Тёмный

Annoint Amani - Muamuzi wa kesho yangu ( Official music video )Skiza tone 5293658 

Annoint Amani
Подписаться 286 тыс.
Просмотров 550 тыс.
50% 1

#muamuzi#wa#kesho#yangu#
Hata kama katika maisha yako kuna watu unao wategemea iyo sio sababu ya wao kutabir hatima yako
,Sisi tunavyo waza ni tofaut sana na Mungu ndio sababu Tusio wazania Mungu ana wafanya mshangao kwetu .
Heshim kila mtu maana hujui kesho yake na rait ungejua huyo unae mdharau ninani kesho bas ungemtendea wema Leo maana kesho huyo mtu ata kushangaza ,
TUNA MSHUKURU MUNGU PAMOJA NA WEWE MSOMAJI MAANA HATUWEZ KUFA KWA KUTAKA WAO BAL KWA KUTAKA MUNGU.
,IVYO USIHOFU YUKO MUNGU MUAMUZI WA KESHO YAKO
,NYENYEKEA NA UWE NA IMANI IPO SKU MUNGU ATAKUFANYA MSHANGAO KWA JAMII YAKO.
(Even if there are people in your life whom you depend on, that is not a reason for them to predict your destiny
What we think is very different from God which is why we do not think God has a miracle for us.
respect everyone because you do not know tomorrow and rait you would know the one you have contempt for tomorrow but you would treat him well Today because tomorrow that person will be amazing,
WE THANK GOD ALONG WITH YOU THE READER BECAUSE WE CANNOT DIE FOR THEIR OWN BAL WAY FOR GOD.
, SO DON'T BE AFRAID THERE IS GOD JUDGING YOUR TOMORROW
, HUMILITY AND HAVE FAITH THERE IS A DAY WHEN GOD WILL MAKE YOU A SURPRISE FOR YOUR COMMUNITY.
artist Annoint Amani
song Muamuzi wa kesho yangu
album Fainal ni kesho ,
VIDEO A.E.A BY MEDDY +255712621330)
AUDIO A.E.A TONES producer by meddy +255712621330)
(language Swahili)
Tanzania Dar Es salam
booking Email.amananoint@gmail.com)
+255767240181= +255755099942

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
@JamesWabwile-z3k
@JamesWabwile-z3k 2 месяца назад
Apo kabasa... Hongera sana mtumishi ni princess brenda.
@estermachea3373
@estermachea3373 4 года назад
Hii tunafika million moja sio MDA saana ,,maana umeleta kitu cha tofaut kabisa namimi najiuliza hao watu ume watoa wapi,, HAKIKA MUAMUZI WA KESHO YANGU NI MUNGU SIO MTU.
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 3 года назад
Umetabir na sio mda mrefu unabii unatimia
@merykiwelu2992
@merykiwelu2992 3 года назад
@@mlokolekaokoka8962 ubarikiwe sana
@omangamogusu6515
@omangamogusu6515 2 года назад
Mr annoint mungu akubariki sana akika usibungukiwe katika meno na uimbaji wako Mimi mkenya unanigusa sana ndugu mungu awe nawe daima milele kila ulipo
@katilejoy8924
@katilejoy8924 Год назад
Naomba siku moja nikutanane na huyu mtumishi wa Mungu
@joyceabeli3787
@joyceabeli3787 2 года назад
Barikiwa sana kaka napenda sana nyimbo zako
@magdalenamsuta7336
@magdalenamsuta7336 Год назад
Jitu la mbinguni: Nimetafuta sana kumshukuru na kumtukuza Mungu pamoja nawe kwa wimbo huu. Nilinibarikiwa na naendelea kubarikiwa kwa ujumbe wa wimbo huu. Pamoja sana kwa Mungu hakuna umbali. Barikiwa!
@matokeenock6672
@matokeenock6672 Год назад
congratulation nyimbo zako zanivutia sana mungu akupe nguvu zaidi.
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 2 года назад
congratulations my brother
@abusaif6856
@abusaif6856 3 года назад
Mungu bariki uduma yake yake zaudi natumai siku moja njirudu Kenya 🇰🇪 ntafanya collabo na yeye injili isonge mbele
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 года назад
Amen nyimbo nzuri sana hata ya Mama
@newtongabriel8529
@newtongabriel8529 3 года назад
Ubarikiwe sana Mtumishi kwa utumishi wako mwema uliotukuka by Newton Michael
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 8 месяцев назад
Kweliii Mtumishi ya MUNGU yanajitegemea
@nuruanafisoo4220
@nuruanafisoo4220 2 года назад
Yap! kila MTU anakitu cha tofati ambacho Mungu amemwekea
@eliatrishayona9775
@eliatrishayona9775 3 года назад
Kati ya nyimbo zako nimeipenda Sana hii barikiwa Sana mtumishi
@silviamwende7210
@silviamwende7210 3 года назад
I really love this song hii nyimbo utia watu moyo sana
@Solanjerecho
@Solanjerecho 3 года назад
Muamuzi wa kesho yangu kweli mutumishi ubarikiwe
@dorislinus8296
@dorislinus8296 2 года назад
Kwel mwamz wet n mugu to barikiwa sna mtumish
@linaemmanuel4878
@linaemmanuel4878 3 года назад
MUNGU AKUBARIKI AKUPE NGUVU MPYA NA AFYA NJEMA MUNGU TU AJUAYE KESHO YETU UBARIKIWE KWA KAZI NZURI MDOGO WANGU
@annointamani3285
@annointamani3285 4 года назад
SHETANI ANAJUA NINI ULICHO NACHO, NDIO SABABU HATAKI UJITAMBUE , ANAKUVUNJA MOYO TU. UNAPITIA WAKAT MGUMU MPKA UNAWAZA, JE MIMI SJAWAH MFURAHISHA MUNGU TANGU NIZALIWE ??MAANA HUONI AFADHARI, KWAKO MACHOZ, WAZAZ MACHOZ, ,NDUGU ZAKO MACHOZI , NATAKA NIKUTIE MOYO KWAMBA MUNGU AME KUCHAGUA WEWE KUBADIRISHA FAMILIA YENU, ,HUO UZITO UNAO UONA SIO WAKO TU, ILA NI WA KILA MTU AMBAE UTAMSAIDIA. ,HIVYO JITIE NGUVU HAKUNA MTU KAMA WEWE DUNIA NZIMA , USIKUBAL KUFA LABRA DUNIA HAIJAJUA NINI UMEBEBA , USIOGOPE YUPO MUNGU MUAMUZI WA KESHO YAKO, SHETAN ANAKUTISHA TU LAKIN HAWEZ KUCHUKUA UHAI WAKO KABRA HUJATIMIZA KUSUDI , WEWE HESHIM KILA MTU USIDHARAU KAZ ,TENGENEZA URAFIKI NA YESU ZAIDI KULIKO MTU, KILA MTU KWAKO KALETWA KWA MDA TU HIVYO MTUMIE VIZUR , NA USIMALIZE VIBAYA NA MTU MAANA HUJUI KESHO YAKO., KAMA TUKO PAMOJA GONGA LIKE NA COMMENT HAPA ,TWENDE MPKA UJUMBE HUU UFIKE 1M KWA MDA MFUPI.
@tumainkwayabarazani5040
@tumainkwayabarazani5040 4 года назад
Ujumbe mzito sana, nimejifunza jambo kubwa sana hapa ,
@estermachea3373
@estermachea3373 4 года назад
Hakika ni funzo kubwa sana ,yani nimejifunza pakubwa sana
@ajuogahphelix5645
@ajuogahphelix5645 4 года назад
Amina
@جانيتكينيا
@جانيتكينيا 4 года назад
Ubarikiwe mtumishi true
@rispathequeen
@rispathequeen 3 года назад
Kweli mimi ni mojapo mara nyingi navunjika moyo nafika mwisho.
@happyyppah4266
@happyyppah4266 3 года назад
MUNGU azindi kuchochea kibali chako amani
@judithopuru2251
@judithopuru2251 3 года назад
Haki huu wimbo leo nimeucheza mara nyingi😭🙏🙏yaani umenipa tumaini wa kuishi kw hii dunia🙏🙏🙏ubarikiwe sana Annoint
@nyirantekoleontina4440
@nyirantekoleontina4440 3 года назад
Reach 100K
@abrahamtopot9660
@abrahamtopot9660 2 года назад
Safi Sana inafundisha Sana ubarikiwe
@essywambui8804
@essywambui8804 2 года назад
Nimechabua all song but top
@Ima_Ali
@Ima_Ali 2 года назад
Kazi nzuri Kabisa kaka. Mimi nasema Amina
@nuruanafisoo4220
@nuruanafisoo4220 2 года назад
Wimbo mzur saan
@rachelcharles1303
@rachelcharles1303 2 года назад
Saf sana
@joshuamuindi1594
@joshuamuindi1594 Год назад
May heavenly Father bless you 🙏🙏🙏
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 3 года назад
Hii nyimbo nataribir kufika mbali sana sana ,mpka watu wote wanao pita hapa watashangaaa sana itapigwa kona maana ni ujumbe tofaut tena umempa Mungu sifa yake ya moja kwa moja ,Nae lazima awashangaze wanadamu kwa ujumbe huu.
@JosephineBechu-b4c
@JosephineBechu-b4c 8 месяцев назад
Hi Mr annoint I love your music may God continue to bless you. Because of this jimbo I leave my life in peace.
@carolynenjalale8794
@carolynenjalale8794 3 года назад
Yupo Mungu kwa hakika. Mimi nimemuona akinipigania! I love your songs my brother!
@johnmshan4017
@johnmshan4017 2 года назад
Ameni balikiwa sana mtumishi wa Mungu
@evpetersamweliofficial2425
@evpetersamweliofficial2425 4 года назад
Nimeipenda Sana, hiyo sebene na solo ya uhakika, wameiweza ,na ujumbe umeshiba, UBARIKIWE SANA
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 3 года назад
Kamepigwa kikubwa sana haka solo .
@christinakapesa4207
@christinakapesa4207 2 года назад
Ubalikiwe Sana kaka
@BarakaBlessofficial
@BarakaBlessofficial 3 года назад
Yesu sio mjomba wako💪💪💪
@rajackfekix6370
@rajackfekix6370 3 года назад
Nyimbo zadin Kongo sebene
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 2 года назад
Metego,ewenase💪💪💪💪
@EasterShedy
@EasterShedy 3 месяца назад
Umbarikiwe na mungu
@tuthnjeri5607
@tuthnjeri5607 2 года назад
mungu akubari injili isonge mbele
@millicentsimiyu1363
@millicentsimiyu1363 Год назад
Wow thankful song aaah wameshindwa
@geofreykinaro3026
@geofreykinaro3026 2 года назад
I like this kabisa
@rainesshaule4856
@rainesshaule4856 Год назад
Nyimbo nzuri ubalikiwe 🙏
@malimamashaka9380
@malimamashaka9380 3 года назад
Muna tisha wapendwa
@chachalucasmwikwabe9699
@chachalucasmwikwabe9699 2 года назад
hapo tu tupo
@frankngareaboki446
@frankngareaboki446 Год назад
Nice work bro keep it up
@jamesnyamohangayanguniruto9716
@jamesnyamohangayanguniruto9716 2 года назад
Ukosawa
@domnicamadi6081
@domnicamadi6081 3 года назад
Mungu ni mungu na atabaki kua mungu
@BiiraJackline-uc7rp
@BiiraJackline-uc7rp Год назад
Wow man of God,your giving me hope, be blessed.
@greesmi.i6631
@greesmi.i6631 3 года назад
Amani God has granted grace upon, may God uplift you more haigher again and again
@catherinendinda9665
@catherinendinda9665 2 года назад
Nyimbo zako Zina nibariki
@jairuschichete2938
@jairuschichete2938 3 года назад
KARIBU KENYA KAKAMEGA. MUNGU ABARIKI KAZI YA MIKONO YAKO 🔥🎻🎶👨‍❤️‍💋‍👨🎷🎹🎵
@alialwahibi4944
@alialwahibi4944 3 года назад
Good good
@jemimabonebana230
@jemimabonebana230 4 года назад
Nyimbo zuri sana
@serilious1236
@serilious1236 3 года назад
Jemima
@mariamasawe7694
@mariamasawe7694 3 года назад
Tanzania all stars
@iteritekajosiane1888
@iteritekajosiane1888 3 года назад
Ubarikiwe sana kwa wimbo
@mercylinesharin9112
@mercylinesharin9112 3 года назад
Utukufu kwa Mungu
@jeniffermasha2540
@jeniffermasha2540 Год назад
Nice song
@abusaif6856
@abusaif6856 3 года назад
God z there for protection
@mohamedvuaa1579
@mohamedvuaa1579 3 года назад
Nani kama annoite yani uko juu kaka
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 3 года назад
Twende haraka tuingie lak moja kesha lak 5 kisha Mjini M1 naina kas ime ongezeka tufanye kweli.
@tumainimwakafuta5530
@tumainimwakafuta5530 3 года назад
Ubarikiwe
@shronali2718
@shronali2718 4 года назад
Wawesi kukuhuwa wewe ni mfalume
@dorcaslor2166
@dorcaslor2166 3 года назад
Hosanna hosanna Alléluia Amen
@jamessadickmdende6642
@jamessadickmdende6642 3 года назад
Hakika unanibariki sn Mungu azid kukuinua Anton
@agnessrobert4626
@agnessrobert4626 3 года назад
Àminaa
@gracemmari6108
@gracemmari6108 3 года назад
Ni kweli kabisa yupo muamuz wa kesho yako ni mwanadamu
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 3 года назад
Kabisa Mwamuzi wa Kesho yangu ni Yesu
@bonifacepatrick6679
@bonifacepatrick6679 3 года назад
Nice
@laulentynkolekwa9563
@laulentynkolekwa9563 3 года назад
Good
@vinniemtetezi1055
@vinniemtetezi1055 3 года назад
Amani,your songs has really bless my life,hope will meet face to face in future,may God expand your territory
@bensonkesi1489
@bensonkesi1489 4 года назад
Ahahqhqha mmi nacheka tu apa
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 4 года назад
Wewe acha kucheka nao ni binadam kama sisi .
@carolineasalh34
@carolineasalh34 3 года назад
Great song i like it so much
@stephenmutisya9008
@stephenmutisya9008 3 года назад
Sure hii wimbo unaweza
@halimajamaniamekuwamndeme9617
@halimajamaniamekuwamndeme9617 3 года назад
Safiii,sanaaa,ukinishirikisha wimbo wako wowote Niko tayari ,
@ibraerastomalata3969
@ibraerastomalata3969 2 года назад
Bosi
@christinafredrick4979
@christinafredrick4979 4 года назад
Barikiwa Kaka
@lucymashamba1571
@lucymashamba1571 4 года назад
Kazi nzuri Sana, ubarikiwe na Yesu
@agnessrobert4626
@agnessrobert4626 2 года назад
AMEEN
@faithmuthoni8425
@faithmuthoni8425 2 года назад
Kanumba
@ibrahimugwangway8181
@ibrahimugwangway8181 3 года назад
Nashukuru kwa ujumbe mzuri annoit
@MariaYusuf1
@MariaYusuf1 3 года назад
You are coming up very well keep it up praise the Lord forever bro.
@awezayesu1779
@awezayesu1779 3 года назад
Nyimbo nzuri wanao ipenda kama mimi mkowapi ?
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 3 года назад
Yaani tupo hapaaa nyimbo nzur saaan .
@selinammbaga7320
@selinammbaga7320 3 года назад
Nipo hapa.jamani
@virginieshalu
@virginieshalu 3 года назад
Mungu azidi kubariki mtumishi wake 🙏🙏
@stellahokworo6561
@stellahokworo6561 3 года назад
AMEN wimbo mutamu sana unanguvu wow God bless you more and more
@bukuruluminatha5185
@bukuruluminatha5185 3 года назад
Katika nyimbo zako hii nimeipenda saaana kuliko zingine ongera sana.
@mlokolekaokoka8962
@mlokolekaokoka8962 3 года назад
Na bado kuna nyengine zinakujaaa
@marynyanje3904
@marynyanje3904 Год назад
Amen
@estherbakunzi9546
@estherbakunzi9546 4 года назад
Annoint keep it up your my best one I love your songs God bless you forever
@AnswersfortheEndTimes
@AnswersfortheEndTimes 3 года назад
Ulindwe sana powerful song Annoint
@safy2225
@safy2225 4 года назад
Barikiwa sana annoint yaani nyimbo zako zinafundisha sana mungu akusimamie uzidi kusonga mbele katika huduma yako
@hillarykirwa6144
@hillarykirwa6144 3 года назад
May God bless you brother Amani feel blessed with your songs
@happykamwela7800
@happykamwela7800 3 года назад
Safi baba hakika ii ni kalii Sana'a asante kwa kumpambanaji
@afrikaone9609
@afrikaone9609 3 года назад
kweli kabisa bonge la Ubunifu mkubwa saana hii inafika M1 sio mda mrefu .
@gracemukuna7096
@gracemukuna7096 3 года назад
Congratulations your songs are amazing and highly anointed... Be blessed. 👌
@سعودالقحطاني-ر5ر
@سعودالقحطاني-ر5ر 2 года назад
Amina
@jastinsichalwe7631
@jastinsichalwe7631 4 года назад
Nakubali sana kak
@floramajor3381
@floramajor3381 3 года назад
Ubarikiwe mtumishi
@maximillajordan1915
@maximillajordan1915 3 года назад
Amen Amen good msge.. Nakuzikiza from Kenya kaka kaza mwendo.... Ameen
@alhasannusair7225
@alhasannusair7225 3 года назад
I love this song blessed brother❤️❤️❤️keep it up
@abiudboaz383
@abiudboaz383 3 года назад
Aliye fufuka bugaga
@gennesmoraa9380
@gennesmoraa9380 3 года назад
Hapo,ulikaa kitako ukanena.
@wayuascola3825
@wayuascola3825 2 года назад
Amen i love this song soo much🙏🙏💃
@mecktildatushabe7898
@mecktildatushabe7898 3 года назад
Nic
Далее
BEST OF ANNOINT AMANI TZ MIXED BY DJ COLLITER
48:30
Просмотров 96 тыс.
Katta janjal
00:29
Просмотров 315 тыс.
Все по факту
00:48
Просмотров 18 тыс.
The Best Of Christopher Mwahangila Songs 2021
1:35:00
THE BEST SONGS OF BONY MWAITEGE 2023 2024
1:09:11
Просмотров 136 тыс.
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Просмотров 1,1 млн