Huyu jamaa anavitu vyake fulani.. Simple and quality. Mutongore keep it up.. Penye mafanikio hapakosi changamoto. Usiangalie nyuma. Piga kazi. Pia dada Veronica hingera kwa kazi. Hao jamaa shikilia hapo hapo wanafanya kazi nzuri saana. Music wao umekaa tofauti. Yani ukisikia radha ya musiki basi ipo kwao.❤❤❤❤❤❤❤❤
Mijitu mingingine bwana. Wew yako iko wapi uliyofanya tuione? Acha roho mbaya. Unadhani ukisema wana copy na kupaste ndio wataacha kufanya kazi? Tena ndio unazidi kuwapa njia bora. Acha roho mbaya kusema vibaya kazi ambayo mtu ametumia mguvu kuifanya.
Acha roho mbaya. Kazi yako uliyofanya iko wapi iwe mfano kwao ili waache kucopy na kupaste?? Ushamba changamoto sana😅😅😅😅😅. Unajua maana ya kucopy na kupaste???