Huyo feisal isipokuwa Bongo hata ahonekani,,,Tangu yupo Yanga mashindano ya kimataifa afanyi chochote hata Taifa Star,,,, yy ikiwa ndani ya bongo ndio machachari mengi nje ya Bongo ni Mzoga tu
Yan sisi washabiki mwaka huu tulijua ata makundi tutafika ila kwa kweli metuangusha sina cha kusema kwa washiriki wezitu wa timu jelani ila naipenda sana azam fc ila mna kuangusha nimeumiasana
Azam wasenge tu namungo Wana status nzur zaid Yao caf itoshe tu kusemea hawawez iz ligi Wana uwezo mdogo kama izo kamera na watangazaj wa huu mchezo kutokea uko rwanda
Niliyatamka mwanzokusema azamu mbeleya APR. Hawataweza. Wanacyoweza nikutengeneza UNGA wakupikiya cyapati. Iyitimu ya APR. Nitimu yamajeshi ikumbukwe Ivo uko Tanzania. Siyo vitalo. Yaburundi
Kwa hali hii ya azam, simuoni feisal akiwa azam msimu ujao. Kama simba watakuwa serious kumhitaji feisal itakuwa ni nafasi sahihi sana kwao na hata kama hawatamhitaji timu itakayokuja na offer nzuri feisal ataondoka azam sababu hapati kile ambacho anatamani apate yeye kama mchezaji star ndani ya ardhi ya Tanzania
Walienda kufany biashara zasiri si kucheza mpira. Wangekuwa wako silias na soka ingekuwa inatish kisoka ila wapo ili waendesh biara zao. Biashar zao zinaenda na sisi wanatualibia sok letu. Bora wasiwe na timu wafany majukum mengine y utangazaji na vingine