Тёмный

Aliyeota yeye mrefu au amepaa au kuruka (2) 

MTAVASSY TV TANZANIA
Подписаться 38 тыс.
Просмотров 2,4 тыс.
50% 1

Wat huwa wanaona mambo mengi sana usingizini lakini leo tutamuangalia mtu ambae ameona yeye ni mrefu ni nini maana yake njozi hii pia inazo tafsiri nyingi sana na leo nitakujuza sehemu ya tafsiri hizi kwa sehemu kubwa kwa maneno yenye kukusanya maana zingatia sana tafsiri hii utakuta ni kweli tupu wa Allahu aalamu

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@rizikahmad6930
@rizikahmad6930 Год назад
shekhe mm nimeota nimemuona mtu mlefu sana alafu ulefuwake sio wakawaida nimlefu sana
@koshihadiraabdalla5673
@koshihadiraabdalla5673 4 года назад
Asalam alaykum shekh Mimi sijazaa mtoto wa kiume nimeota nimeokota mtoto wakiume mwenye alizaliwa kabla ya kufikiasha mienzi siku ya pili nikaota nimezaa lkni sikuonyeshwa mtoto gani siku ya tatu yake nikaota tena nimezaa lkni kwa taabu sana nikasaidiwa na mamake madam wangu nilipomaliza kwa maana tulikuwa ufukweni mwa bahari na bahari yenyewe ulikuwa na maji kidogo tulipotwaa mtoto kuvuka sehemu ya pili maji yakaanza kuongezeka mpaka kitovuni yule mama akaniambia nope mtoto nikusaidie tuvuke nikamwambia silazima tuvuke tusubiri hukuhuku na ule upande tunao tunaenda kulikuwa na mwanaume anatusubiri na anafuraha Sana Hadi anasema vukeni mrudi huku ,pia sisi tulitokea upande tukavuka kabla ya uchungu inamaana gani
@habibahhabibah9409
@habibahhabibah9409 5 лет назад
Jamni mi nimeota Mr nying nikipaa au nakuwa nafkuzwa na kundi la watu kish napaa huku nikisoma ayatu liqurusiwi au aya nyingi amabazo huwa sizifahamu hiyo nayo ipoje?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 лет назад
Ishara ya kuwa unaulinzi madhubuti kuto kwa M/Mungu au muda wako sio mbali sana hivyo shikamana na ibada
@yusranizar5269
@yusranizar5269 5 лет назад
Shekhe Mimi huwa naota Saana nyele ndefu na nimepata maana yake Allah ibarik fik
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 года назад
Pole sana inaonyesha huwa unapata huzuni mara kwa mara na nina shaka yaweza kuwa ni alama kubwa ya kusumbiliwa na shaitwani unaishi wapi wewe
@ndiwakibetjohn1989
@ndiwakibetjohn1989 4 года назад
Inamaana gani ukiota unapanda au kuvuna mahindi?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 года назад
Poleni huo ni msiba ikiwa sio kipindi cha kupanda na sio mkulima aliyeota ila ikiwa ni mtu wa aina hiyo na mkulima basi fahamu ndio maana yake
@fatemaissaissafatema6310
@fatemaissaissafatema6310 4 года назад
Salaam salaam mbona kimya sana
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 года назад
Wa, salaam habari yako nilikuwa naumwa kiasi🙏🙏🙏🙏
@yusranizar5269
@yusranizar5269 5 лет назад
Na ikiwa umeota shekhe umemuona mzee mwenye nyele nyeupe madevu meupe amekaa kwa kitanda cha mwakisu anakuombea mngu dua mama take nini?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 года назад
Je umeolewa?
@raissamugisha1653
@raissamugisha1653 3 года назад
Mi naota naona watu warefu nini maana yake
@yusranizar5269
@yusranizar5269 5 лет назад
Pia naotaws sana nimevaa puipui leusi maana yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 лет назад
Hiyo ni ndoa buibui ni stara
@pilianthony2442
@pilianthony2442 5 лет назад
Je ukiota samaki wakubwa je
@pilianthony2442
@pilianthony2442 5 лет назад
ukiota junia LA Michele Na ukiota unapanga folen arafu wenzio wapata mifuko minne arafu mm Na pata mifuko 2 nipo uliza walisema hiyo ya kutosha hiyo ndio ndoto yangu
@yusranizar5269
@yusranizar5269 5 лет назад
Ukiota wafanya mapenzi na sura za mumeo au MTU yoyote usingizini umjuwao au usomjuwa au mtalaka U pia nduguyo
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 года назад
Hayo ni matatizo
Далее
Women’s Goalkeepers + Men’s 🤯🧤
00:20
Просмотров 4,9 млн
HUSIA-Wimbo wwenye mahdhi ya kabila la Kigogo
7:30
Просмотров 34 тыс.
Aliyeona ndoto ya nywele [02] (@MtavassyTv
4:51
The Amazing MYSTERIES of CATS in Islam
13:33
Просмотров 542 тыс.