Тёмный

ANASTAZIA ISAACK - I REMEMBER ( Official Video) 

ANASTAZIA LAURENT
Подписаться 75
Просмотров 3,6 тыс.
50% 1

I REMEMBER,ni wimbo ambao namtukuza na kumshukuru Mungu kwa alichonifanyia kwenye maisha yangu,amenitoa mbali sana huyu Yesu, mimi ambaye sikutamanika wala kukubalika na watu lakini Yesu alinikubari nakunikaribisha nyuani mwake hadi nikafikia hatua hii,namtukuza sana kristo ameniona mno amenitenda ajabu mno,sijui hata niseme na kutamka nini nasema tu asante Yesu.
mawasiliano:+255 752170787
+255 683637111
Artst: Anastazia Isaack
Producer: Elvis Basongoba
Director: Masolwa
Assistant Director: Enea Emanuel
BLESSING STUDIO - ARUSHA
contacts: +255 762384585
blessingstudio@gmail.com

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@ANASTAZIALAURENT
@ANASTAZIALAURENT 11 дней назад
May God grant me success in this ministry
@BisumaLaurent
@BisumaLaurent 13 дней назад
Amagambo ni ya sole chane🖐🖐🖐
@DaminiTv.
@DaminiTv. 13 дней назад
Mungu azidi kubariki, uzidi kuimba na kumtukuza
@irenenuguye8108
@irenenuguye8108 10 дней назад
Waooooh congratulations🎉👏.. nyimbo inabariki sana
@JullyKibona-lv8ls
@JullyKibona-lv8ls 12 дней назад
Hongra dakitari ulikuwa rafki yangu wakati tuko chuoni endelea zaid na zaidi
@adriaathanas
@adriaathanas 13 дней назад
❤❤ mungu azidi kukuongoza tkt njia iliyo sahihi, uzidi kumtumikia siku zote. Love you ❤❤
@geraldrufulenge687
@geraldrufulenge687 6 дней назад
Hongera sana Daktari. Mwenyezi Mungu aipe kibali kazi yako ifike mbali na ikufikishe mbali.🎉
@marcos377
@marcos377 12 дней назад
Congratulations so much Dr.Anastazia your really talented be blessed 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@alexpalexander2900
@alexpalexander2900 6 дней назад
Hongera sana Dkt wimbo mzuri sana
@dafrozasinna2153
@dafrozasinna2153 12 дней назад
Hongera sana, it's a nice and healing song. Mungu akuinue zaidi na zaidi
@EdwinMtokambali
@EdwinMtokambali 12 дней назад
Good song be blessed and God guide you🙏🙏
@isariamasawe
@isariamasawe 12 дней назад
Ubarikiwe Dr Mungu akubariki wimbo mzuri.
@aishaabdul9983
@aishaabdul9983 13 дней назад
I like this song, ❤️❤️❤️unaweza Sana anna
@rehemaligosi1627
@rehemaligosi1627 12 дней назад
Congratulations ❤
@neemakessy8127
@neemakessy8127 13 дней назад
Hongera 🔥🔥🔥🔥
@doreenndenya8404
@doreenndenya8404 6 дней назад
Hongera Dr Anna 🎉🎉❤
@isariamasawe
@isariamasawe 12 дней назад
Ubarikiwe Dr Mungu
@elizabethmwakasonda4480
@elizabethmwakasonda4480 13 дней назад
❤❤
@siakisamo984
@siakisamo984 13 дней назад
Nice song ❤❤❤
@ANASTAZIALAURENT
@ANASTAZIALAURENT 12 дней назад
Amen
@mwlraphaelwakiingereza1394
@mwlraphaelwakiingereza1394 13 дней назад
Ubarikiwe mwana New Life
@ANASTAZIALAURENT
@ANASTAZIALAURENT 13 дней назад
@@mwlraphaelwakiingereza1394 ,Amen
Далее
UNIKUMBUKE -Dan Amani 🇰🇪 (Official Video)
7:38
YEOVA NIWE NGAI  BY GIFT MUTHIO
5:18
Просмотров 430
Anaweza//Cyrus Azizi(official Video)Dir.Ogucha Jnr
5:04
Jamila Dotto - Umenisaidia (official music video)
3:48
Israel Mbonyi - Yanitosha
13:22
Просмотров 4,3 млн