#kibokoyakeniusingizi#annointamani#
mtu anaweza kuwa mkorofi,
mwenye kiburi au mwenye nafasi ya kubwa katika jamii,
hivyo vitu vikamfanya kuona anaweza kila kitu hakuna kinachoweza kumdhibiti,
lakini Mungu ni niwa ajabu sana,ameweka Usingizi dunian,ili kila kiumbe hai kiweze kulala mda wake ukifika ,
Usingizi ndo kitu pekee ambacho kimemuweza kila mtu na kila kiumbe,
Je,ikiwa Usingizi unaweza kutudhibiti ,vipi kwa Mungu alieumba huo Usingizi ?
Mungu mwenyezi Muumba mbingu na vyote vinavyo onekana na visivyo onekana 🙏Aheshimiwe,anyenyekewe na pewe sifa na utukufu kwa ukuu wake 🙏
kiboko yake ni Usingizi ni wimbo uliobeba Album ya sita,Vol 6,imeandikwa na kuimbwa na Mtumishi wa Mungu Annoint Amani
👇
Tiktok,Annoint Amani tz.
wharsapp & call +255767240181 = +255755099942
instagram ,Annoint Amani tz.
Video,Directed ny kheri one
Audio,A.E.A Tones studio prod by Meddy
Dar es Salaam Tanziania )
24 авг 2023