Is like Kafuri alipiga deal na dem wake a clout chase anadate Ariane ndio apate fame na arudi kwa gf yake na saio gf wake anajifanya yeye ni ex ndio waendelee na channel.But to my advice to Arine now akipata mwingine asimweke in public juu saai watu watakuja DM na wako after fame not love aweke sasa relationship yake private kama akina Keranta na afanye content yake tu si na bf na ata akifanya na bf asiseme kwa public wanadate juu hiyo ni kumpa platform na maybe ako after fame .Kama kuna mtu anakubaliana na advice yangu then munipee likes mingi plz.
Lakini this girl is too young,why engage in relationship at this age,hata bado hujajoin campus na already ushapitia heartbreaks mbili,relationship si must,focus na kujipenda my dear,you're too young
Aki Arian anafaa kuwachana na mapenzi sasa even goddy awachane naye awache kujirazimisha kwa goddy ati warudiane.i think baby girl anafaa kushungulika na life yake si mapenzi ni mdogo sana kwa hizi drama zote 💔
Of course we love her, we not love her for to see this online every day furthermore not married is just a boyfriend of some months,, my advice is to go back to school,,ni mapema sana,,,,,I will be happy if this trending is for something very important but not this,,, ladies kama hujapeana funika kabisa,,,saa ii hakuna mwanaume ni kukulwa na kutubwa ,,, imagine ashapata whatever he wanted na ni ivo,,, open mind ladies please always representing team Iraq
Kaschana jipende kwanza, mapenzi imekuwa kutoka kitambo na haitawahi Isha,gonjea at the light time utapata a man who loves you for real not Hutu tufukuswii
You're so beautiful baby girl,,, na ujue wa kenya ni wale wale, the more you show us your boyfriend the more wanaendelea Kurecord vitu mbaya zako,, utaskia ukiakuhesabia body count zako just be careful.
Msichana asijifanye gangster😅😅😅😅,she's hurted and she deserves what she's going through,Tulia dem na uende shule hatujasahau unajoin january focus on studies and please achana na mapenzi,otherwise utapata bodycount kuliko ya solomon🤣🤣🤣🤣🤣,sina ubaya though.
Nilisema Ariana ndie alienda kutafuta kafuri time aliachwa na goddy ,huyu dame ako depressed na ako illiterate abit juu mtu mature haezi jianika hivi.pliz Rudi shule u mature abit.
Actually men are wicked, 😭😭😭 I just feel for arianne, I wish this man knew ak anakosea this lady, but the tears from arianne hayataenda bure naye ipo siku atatendwa and he will regret having lost you, actually love is blind let's not charge arianne juu mapenzi haingoji wala haichagui, may God strengthen you arianne, we're there for you
Arianne ashaasomwa na wanaume na wakajua weakness yake.wacha akulakulwe ndio aache mapresha za kuitroduce mtu after two days ya kumeet.ati 'get to know my boyfriend' nonsense 😏.ooh he's a go getter,ooh beb si tunaoana.mcheew! Kwenda kabisa kafukuswi ata umeboo social media kabisa Nkt!
You are here accusing the girl nobody is perfect and I think so ujaelewa poa what is going on btn both of them ,,,mbona unamuita kafukuswi ,,,that's not good.
Ariane you are very mature but achana na wanaume kabisa,,,focus qwa masomo,,I think umesoma mengi kutoka qwa goddy na kafuri,,,kama ni mambo na kudate acha ikue ata kama ni nxt yr,,,,usikimbililie wanaume tena akh,,,,wish you well I love you gal
🤣🤣🤣 watu watachase pesa ama wata clout chase nonsense 👌sisi wenye hatuna tyme ya maboyfriends tucoment wapi 👌Ariane keep cool our girl your very young for such 👌no wonder he said ako na surprise akifika 50 k subs mungu ni Nani watu wameansubscribe mbaya sana ashapata doze yake ,
allow me to skip this because this their fake relationships is soo twisted. kindly for us viewers all we can learn is to be real lets not fake for fame💔🥺
Ariane baby girl mimi acha tu nikuadvise hakuna mapenzi straight mimi nakuadvise ata kama unaearn through social media mapenzi nayo unafaa kutoa huko apa nje tuko na good advisor na bad .Alafu wewe pia ulirush kumove on ungejipea tyme.Umejua watu walikuwa wanasema uko mature lkini hapa nyo umejiangusha manzee .Alafu lst thing mtu ushaai ita love ata mkikosana usiai expose issue zenu nje hizo nivitu tuachie watu wa rima na hapo nilipea kafuri marks juu akuexpose chochote.
But hakuna mwanaume anaeza vimilia mtu kushinda kwa kina ex wake... mm nilijua italeta shida.. na vile pia ariane alicomment vile goddy aliintroduce new galfrend.
Mimi nilijua pia mpk nilimtumia text insta akanirudishia voice ya Gody kwa jeuri sasa anaona wivu ariane ndo inamkula 🤣🤣🤣🤣na mwanaume wa pekee ako hayuko
I have been in love and heartbroken before and felt like dunia inimeze, thinking that I have gone through alot but ya huyu ni mwoto I say two fire heartbreaks in the span of 4mnths ...weuh uko na nguvu kwanza handling social media scandals🤦🤦..heal mama and go back to school.
What I would advise u,ukiachana na ex den upate mtu mpya never bring up about exes bcz it pains,ad ex ni ex focus na life and pray to God 🙏🙏🙏 for protection
Girl now just move on na kazi yako na masomo pia for now achana na mapenzi the right man will come na utajua akikam.......... so akisema anything next usimjibu nyamanza tuh babygirl
Aachane na kafuri that guy doesn't deserve her. She is too good for him mahn. I see her like my daughter and I really hurt. Kioko mwambie asahau huyo mse sura mbaya.
Mimi ni mmeru kama ariane na nimepitia hayo maneno anapitia saiii,,,,very emotional but afocus na life yake love baadae hio machozi anamwaga kila siku hatuskii poa 😭😭😭😭 our girl from maua we love you so much and pliz gets our advice well ♥️♥️
Your just 18 na mapenzi inakutesa yani sijui ex ni wangapi jameni msichana soma mapenzi tuachie though am also single and happy na mimi sio mdogo kama wewe
Ariane always mam tunakupenda San yny Hiko sis tutakusprt na mambo mingi uachie mungu,,tunajua hiii fanya mbuku ilikuwa inakutumia ty wakiwa wanapanga na girl yake bt don't worry mngu yupo
Personally I think she deserves everything she is going through sababu I remember when goddy asked for her forgiveness but yy akadinda she preferred kafuri ju ako na pesa anyway she should think about school si mapenzi otherwise mapenzi achia wasee matured not kids like u 😏😏😏😏
She's a drama queen with full of negativity. If she's not careful she'll be a newspaper that will be read by every man. She's not a keeper. Ako na ujinga mwingi tuu sana. Pretender!
Wasichana wa pole wanapenda gossiping,wengi huvunja families so kafuri should look for a very mature and beautiful, eloquent lady...Ariane she's full of anger n jealousy
allow me to laugh😃😂😂😂😂 Arian you just from school lakini mapenzi imekupiga development ata kuliko wengine wetu huku njee.... wachana na mapenzi get to school na uende ukasome otherwise ..
Ariane bby girl achana na mapenzi you're still young,and what I can only advice you is that focus on your business that would make you happy and forget the pain but never the lesson you gained from your relationships
I am Arian's age and what I can advise her ni baby girl achana na mapenzi and focus on you,,,all this is funny though 🤣🤣 I mean you are too young for heart breaks mamaa
The bad thing with this gal is that she is used to surviving with men. In few days you will see her with another man. Atatumika. Akuliwe na aachwe tena. She should stop dating na arudi shule. Hii yake ni ujinga
Bona Goddy didn't exposed him weeeh peleka makasiriko huku you both your wrong If you loved kafuri fight back for. Him and leave Goddy alone and his girlfriend.....wewe ndio unataka goddy a break his new relationship ndio akuchukue.....shame on
Akh Ariane nahisi nikutane na wewe nikuchazare....achana na kafuri stop explaining nonsense...nn mbaya na wewe ... Focus on yourself babygirl...ni vitu unarudia zenye uliupload kwa previous video...for how long will you be explaining this...UNAUDHI
Mi hanibambie ata kidogo hii ni ufala like inauma arian how many mens will you date b4 you setal what about your life kwani hujipendi, na watu wanasemanga aje kukuhusu behind the seen, my d,r jijue na ujielewe life is shot kujiwast fikiria Mara ya pili b4 uingie kwa relationships, lakini sina ubaya, mwili ni yako waonjeshe wote mkisemanga ni kiki mnatafuta na bado mnakulana😏😏😏😏
Kukwa Mpole saana wanaume watakumia vibaya Sana mrembo,, jipende na ujieshimu sio kila kitu Una expose Kwa social media pia uli move on haraka Sana,, na hukusema mbona uli break up with goddy eti ni Siri yenu sai unaonge kweli juu ya kafuri...
Ariane is naive...we were too at that age only that she is exposing herself on social media na pia anakubali kukuliwa...ata her age we just used flirt with several guys but ata ruhusa na time ya kumeet nawao we didn't get...thanks to our parents.
This shit is still young to be in conflicts with men, let her go back to school and learn coz she still has a way to take. Love is the worst thing when you find that you are not wise enough in this Dunia
Ukipata mtu anakupa pesa mambo ya sitaki pesa weeeeeeeeewe!!!! Kula pesa mama breakup ikija ni sawa.......in toxic show niliona boy amepeana kidney for free ATI mapenzi after hapo kuachwa........alipewa pesa hapana mi nampenda keeeeep waiting!!! Otherwise team kioko tupo site!