweno 22 дня назад
Mbele yetu nyuma tunafata huu mango niwakila mmoja mwanakadiria alihamdulilah mungu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 22 дня назад
Pole ndugu yetu
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 22 дня назад
Pole Abdul
@fatuma5208
@fatuma5208 21 день назад
Innalilah wainalilah ranjauni 😭😭
@SabrinaRamadhan-s9u
@SabrinaRamadhan-s9u 17 дней назад
Pole san
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 21 день назад
Innalillah wainnah lillah rajun
@BenoBeno-c4l
@BenoBeno-c4l 16 дней назад
Inna lillah wa inna ilaihi radjighun Allah yarhamhu
@FaridaKaduguda
@FaridaKaduguda 22 дня назад
Pole Abdul mboa da Dii sijamuona na kila siku alikuwa anamsifia baba mkwe wake kuws wanapendana?
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 22 дня назад
Punguza maneno na mdomo sasa unamuuliza nani
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 17 дней назад
​@@fatmafatu1128😂😂😂nilitaka kumjibu hvhv
@user-dn1wd9ru3r
@user-dn1wd9ru3r 19 дней назад
Huyu mbona kanapenda kujiramba ramba midomo..ndugu yake Diamondi vp😅
@user-fw7ze7rx5h
@user-fw7ze7rx5h 21 день назад
poleni sana yeye bele Sisi nyuma yake😢😢😢
@mrsab303
@mrsab303 21 день назад
Sorry Abdul we khow mzee darushi mtikavu Inalillah waina illahyi rajun
@omante194
@omante194 22 дня назад
Inalilah wainarailajiuyn 😭😭😭
@ElilumbaElibariki
@ElilumbaElibariki 22 дня назад
Polen sana family
Далее
Дежавю, прескевю и жамевю!
00:59
Что думаете?
00:54
Просмотров 790 тыс.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Просмотров 1,9 млн
Msiba wa darweshi mti mkavu ni msiba wa taifa
1:01
Просмотров 1,2 тыс.
Дежавю, прескевю и жамевю!
00:59