Тёмный

ALLY KAMWE: ATAMBA NA CHAMA BAADA YA USHINDI WA GOLI 6 | AWACHEKA AZAM | CAFCL: YANGA 6-0 VITAL' O 

Ayoma Media
Подписаться 272 тыс.
Просмотров 93 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 91   
@Festoffesto87
@Festoffesto87 2 месяца назад
Yanga raha sana vijana wajitume tunapenda ball na wachezaji waongeze concentration zaidi tuongeze possession na effectiveness tukiwa ktk pitch
@RosePetro-ck8pt
@RosePetro-ck8pt 2 месяца назад
Chama.wewe ni next level bro
@KhaledEbrahem-d9x
@KhaledEbrahem-d9x 2 месяца назад
Ila Kwa yanga hii naitabiria final inshallah
@SebaMluge
@SebaMluge 2 месяца назад
Chama ni hatariii , amehusika gori tano , Kule simba alikuwa haonekani, Pasi unampa pa jobe au fred anapiga nje , huku yanga ukimpa dube chuma ukimpa ki chuma ukimpa muda chuma ukimpa mzize chuma, hatariii xanaaa
@kitomarijames3507
@kitomarijames3507 2 месяца назад
Hakuna kuzubaa huku
@JacquelineMtoni
@JacquelineMtoni 2 месяца назад
😂😂😂😂
@LeticiaBukuku
@LeticiaBukuku 2 месяца назад
Semaji la taifa 💚
@CharlesSylvester-r3r
@CharlesSylvester-r3r 2 месяца назад
Umeona eee
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 2 месяца назад
semaji la burundi
@HalfanStanley
@HalfanStanley 2 месяца назад
Hii ndo yanga daima mbele nyuma mwiko 🎉
@mohamedkhalid-bg8tk
@mohamedkhalid-bg8tk 2 месяца назад
Respect chama.......... See more
@njohollesolloolesoyaih4921
@njohollesolloolesoyaih4921 2 месяца назад
Chama wakati akiwa simba sikumfuatilia Sana lakini kumbe Chama mchezaji mmoja mzuri Sana , siyo mchoyo wa mpira , halafu hapotezi muda pale anatengeneza nafasi ya goli , nimemkubali sana
@KellyKana-q1t
@KellyKana-q1t 2 месяца назад
Kaka comedy zisizidi kak unafurahisha sana 😂😂😂😂😂😂😂
@Mwasitisaid-p6q
@Mwasitisaid-p6q 2 месяца назад
Nakupnda kwel ali ❤️hun bay ✌️
@Prince-rafael
@Prince-rafael 2 месяца назад
Mashabiki wa yanga wanachama wa yanga tusipende kabisa kusikiliza redio za uchwala au wachambuzi viande zaid Sana tusikilize viongozi wetu tu maana Kuna baadhi ya wachambuzi walevi wachambuzi mbugira mbugira wanatumika kutaka kututeteresha wanadahau yanga hii sio yanga Ile Tena, mchambuzi ananunuliwa konyagi wanzuki na chibuku wakaponde kauli ya yanga kugoma kumwachia mzize.
@CharlesSylvester-r3r
@CharlesSylvester-r3r 2 месяца назад
Wananchiiiiiii kikubwa ni money tumetoka na milioni 50 jamani azamu wajifunze
@DaudiLusana-b1o
@DaudiLusana-b1o 2 месяца назад
Hapo saw makolo wanaumia saaaana
@henelckneatunga2720
@henelckneatunga2720 2 месяца назад
WEWE UNAESEMA ROBO SISI HATUWAZI ROBO TUNAWAZA NUSU FINALLY AU FINALLY MAANA HAKUNA WA KUTUZUIA
@AdolophinaShawa-pd8yo
@AdolophinaShawa-pd8yo 2 месяца назад
Mbona kama ka msemo ka ubaya ubwela ndo kangekua ka yanga❤❤❤
@ZainabuJabiri-c5s
@ZainabuJabiri-c5s 2 месяца назад
Alikamwe 😂😂😂 utatuua nakicheko na raha pia😂😂😂🎉 ali baki kua msemaji wetu milele inshallah
@PiusAgustino
@PiusAgustino 2 месяца назад
Noma kwel
@AdrianaRobert-o4k
@AdrianaRobert-o4k 2 месяца назад
Tunazingatia maokotoooooooo, ❤ yangaaaa
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 2 месяца назад
Mashaallah
@MwileEmanuel
@MwileEmanuel 2 месяца назад
Sema bossssss❤❤
@SelemanNyakunga
@SelemanNyakunga 2 месяца назад
💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💚
@jeremiahchitechi8513
@jeremiahchitechi8513 2 месяца назад
Bonge la semaji ❤ Ana cheche kweli kweli
@BakariMakame-j5f
@BakariMakame-j5f 2 месяца назад
Karibuni mabingwa wa nchi Amani
@ZabibuMasele
@ZabibuMasele 2 месяца назад
Yanga Safi sana❤❤❤❤
@sadih5333
@sadih5333 2 месяца назад
Kwa kweli kwavile mmemfunga vitalo hakuna mpizani Africa.
@AdoniasBwire
@AdoniasBwire 2 месяца назад
Unaki2 bro
@MohamedSalumu-w5v
@MohamedSalumu-w5v 2 месяца назад
Hii.ndio.yanga
@princekassimtz
@princekassimtz 2 месяца назад
🎉
@KhaledEbrahem-d9x
@KhaledEbrahem-d9x 2 месяца назад
Bao Moja assist 4 hapo ndy chama mzee je! angekuwa kijana?!.....
@Prince-rafael
@Prince-rafael 2 месяца назад
Ifike muda yanga na sisi Sasa tuwe na wimbo wetu maalumu sio mara mejja kunta sjui mzee wa bwax sijui Mario sjui dulla makabila hii jau bnaa wote waungane kutunga wimbo mmoja wa timu ili kuwa kioo Cha Africa lazma uwage na vitu kma hzo.
@StevenkundaelyShao
@StevenkundaelyShao 2 месяца назад
Wimbo xi upo ule wa pepekale young Africa
@suleimanh1826
@suleimanh1826 2 месяца назад
😅😅😅​@@StevenkundaelyShao
@amanileonard8763
@amanileonard8763 2 месяца назад
Hivi ni chama kweli huyu
@deboraelias3333
@deboraelias3333 2 месяца назад
Ila Ally Kamwe bhn,,,, kweli unafiki ni kazi sana 😅😅😅😅
@Prince-rafael
@Prince-rafael 2 месяца назад
Uku tunapoenda yanga itaanza kuidai serekali Sasa maana sio kwa migoli hyo khaaaa serekali msije tu mkatuchongea vimbao kama chief godlove
@nickomdete7232
@nickomdete7232 2 месяца назад
Wakatupa hundi fake😅😅😅😅 badala ya cash
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 2 месяца назад
Wananchiiiiiiiiiiiiiiii
@SalamaKambangwa
@SalamaKambangwa 2 месяца назад
Uyu chama noma sana😅😅😅😅😅
@HappyLingula
@HappyLingula 2 месяца назад
😂😂😂 kwel we mnafk nimecheka sana
@omarMchoya
@omarMchoya 2 месяца назад
Jmn asahv chama letu linafanya vurz nass tusiwe mashabiki wakuongea tuy bal tuichangie Tim yatu ili ifanye vuzur zaid
@SABRINASHAURI
@SABRINASHAURI 2 месяца назад
hatuna taimu Nate anajua Kwa vitalo wenye kad mbil sijaon kit
@Rajabu.dobeye-qw7fq
@Rajabu.dobeye-qw7fq 2 месяца назад
Magoal sio stor,Stor ni hela,,
@nickomdete7232
@nickomdete7232 2 месяца назад
Kwani tumezoea
@kasimmrisho7804
@kasimmrisho7804 2 месяца назад
unajua sana all
@CharlesSylvester-r3r
@CharlesSylvester-r3r 2 месяца назад
Sana sana
@CarolineLyimo
@CarolineLyimo 2 месяца назад
alafu muwe mnatoa kwa wahitaji kuna mtoto yupo kwa Mc Pilipili foundation anahitaji wapo weng sana
@dicksonmwenyembegu2523
@dicksonmwenyembegu2523 2 месяца назад
kama hua unafuatilia kila yanga ikienda mechi ya ugenini kwenye ligi lazima wafanye matukio ya kurudisha kwa jamii
@abuumapozi
@abuumapozi 2 месяца назад
Tunataka tuwaone na wao wavuke robo club bingwa
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 2 месяца назад
kwa timu ipi sasa jaman ,vijana wa vital o wanashindwa hata kutuliza mpira
@TamarieKiluwa
@TamarieKiluwa 2 месяца назад
😂😂😂😂 punguza wivuuu
@antipasifabiano8560
@antipasifabiano8560 2 месяца назад
Wewe ulikula 5 nyamaza hko
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 2 месяца назад
@@antipasifabiano8560 unajisahaulisha nilizokupiga et
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 2 месяца назад
@@TamarieKiluwani Kweli yanga wako vizuri ila sio kwa timu kama vital o , ni km sisimizi tu wale
@DhahabuSafi
@DhahabuSafi 2 месяца назад
Ukweli utabaki kuwa ukweli uwezo wetu ni Mkubwaaaa.Hiyo ndio yanga.Haya tungoje Ethiopia kichapo.
@JustineChacha-t5u
@JustineChacha-t5u 2 месяца назад
Chamaaaaaaaaaaaa
@TeklaDouglas
@TeklaDouglas 2 месяца назад
Waaaan chiiiiiiiiiiiiiii
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 2 месяца назад
Kwa hiyo mmefurahi kufungwa kwa Azam
@amanijm746
@amanijm746 2 месяца назад
Kwanini kusubiri mwezi wa kumi? Chama ameacha gap kubwa sana Simba
@JumaJuma-g5e
@JumaJuma-g5e 2 месяца назад
Mpira. Wa. Azam. Ni. Domo. Jingii. .
@leoninga-y8i
@leoninga-y8i 2 месяца назад
Azam wajipange hawana watuwampira kwanamna hii wahipange
@aloycemaarifa8603
@aloycemaarifa8603 2 месяца назад
Kolo wanaumiajeee!!!!!!😂😂😂
@barakatlemu6976
@barakatlemu6976 2 месяца назад
Siyo mbuzi bhana ni beberu
@FaustinaMkama
@FaustinaMkama 2 месяца назад
Ally safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@MohamedSalumu-w5v
@MohamedSalumu-w5v 2 месяца назад
😅
@abuumapozi
@abuumapozi 2 месяца назад
Asiongee kama mtu asiejielewa
@StevenkundaelyShao
@StevenkundaelyShao 2 месяца назад
Watembezi😅😅
@joshuaoscar8183
@joshuaoscar8183 2 месяца назад
.dose dose tu
@SalimaBuneku
@SalimaBuneku 2 месяца назад
💚💚💚💚💚💚💚💚💚🙏🙏🙏🙏🔰
@Leonard-jl8gt
@Leonard-jl8gt 2 месяца назад
We kenge anaongelea mpira kalale kama utaki
@ziadamiraji9511
@ziadamiraji9511 2 месяца назад
Yanga ipo vzur na chama Mzee wa miasissit😂😂
@EliaAbel-o6e
@EliaAbel-o6e Месяц назад
Ai😂🎉😢😮😅
@EliaAbel-o6e
@EliaAbel-o6e Месяц назад
😂😢🎉😮😅
@marthaadam2385
@marthaadam2385 2 месяца назад
Mnafiki sn ali
@suzanasimonqwarsan
@suzanasimonqwarsan 2 месяца назад
Hamna kitu nyie
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 2 месяца назад
Chama chukueni nachama cha wananchi wajinga nyie. Hatumtaki hatumpendi mhujumu uchumi mkubwa
@EzekieliLaizer982
@EzekieliLaizer982 2 месяца назад
Punguza makasiriko 🤣🤣🤣
@Mboemo
@Mboemo 2 месяца назад
Pole Sana kaka, naona unakoelekea utakuja kufa na pressure ya ilo litimu lako, kwani ni mama yako si uondoke tu
@StevenkundaelyShao
@StevenkundaelyShao 2 месяца назад
Kwani shida iko wapi!?
@jamesraphael9581
@jamesraphael9581 2 месяца назад
Ongelea tumu yako acha ushoga ubwa wewe
@EdinaPastory
@EdinaPastory 2 месяца назад
Shoga mwenyewe ubaya ubwege shwaini wewe
@majutobugali5763
@majutobugali5763 2 месяца назад
Kama hutaki kusikiliza acha fala ww
@mahamudhimu7934
@mahamudhimu7934 2 месяца назад
Acha usha wwe
@DarliotonTumaini
@DarliotonTumaini 2 месяца назад
Ana boeka​@@majutobugali5763
@Cosrey
@Cosrey 2 месяца назад
inaumwa
@DaudiLusana-b1o
@DaudiLusana-b1o 2 месяца назад
Hapo saw makolo wanaumia saaaana
Далее
VITUKO VYA KWENYE DALADALA ( DAY2)
11:30
Просмотров 133 тыс.
Voy shetga man aralashay | Million jamoasi
00:56
Просмотров 161 тыс.
The Day Ronaldinho Became a Brazilian Legend
12:50