Тёмный

ALIYEMSHITAKI AFANDE ATINGA MAHAKAMANI NA WAKILI MADELEKA "ATAHESABIKA AMEBAKA" 

Uhondo TV
Подписаться 601 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@AlvinSospeter
@AlvinSospeter 18 дней назад
Nakukubali madeleka upo sahihi sana pia tupo pamoja broo piga kazi wakili msomi peter madeleka
@user-ow3fz2fh2w
@user-ow3fz2fh2w 20 дней назад
Safi sana peter madeleka nakubali pambaneni uyo mama aliejichubua aje ajibu mashitaka kwanini amewatuma wale washamba wenzie
@edwardkasubi5135
@edwardkasubi5135 20 дней назад
Hon. Adv. Lissu Adv. Mwabukusi Adv . Madeleka Adv . Kibatala Adv . Fatma Karume Adv . Nshalla Rugemeleza Adv . Alute
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 20 дней назад
Hongereni sana watumishi wa Mungu
@AnnaMkasa
@AnnaMkasa 18 дней назад
Mungu atawalipa
@MajiburaAlly
@MajiburaAlly 20 дней назад
Safi sana
@AnnaMkasa
@AnnaMkasa 18 дней назад
Dah kweli
@Yassinseleman
@Yassinseleman 20 дней назад
😂 Tanganyika inawatu majasiri nyie msiombe,huyu kamshitaki kigondo tayari kaka mungu akusimamie mpenda haki wetu
@daudisalum9574
@daudisalum9574 20 дней назад
Yeye mwenyewe wakili kisabo
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 20 дней назад
Sheria inatakiwa iwę Sawa kwa watu wote bila kubaguwa. Serikali isipomuchukulia hatuwa huyu mama Fatuma Kigondo wengi wataona Tanzania Ina sheria mbili. Ya wanyonge na wenye madaraka na fedha. Huyu mama lazima ashitakiwe. Asante baba kwa kumufungulia huyu mama kesi. Mama Mwenye madaraka makubwa, hatari akiachwa bila kuchukuliwa hatuwa. Pengine kaishafanya makubwa zaidi ya haya kwa kutumia nafasi ama cheo chake.
@JuliasMwita-c2l
@JuliasMwita-c2l 20 дней назад
Inji umeamka endelea hivyohivyo waheshimiwa.
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 20 дней назад
Watu waliotoka ktk mifumo wanasaidia sanq
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 20 дней назад
Paul malimi kilasa kisabo, kabila prymary school then sayusayu maswa 1year for pre 4m1 then tukaachana hapo
@audiphastangale1893
@audiphastangale1893 20 дней назад
Huyu mteja mbona sheria kama imelala kichwani anatosha kusimama mahakamani pekee yake bila msaada wa wakili
@Janduzone
@Janduzone 20 дней назад
Kweli bro Huyu wakili yuko fresh san
@JonasPhilimon
@JonasPhilimon 20 дней назад
Mambo hayo
@user-db4cg5mh5b
@user-db4cg5mh5b 20 дней назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@RajabuLanda
@RajabuLanda 20 дней назад
Nasikuhiz vikundi vyamajambazi viko kwenyee vikoxi vya usarama na jexhi la tanzania
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 20 дней назад
Watanzania tuamuke kutoka usingizini wa kujifanya Tanzania ni nchi ya amani. Amani gani kwa polisi ku tenda mambo kama haya? Bila woga wala heshima kwa binadamu. Tutafute muganga wa kututibu huu upole wa kijinga.
Далее