Stivo kwanza mashairi,kiswahili chake na kila kitu ame wakopi watanzania kwa mfano ,neno freshi barida ukifatilia comedy za tanzania kuanzia 2009 hadi 2010 hayo maneno hayakosi kwenye comedy ya watanzania,halafu tanzania kuna wasanii ambao wamemzidi stivo kama vile nash mc,kala jeremiah dogo janja na wengineo,stivo awachane na watanzania na awachie og khaligraph jones a deal nao og atabaki kukuwa og mistari yake ni ya kipekee haja copy popote pale stivo amejifunza sanaa kupitia watanzania.