This version is excellent for teaching kids the word of God and His great love for them. Am thirty -years old and I absolutely looove this version. It ministers to me as well.
Nimeomba, (I have prayed) Tena sio mara moja, (more than once) Kwa roho na kwa kweli, (in spirit and in truth) Bali sijapata majibu yangu kuyaona. (but I have not received answers) Adui shetani mwongo, (the enemy, the devil is a liar) Asema ya kwamba Mwenyezi Mungu Yeye hanijali bali (he says that God doesn't care about me but) Siwezi, sitomkubali, (I cannot and I will not accept his [lies]) Ninayo hakikisho, Ya kweli ninajua ANANIJALI. (I know for sure He [God] cares about me) Ananijali. Sitokubali kuzama kwenye maji, (He [God] cares about me. I will not drown) Ananipenda. Yeye ni mwema. (He [God] loves me. He [God] is good) Ni za dunia zangu hizi shida (The troubles I face are of this world) Hazitonizuia kukutumikia (They [the troubles] will not stop me from serving You [LORD]) Tafuata mimi hiyo njia ya kweli na uzima (I will follow the path of truth and life) Kwani (because) Ulisema yote yamekwisha, (You [Jesus] said it is finished) Sitababaishwa, ninajua yatapita kwani, (I will not be afraid, I know it'll pass) Baada ya usiku giza, (After a dark night) Ninayo hakikisho, (I know for sure) ASUBUHI ITAFIKA. (Morning will come) Ananijali, Ananijali, Sitokubali kuzama kwenye maji, Ananipenda, Yeye ni mwema.
Someone translated it. (Isabelle Omolo) 2 months ago Nimeomba, (I have prayed) Tena sio mara moja, (more than once) Kwa roho na kwa kweli, (in spirit and in truth) Bali sijapata majibu yangu kuyaona. (but I have not received answers) Adui shetani mwongo, (the enemy, the devil is a liar) Asema ya kwamba Mwenyezi Mungu Yeye hanijali bali (he says that God doesn't care about me but) Siwezi, sitomkubali, (I cannot and I will not accept his [lies]) Ninayo hakikisho, Ya kweli ninajua ANANIJALI. (I know for sure He [God] cares about me) Ananijali. Sitokubali kuzama kwenye maji, (He [God] cares about me. I will not drown) Ananipenda. Yeye ni mwema. (He [God] loves me. He [God] is good) Ni za dunia zangu hizi shida (The troubles I face are of this world) Hazitonizuia kukutumikia (They [the troubles] will not stop me from serving You [LORD]) Tafuata mimi hiyo njia ya kweli na uzima (I will follow the path of truth and life) Kwani (because) Ulisema yote yamekwisha, (You [Jesus] said it is finished) Sitababaishwa, ninajua yatapita kwani, (I will not be afraid, I know it'll pass) Baada ya usiku giza, (After a dark night) Ninayo hakikisho, (I know for sure) ASUBUHI ITAFIKA. (Morning will come) Ananijali, Ananijali, Sitokubali kuzama kwenye maji, Ananipenda, Yeye ni mwema.