Bongo wasanii wengi wanatumia dancers ni msanii gani katoa dancer kaenda kama huyu alafu from no where mwandishi anajitoa fahamu asimuulize mtu anasemaje kuhusu wakubwa zake angalau awape hope ya kukuuza wengine.
Waandishi ndio wanajitafuta na kuandika heading za utata ili wapate views lkn wanasahau kwamba professional yao iko uniq endapo wakifanya bila kuchit wanatoboa tu. Unadhani Angel kaanza kazi na Zuchu mbona kaanza na Simba na hawezi kuwa hajielewi hatakama kakutana na changamoto bado anawaheshimu sn watu waliochangia yy kufika hapo