Unataka Kukata Tamaa? Inuka Tena maana Yu Hai na Anakuja Tena Kitambo Kidogo Twende Naye Nyumbani. Shikilia Imani hadi wakati Huo. Bwana Akubariki Sana. #INUKATENA2023
Amina na amina, ni kitambo tu tunakaribia kwenda nyumbani. Japo dhoruba kali zinavuma, hiyo ni ishara tunakaribia nyumbani. Bwana awabariki Kirumba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen, Haleluyah..Puji Tuhan, Tuhan Yesus baik, Ia tetap sama baik kemarin hari ini dan sampai selama-lamanya. Ibarni 13 : 8. Saya dari Pulau Papua (Papua Barat), Kita kulit Hitam sangat berharga d mata Tuhan.
Oohh Mungu wetu twangojea marejeo yako muda wa kuish dunian umeish dalil zatokea tunazozisoma katika maandiko matakatifu ya biblia , kitambo twaenda nyumban 🙏🙏🙏
Amina! Sabato njema wanaKirumba! Be patient, Christian soldier. Yet a little while, and he that shall come, will come. The night of weary waiting, and watching, and mourning is nearly over. The reward will soon be given; the eternal day will dawn. There is no time to sleep now,-no time to indulge in useless regrets. He who ventures to slumber now will miss precious opportunities of doing good. We are granted the blessed privilege of gathering sheaves in the great harvest; and every soul saved will be an additional star in the crown of Jesus, our adorable Redeemer. Who is eager to lay off the armor, when by pushing the battle a little longer he will achieve new victories and gather new trophies for eternity? {RH October 25, 1881, par. 11}
Among very few Africans ...... wengi tunaharibu aina hii ya uimbaji lakini nyie nawasikiliza nikijihisi kama niko ulaya ..... only you keep it up ... mnajua hakika Mungu azidi kuwatumia
Mbarikiwe sana KAC. Hakika ni kitambo tu twende nyumbani. Furaha gani iliyoje kwenda nyumbani. Nyumbani kwetu ni pazuri mno, natamani sana kuwepo nyumbani kwetu baada ya kuivuka bahari iliyojaa upepo mkali, mawimbi na fujo nyingi za baharini. Mungu atusaidie sote, tukutane nyumbani maana ni kitambo tu.💕💞💞💕