Тёмный

Annoint Amani = Yesu njoo Nisaidie (Vita ya familia Official music Video ) 

Annoint Amani
Подписаться 270 тыс.
Просмотров 691 тыс.
50% 1

#yesunjoonisaidiebyannointamani#
Huwezi kulazimisha watu wapende au wakubari kile unacho wapa kutoka kwa Mungu,
Maadam umeitwa na Mungu muache Mungu mwenyewe kwa wakati wake akutambulishe,
Maana kama wakati bado,
Utatumia nguvu sana kujitambulisha lakini wakati wa Mungu ukifika anajibu maswali yoote wanayojiuliza juu yako,Tena Mungu anajibu kwa ukubwa ambao hautaacha kiulizo chochote kwao,
Ushauri,
enderea kunyenyekea chini ya mkono wa Bwana ulio Hodari, tulia hapohapo alipokuweka Mungu, hapo ndipo pana mwanzo wako mkubwa utakao ishangaza Dunia na jamii inayo kuzunguka,
Unaweza kuzaliwa na wazaz lakini wakawa hawajui wewe ninani katika dunia,hata ndugu au marafiki,
hivyo shetani kwavile anajua una waamini watu wa karbu anaweza kuwa tumia ili uliache kusudi la Mungu ,
Mtafute Mungu sana sana,
Acha kuongea sana na watu kuhusu mambo yako,
Gfra utashangaa Mungu atakavyo kutumia kwa namna ya ajabu mpaka dunia ita Muogopa Mungu unae mtumikia)
Atrtist,Annoint Amani
Song,Yesu njoo nisaidie
Album, MIMI NDIE MUNGU PEKEE
(Lamguage Swahili)
for Bookngs
instagram Annointamani
+255767240181
+255755099942 Dar es salaam Tanzania)
Studio A,E,A Tones prod by Meddy
Video,DIRECTED BY MEDDY
+25786849123)

Видеоклипы

Опубликовано:

 

18 дек 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 327   
@kennedywanjala1875
@kennedywanjala1875 Год назад
Napenda izoo nyimbo sana naomba mungu anipe kibali namii nimtukuzee sana
@AdonisSifa
@AdonisSifa 2 года назад
Nimekuwa nikipitia jaribu langu kidogo leo. Huu wimbo umenipeleka miguuni pa Mungu 🙏🏿🙏🏿😭😭😭😭.Ushindi ni kwa ajili yetu
@meryagustini4933
@meryagustini4933 2 года назад
God bless you
@dianawayela7433
@dianawayela7433 Год назад
Pia wewe nakuombea kipaji chako kiendeleee maana KAZI safi
@AdonisSifa
@AdonisSifa 11 месяцев назад
​@@dianawayela7433Amen🙏🏿🙏🏿
@redemtormwende2251
@redemtormwende2251 10 месяцев назад
Mungu. Akumbaliki. Ulikua. Ukunda. Redemt. Jootena Utubariki
@babyrasta9685
@babyrasta9685 10 месяцев назад
AMEN , Haleluyaaa
@emmashariff6622
@emmashariff6622 2 года назад
Ameen barkiwa sana ujumbe umenigusa naomba niokoe afya yangu njoo niokoe
@elizabethotieno8875
@elizabethotieno8875 2 года назад
God is watching you.....don't give up much love from Kenya 🇰🇪
@hellengithiaka8886
@hellengithiaka8886 2 года назад
Wow Hallelujah… Annoint Yesu yukaribu Sana na wewe, usiogope…. Anapigana vita viako. Ni muaminifu. Shikilia Yesu tu pekee. Ni rafiki wa kweli. Shalom Shalom
@johnmuasya6460
@johnmuasya6460 2 года назад
mungu wa elijah kuja uthimbitishe hallelujah
@StephenKasolo
@StephenKasolo 2 года назад
Kazi safy sana
@safy2225
@safy2225 2 года назад
Ameeen ameeen ameen mungu akubariki sana sana mtumishi wa mungu annoint uinuliwe uzidi kuitangaza injili ya Bwana Mpk mataifa yote yajue mungu kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yetu
@christinejumwa7501
@christinejumwa7501 2 года назад
Ameeeen 🙏🙏 barikiwa Sana Mungu akuinue katika level ingine
@veronica1869
@veronica1869 2 года назад
Amen 🙏 🙏 🙏
@JaneMmbone-fd9jb
@JaneMmbone-fd9jb 7 месяцев назад
gossipers hudhani wanajua kilakitu,,,lakini mungu kamfichia mwanadamu rizki yakee!!!! asantee ndugu kwaizo nyumba zakujengaa!!!!
@JaneGacheri-jb9xh
@JaneGacheri-jb9xh Год назад
Bwana yesu nisaidie vita yangu ni Kali wanaonipiga vita niwatumishi wezangu..bwana nipiganie
@shabanmwaisame8735
@shabanmwaisame8735 2 года назад
Nyimbo nzur yenye hisia MUNGU azid kukuinua
@user-qi5uv9gi2t
@user-qi5uv9gi2t 3 месяца назад
Mungu nimwema ametimiza ahadi zake kwetu atafanya jmbo namini atatenda nakwangu amen
@jynkim
@jynkim 2 года назад
Yesu njoo nisaidie😭😭😭save me Lord🙏 The appointed God's time,the mostly needed 🙏 🙏🙏🙏🙏come to my rescue Lord
@suleshmacs1286
@suleshmacs1286 2 года назад
Barikiwa zaidi kaka kw nyimbo nzuri za kuguza mioyo
@kelvin-yv8rt
@kelvin-yv8rt 10 месяцев назад
Hii nyimbo imenitoa bali sana Mungu akuweke myumishi wa mungu
@solangerechol6881
@solangerechol6881 2 года назад
Ndiyo kabisa wanaokugo mbanisha ni watuwakowa karibu jamani oooh my God ubarikiwe sana mutumishi wamungu
@maureenmakokha2469
@maureenmakokha2469 2 года назад
Amen 🙏 mungu n mwaminifu kwa Kila Jambo be blessed 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@estermachea3373
@estermachea3373 2 года назад
Siwezi hata kunyamaza natoa chozii tuh bwana yesu njooo nisaidie nimalize mwendo salama
@user-ph5rk6pz5s
@user-ph5rk6pz5s 3 месяца назад
Mungu akitie nguvu mtumishi majaribu ni ya muda nakukuvukisha daraja❤❤❤❤
@getrudeongachi111
@getrudeongachi111 2 года назад
Hallellujah you bless my heart oooh God nifundishe kunyamaza nisije jibu nikakuosea
@MikaMaganga
@MikaMaganga Год назад
Nyimbo nzuri sana ruhusu basi tuzilody Mungu awenawe daima
@priscillamusembi7250
@priscillamusembi7250 2 года назад
Your songs are always a blessing. Listen to your God and not people.
@Mwendwaelizabeth477
@Mwendwaelizabeth477 2 года назад
Amen kweli iko hivyo kupigwa twapigwa na watumishi wezetu......but God will not leave you I love your songs alot
@everlineeva594
@everlineeva594 2 года назад
Glory be to GOD very powerful song ,,natamani nimalize mwendo salama
@antonywachira6102
@antonywachira6102 2 года назад
Mungu sio mwanadamu Imani 'isife moyo wewe muombe mwenyezi kila siku Naye atakuinua zaidi watakuwa ashame'i love you songs saul
@user-lq8sy4lx9g
@user-lq8sy4lx9g 3 месяца назад
Nabarikiwa sana nyimbo zak nyimbo zako zinanigusa sana
@MusyokiJosephine
@MusyokiJosephine 10 месяцев назад
Ameen...yesu akiwa upande wetu hakuna kushindwa barikiwa zaidi
@aggiefavoured4439
@aggiefavoured4439 2 года назад
Amen amen bwana nisaidie nishike mkono twende wote pamoja
@user-eb5ug5um3v
@user-eb5ug5um3v 5 месяцев назад
Unafanya roho yangu kuwa karibu na yesu,; nakupenda sanaa
@kelvin-yv8rt
@kelvin-yv8rt Год назад
Iyo nyimbo yesu atashuka kweli ama atumane juu imenigusa sana
@AliceLokure
@AliceLokure 3 месяца назад
Wimbo huu umenigusa sana,naomba ukumbukwe milele
@user-en1sr1mp7x
@user-en1sr1mp7x 2 месяца назад
Nyimbo zako nizakutia moyo ubarikiwe sana Amina
@bryankelvin7078
@bryankelvin7078 2 года назад
Uyu kijana anaweza fanya bonge moja tu la colabo na malkia Rose tunataka kuona mbingu zimeisha
@user-vz3go1fo6o
@user-vz3go1fo6o 7 месяцев назад
Asante wimbo huu umenifanya nijisikie vizuri Sana na kuto kuogopa majalibu umenifundisha neno kaka innont
@josephmayoka3899
@josephmayoka3899 2 года назад
Saut unayo ila kunabaadh ya nyimbo unaimba hatuelew et una pampaz kwel.. Nice song annoit
@maggienancy3315
@maggienancy3315 2 месяца назад
😢😢😭😭😭😭 ii wimbo imenitoa machozi it's just powerful inaedana na situation ygu 😭😭😭
@naomycherono5540
@naomycherono5540 2 года назад
Amen and Amen glory to God be blessed my brother may God lift you up good work 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🧎‍♂️🧎‍♂️🧎‍♂️🧎‍♂️
@mburumwangi3210
@mburumwangi3210 2 года назад
Dan namuona hapo...wimbo mu zuri
@mercymaina7246
@mercymaina7246 2 года назад
Nimepeda kabisa
@wanderenyeura9011
@wanderenyeura9011 2 года назад
Nabarikiwa pia aseee
@jacksonjonas3232
@jacksonjonas3232 8 месяцев назад
Kaka nyimbo zako zanibariki sana Huwa najikuta kukata tamaa lkn nyimbo zako zanibariki mungu akutie nguv
@yasintajohn1189
@yasintajohn1189 Год назад
Pole ni vikwazo tuuu ... simama kwenye mstari wako
@esaumoiseselias-gs4py
@esaumoiseselias-gs4py Год назад
Kweli kaka,Umenikubucha ni lazima tumuhite yesu_hivyo ndo tutakuwa salama Mungu hawabaliki sana Mpendwa!
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele 2 года назад
Pole sana baba yangu Usiliye nawale Wale ni wale Watumishi wanzake ao mtu awaye yeyote asikutenganishe Na Mungu wako
@dorcasanthon4143
@dorcasanthon4143 2 года назад
Dhuuu kumbe na epi upooooo sijakuona miaka mingi
@oscanyakunga
@oscanyakunga Год назад
Amen UTUKUFU kwa Bwana
@elishalameck-hj1qo
@elishalameck-hj1qo Год назад
Mungu akuinue annoint me mwenyewe nimetoa machozi
@AdonisSifa
@AdonisSifa 2 года назад
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Nakuhitaji na Leo 😭😭 Njoo babangu nishike mkono. nmechoka 😭💔
@Hakizimanakilosa-pc6un
@Hakizimanakilosa-pc6un 8 месяцев назад
Kaka ubarikiwe sana nyimbo zako hua zina nibariki sana
@RestutaDaniel
@RestutaDaniel 11 месяцев назад
Amen kila binadamu anapitia magumu mengne ya kukatisha tamaaa lkn tumtegemee yeye MUNGU
@fearful254
@fearful254 2 года назад
Bwana anisaidie kweli atusaidie
@doricemrema2177
@doricemrema2177 Год назад
MUNGU yupo pamoja nawe, usiogope eeee shujaaa.
@sospetercharlse7576
@sospetercharlse7576 Год назад
Hallelujah ujumbe mzurii unatia nguvu sanaaa
@AnnointMediaStudios4941
@AnnointMediaStudios4941 2 года назад
Unanibariki Sana barikiwa
@laluubajuta6213
@laluubajuta6213 2 года назад
Good 🙏mungu akuiniwe zaid mtumishi 😭🙏🙏🙏
@stellambilinyi5402
@stellambilinyi5402 2 года назад
Hakika nimebarikiwa atukuzwe Mungu aliye kupa maarifa yaujumbe kwadunia mzima
@judithopama8022
@judithopama8022 2 года назад
It's a touching song ,may God bless you annoit amani🙏🙏
@stephanolalika
@stephanolalika Год назад
ameniiiiiiiiii ubarikiwe.....
@joycekeruboongaga4703
@joycekeruboongaga4703 2 года назад
Amen Amen my brother unanipa ngufu asante saana
@estheraruba2569
@estheraruba2569 2 года назад
Nyimbo nzuri hii annoint mungu akuinue milele
@mercykache4235
@mercykache4235 Год назад
Amen amen Mungu akumbariki sana Tena sana 🙌🙌🙌
@parsilaa50
@parsilaa50 2 года назад
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
@denniskagema2745
@denniskagema2745 Год назад
Amani I really ❤❤ ur songs kwnza Ile y (mama)following from Kenya nkuombea mungu akusongeshe kw viwango vya juu mtumishi
@kevinopiyo9792
@kevinopiyo9792 Год назад
Baba njoo😢🙏ombi langu 🙏 thank you so much man of God,,
@carolbernard6930
@carolbernard6930 Год назад
nikiona hii nyumba namukumbuka kanumba ubarikiwe annoint
@rinahkwamboka573
@rinahkwamboka573 4 месяца назад
Much blessed 😢😢 huu wimbo umenitoa machozi
@queenmapunda7868
@queenmapunda7868 2 месяца назад
Barikiwa Anoint.kazi yako ni njema
@theophilusmoki566
@theophilusmoki566 2 года назад
Amani, i really love your songs, am from 🇰🇪huu wimbo umenigusa ila unaisha nikiwa bado sijaridhika...how i wish ungeurefusha kidogo jameniii...kwa kweli uliitwa na mungu zidi kubarikiwa mtumishi wa mungu!!!
@marybaitwa5994
@marybaitwa5994 2 года назад
Mwenyezi mungu akubariki kwa wimbo mzuri
@beckysalma9983
@beckysalma9983 2 года назад
Kenyans loves you alot❤❤❤❤👏👏👏👏👏👏asante kwa nyimbo nzuri🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@gadielsingaru3228
@gadielsingaru3228 Год назад
Your fun from kenya unaenda mbali anoit ilove your tunes💪💪
@danielkamwela289
@danielkamwela289 2 года назад
Usiogope mungu hawezi kuwa mbali na wewe wewe ni mteule Vikwazo visikukatishe tamaa..safari ya shujaa akikosi kikwazo
@annab9243
@annab9243 2 года назад
Ombi langu Bwana. Njoo nisaidie.
@abdulazizali7701
@abdulazizali7701 2 года назад
Uenuliwe na BWANA...umeugusa moyo wangu....ni kiwa Dubai
@toshhlewis6742
@toshhlewis6742 2 года назад
😭nimebarikiwa.MOLA akuzidishie baraka
@Nyandieka-gj5lv
@Nyandieka-gj5lv 3 месяца назад
I love you songs kwanza hii Mungu akubariki bro❤❤❤
@user-xm4uu7he9c
@user-xm4uu7he9c Год назад
From kenya hiyo wimbo imeniguza sana😢😢
@micracyrbukulu8141
@micracyrbukulu8141 2 года назад
Barikiwa sana MTUMISHI WA MUNGU
@paskalinathomas5973
@paskalinathomas5973 Год назад
Bro ukiimbaaaa huwa nabarikiwaaa Mungu Akutie nguvu uwezee kujua zaidi kuimba
@carolinewanjala7353
@carolinewanjala7353 2 года назад
Hallelujah. All the glory to the most high..you are going far mtumishi.
@amaniapoul7374
@amaniapoul7374 2 года назад
This is My, thanks to the lod
@irenemutheu4817
@irenemutheu4817 2 года назад
I really cried listening to this song ...don't give up man of God ..there is a reason why you are the one passing through that the Almighty God has the reason...but why do pple who are close to someone be the one who hurts pple the most don't understand....don't give up
@tegemeorwabuhaya4864
@tegemeorwabuhaya4864 2 года назад
Amen kaka uko vzr Sana unaweza kuliko unavojijua
@bikemwayowele
@bikemwayowele 2 года назад
inaliza jamani yooooooooo bwana yesu njo nishindiye
@florencemary5314
@florencemary5314 2 года назад
Njoo Yesu niokoe, alleluia Barikiwa sana
@aneshaderrickoneko572
@aneshaderrickoneko572 2 года назад
amina barikiwa bro
@lucykarii6860
@lucykarii6860 Год назад
Hakika pekee yangu siwezi
@janengunguru4710
@janengunguru4710 2 года назад
Wimbo mzur jaman nataman kuwa hivyo acha tu
@meryyohana7323
@meryyohana7323 2 года назад
Safi Sana hongera Sana anoniti amani
@user-dr2bs4rj5k
@user-dr2bs4rj5k 8 месяцев назад
Ubarikiwe ndugu yangu Annoint
@vanemomanyi6808
@vanemomanyi6808 2 года назад
Amen,Be blessed Annoint,vita Ni kawaida Na hiyo ndio hishara ya kusimama wima Na Neno la mungu Kwa kuwa Kuna mafanikio mbele let's God fight against our worries 🙏🏽🙌Mungu akuinuie Na wenye wanapata Neno lake kupitia hizi nyimbo wainuliwe Na nyota zilizofugwa zifunguke Kwa Jina la yesu,Amina👏❤️🥰big blessings from Kenya 💙
@irenesyombuanzuki8120
@irenesyombuanzuki8120 Год назад
God help your anointing people wanapitianga magumu watie nguvu
@goodluckjohnathan9312
@goodluckjohnathan9312 2 года назад
Amen glory be to God how made us, umenibariki sana na huu wimbo kaka yangu
@gracemukuna7096
@gracemukuna7096 2 года назад
Hi goodluck
@MaryMwadena-sh5ro
@MaryMwadena-sh5ro 10 месяцев назад
Waaw the god 🙏 blessed you anoint
@albanusmutunga4627
@albanusmutunga4627 2 года назад
Amen,a tree with good fruit is the one get stones, don't mind get focused
@joycemwenga3036
@joycemwenga3036 2 года назад
Barikiwa Sana KAKA, mung azid kukutumia Kwa viwango vingine
@danielk.g.official7361
@danielk.g.official7361 2 года назад
Amen.. nimebarikiwa sana .. kazi nzuri sana.. Mungu akubariki kaka
@BathisebaSumbi-zn5fs
@BathisebaSumbi-zn5fs Год назад
Huu wimbo umenibariki sana leo
@user-ne8bg5ig7p
@user-ne8bg5ig7p Год назад
Lazima kudharauliwa lakini wewe nyamaza na mtazamie mungu tu
@nikuzedansira8537
@nikuzedansira8537 2 года назад
Annoit don't give up keep up brother god blesses you i love how you sing❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Далее
Mazingaombwe na maajabu ya Chell De Magician[Part 1]
17:43
Каха заблудился в горах
00:57
Просмотров 981 тыс.
Acheni MUNGU Aitwe MUNGU By William Yilima
8:53
Просмотров 2,7 млн
Annoint Amani = Wewe ni Nani ? ( official video )
4:59
Apostle Worship
27:26
Просмотров 3 млн
СЛОТ - С.М.Г.О.  (Official Music Video)
4:01
Просмотров 133 тыс.
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
3:28
Просмотров 23 млн
MOUNTAINS
3:08
Просмотров 3,6 млн
ДжаЯмми - Туман
4:18
Просмотров 200 тыс.