Тёмный

ANJELLA AMNYEA VIBAYA HARMONIZE BAADA YA KUPEWA GARI NA ZUCHU/WASAFI KUNA MAISHA KULIKO KONDE GANG 

CHAZY MEDIA
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@aldinhomkayumba9921
@aldinhomkayumba9921 17 дней назад
Baada ya yote, jueni kwamba Anjella kajulikana kupitia Harmonize. Tusi sahau hilo❤
@stateofart1089
@stateofart1089 16 дней назад
Kama ambavyo Harmonize amejulikana kupitia Diamond 🤣🤣🤣
@Kondegirl
@Kondegirl 15 дней назад
Very true man 👍👍 you deserve a bottle of soda
@AsungaSteven
@AsungaSteven 7 дней назад
That's the point, most of us tend to forget where we came from.
@nurdinibrahimu7312
@nurdinibrahimu7312 19 дней назад
Nakupenda sana dada Angela unaposemaga kioo o kioo oo na sauti Yako VA kuvuma Yani unajua sana kuimba nashangaa toka umeachana na konde asiejua kumiliki lebo hujatupa Radha sasa tunataka Ladha 🎉🎸🎸🎸🎵🤳
@SandraMwanajuma
@SandraMwanajuma 19 дней назад
Uzuri Anjella anajua kujibu maswali ❤❤❤
@prince001tv5
@prince001tv5 12 дней назад
Kama si@Harmonize singekujua hivo nyamaza tu Anjela piga kazi ununue gari lako hata Hilo litachukuliwa tu usipofanya wanavyotaka, Wanadamu wabaya 😢
@ahmedsaidi2239
@ahmedsaidi2239 20 дней назад
Very Good Angella It's Every Artist's dream to be Signed Wasafi lebel.
@JJoshua-nc6hu
@JJoshua-nc6hu 19 дней назад
Kumbuken kua mikataba ya wasanii ikoje na msiwe mnaongea tu anjella kupokonywa gari nikwasabu alivunja mkataba mwenywe koz mali za lebo zinatakiwa kuchukuliwa kwaiyo msiwe waongeaji sana ndugu zangu ❤
@CamweziKarrashnekov
@CamweziKarrashnekov 19 дней назад
Hakuna chakuteteya hapo, mikataba ya wcb na harmo hamtaki kuinyoosha mnakaliya kusema oo walimnyonya .mbwaa nyiyee leo imekula kwenu hata kama hamjapika.anjela mlimnyonya sasa zuchu kamdahawisha mateso ya ugengeni
@Qs3557
@Qs3557 6 часов назад
Hujapona vzur mguu unaufichaga sana
@djjailoskyelambeya6072
@djjailoskyelambeya6072 19 дней назад
Usimtukanr mamba wakati bado haujavuka mto haya yangu macho😂😂😂🥺
@steveabel5819
@steveabel5819 20 дней назад
Ni mimi tu nimeona hilo wigi la angela kwambele😂😂 ila nampenda❤
@NASJAYZEROTOBILLIONTZ-gl3sb
@NASJAYZEROTOBILLIONTZ-gl3sb 18 дней назад
jama wa ptv ana sauti ya kinafki sana utaskia DIAMOND PLATNUM ATA AWE ANAMUHOJI MUUZA MIHOGO
@user-du8pk9ww2s
@user-du8pk9ww2s 16 дней назад
Harmonize ndo amekutoa anjela pourquoi humilié konde tu es incra kuwa na adabu na konde pumbavu from 🇨🇩🇨🇩
@emanuelbaha-x8u
@emanuelbaha-x8u 7 дней назад
Achana na harmonize misifa
@user-nr7zq2rr1r
@user-nr7zq2rr1r 20 дней назад
Nice
@djjailoskyelambeya6072
@djjailoskyelambeya6072 19 дней назад
Kama hao wanakupenda si wakupeleke hospital 🏥 ukatibiwe mguu wako upone kuliko kukupa gari na ww umepata kibuli kuyasema yote hayo haya anjella yangu macho tuu🥺
@AsaloLocha
@AsaloLocha 19 дней назад
nawewe hacha jehuri kwani ahuja sikiya zhuu akimwambiya kuhusu ugonjwa wake
@musampanda3643
@musampanda3643 13 дней назад
Muheshimu tu hata kama ajakupa chochote yey ndo kakufanya leo kuwa anjelah
@buchomillion4743
@buchomillion4743 15 дней назад
MTA gazaji hujui kuuliza maswali.unaongea sana huulizi point za msingi.
@user-hx6cl2bc1y
@user-hx6cl2bc1y 15 дней назад
Angela umeona majibu ya kiboko ya wachawi alikuambia utainuka na alikupa milioni moja ila ulisahau kumuonyesha huo mguu huenda
@user-lx7ez3rq4c
@user-lx7ez3rq4c 11 дней назад
Tenda wema nenda zako
@olivestraders
@olivestraders 17 дней назад
Wana habari ulizeni maswali ya kujenga
@BossGift01
@BossGift01 20 дней назад
Nyinyi wa tanzaniya muma Nini
@bululaomary8494
@bululaomary8494 День назад
Ovyo
@user-dn5ug4ez4n
@user-dn5ug4ez4n 15 дней назад
Konde boy analoho mbaya mueshimu mikataba
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 20 дней назад
Aache kunywa pombe na asiendekeze mapenzi apige mbona nyimbo zake nzuri tu
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 20 дней назад
Nahisi wewe ndo unamnunuliaga au unamuuziaga
@geomangi6123
@geomangi6123 19 дней назад
true
@justinjulius2666
@justinjulius2666 18 дней назад
Muda utaongea
@NillahDyao
@NillahDyao 20 дней назад
Kaonge tena pimbi wewe
@djjailoskyelambeya6072
@djjailoskyelambeya6072 19 дней назад
Kwanza siyo pisi kali kama anavyosema harmonize alimuokota huko hata watu walikuwa hawajui jina la anjella ba harmonize yupo poa sanaa kwa diamond hautoki mpaka ulipe million mia sita nenda kichwa kichwa saini mkataba hatokuacha usimtukane mamba wakati bado haujavuka mto gari tuu mitusi inakutoka mdada 😂😂😂😂
@BrunoHaule
@BrunoHaule 16 дней назад
Yaan mpk unalipa 600m mpunga upo
Далее
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Просмотров 38 млн
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Просмотров 38 млн