God bless you sweet boy kijana ametoka mbali sana na ni mungu TU anajua hakuna binadamu anajua maisha ya mutu many will talk but Mungu atazidii kumpadisha juu zaidi
Waaaah but ken si wivu, na mimi na kupenda sana,but elewa kwa hii dunia nothing for free But kaaa anatoa ikitoka kwa rohoo bila demand yoyote, mungu ambariki sana
Mm Wacha nikule jasho yangu I have my uncle brother yke alikuanga illuminati akajitolea anataka kumsaidia akamjengea nyumba kubwa sana na akamfungulia nduka ,,na akamnunulia kitanda ya 70k ,, after akamscfrice akacha zile vitu ,baada ya mieza michache ,,ni nyakati zawisho na wengi watapotea Kwa kukosa maharifa,,,, sweet petar peleka usaidiz childrens home na usaidiye watoto wenye wazazi wao Awana uwezo kama ni kweli uko na roho ya kusaidia🙏I don't trust anybody
Wah ndeke kwa hiii dunia akuna kitu cha bure we omba sana umtishe ibilisi huyu mwenye anakupee pesa ya bure.........na alisema akipeee mtu pesa ama kitu cha bure anakuaga akitoa secrifice chunga sana na uombe sana aky kama you're dealing with such kind of peoples kwan auskizagi interviews zake.
In a different Kikuyu interview.. sweet Peter confessed that if he gives you 3k jihesabu dead... You've already signed up your own death certificate..# kafara.. how about this much? 😢😢 Poor ndeke😢 umasikini ushindwe... Hii nyota ya ndeke itamletea shida
Ken you should fear people 24/7 don't believe or look for free gift andu nimathukie yu mavita satan,walika na malatu ma yellow ni vandu vaku,maisha nimaku