Thanks for this show I enjoy it and it's like my Swahili class can't believe the improvement I have ever since I started watching this show 🤎from Kampala Uganda
Mm hushangaa sana na madem wengine unatoa wapi guts za kuambiwa chali eti kwa hizo kladi nmevaa umeninunulia nn!! Kwani huwezi hustle ujinunulie hata ngu lazima mwanaume kila kitu hadi cover ya simu! Utatilewa uchi mbele ya watu dem mrembo huoni aibu
Mm hushangaa sana na madem wengine unatoa wapi guts za kuambiwa chali eti kwa hizo kladi nmevaa umeninunulia nn!! Kwani huwezi hustle ujinunulie hata ngu lazima mwanaume kila kitu hadi cover ya simu! Utatolewa uchi mbele ya watu ushangae
I was dating this kale/kisii dude alikua tukigombana nipee vitu zangu zote😂😂😂mpk kwa graduation ya mtoi wangu alikam aty nimpee jacket mtoi alikua amevaa🤣kumcheki nkakumbuka everything amevaa ni mm nlinunua including boxer😅😅guess wat happened
Have never understood something, kwa nini dame akicheat boy anakuwa viorent sana,lakini boy akicheat yeye anataka uwelewe ni friends tu😂😂😂😂😂😂😂😂aiii sio poa,nyinyi wote ni cheaters lol,mmpendane tu jameni 😅
I think this girl is not that bad, imagin, anajua kujirudi na kusema sorry, i think Charles is there bcoz of money but love iko kwa huyu jamaa! Wangesolve na jamaa amtreet huyu girlchild na heshima yotee...