#annointamani#ambwenemwasongwe#
Ni Tamasha kubwa la ununuzi wa gari ya Safina Kwaya, lililofanyika Mtwala mjini,
Tarehe 30/10/2022
Mgeni Rasmi ni Liziwani Kikwete alie wakilishwa na Mkuu wa Wilaya Mtwala mjini,DC Dustan Kyobya na viongozi wengine weng wa selekal,
Tamasha lilisimamiwa na Baba Askofu Oscar stephan Mnung'a wa Dayosisi ya Newala
/
Annoint Amani ni kati ya waimbaji walioalikwa kutoka Dar es salama )
Tunaamini umebarikiwa na video hii fupi kutoka kwa moja ya nyimbo zilizoimbwa siku iyo na Annoint Amani )
1 ноя 2022