⚠️CREDITS: Watch Full movie on : PRIME VIDEO Movie name : SCARRED Genre : Drama Year : 2023 Follow us :- Instagram- e7bits?igsh... Tiktok- tiktok.com/@e7bits Follow KONKA on Social :- Instagram- izkonka?igs... Tiktok- tiktok.com/@izkonka
Hii ni sauti ya naniiiiiiii aweeeee likes kwa huyo mwamba E 7bits siku tumshangazee kagonge like kama badoo hujafanya hivyo sidhani kama nahitaji kuangalia tena muvi yote, mzee kaikamua utamu wote 😍😍😍😍😍👏👏👏👏
Nina kovu mkono wa kulia niliungua chai nilivo kua mdogo na halijaisha mpaka leo hii 😢 hua navaa nguo za mikono mirefu ili kulificha mana kila anae liona ananiulza nimefanya nini
msijali jaman kama muonekano wako unaona unakovu au sura unaona mbaya muonekano sio uzuri moyo ndio kila kitu maana hata fenesi topetope stafeli na doriani jinsi yalivyo hayo matunda huwezi dhania kama yatakua ni matamu kwahy jiamini
me naisi Kwa tZ tuko tofaut snaaa yni mtu akiwa na kasoro Kuna Ile jicho Moja Tu umeangalia uka kausha ila uku ad mtu anajua kua wananishangaaa tusiishi hvyo ujafa ujaumbka