Kila mmoja anamaisha yake bwana na hakuna anaemchagulia mwenzake namna yakuishi katika hii Dunia kwaiyo mwacheni hata kama anayafanya yapi niyeye ndio ka chagua kuishi hivyo Misa just enjoy ur life
Hamisa anajielea hawezi kucheza ayo mapepo najua munamutakia mabaa ila mungu ako pamoja nayeye nahayo ya tapita coz munapenda kumuzalilisha sana uongo muache vishara imekuwa kutangaza uongo tu
Penye mafanikio lazima kutazua makubwa we chapa kazi ukiangalia hao wanaosema wanathamani wangekua wao. So long as hujashiriki hayo wanayosema piga kazi mdg wangu
Marekani hakuna sharia ya mavazi... hivyo punguzeni kufuatilia maisha ya watu (nilini mtabadilika fala ninyi!!). Wewe tuambie kuusu maisha yako nasio hisia zako kuusu maisha ya watu wengine. Mnaboa sana aisee acha mtungiwe sheria kali ikiwezekana channel kama hii zifungwe kabisa.
Muacheni mtoto wa watu apambane na maisha kila siku hamisa kwani mnamsaidia kimaisha mkiona anaendelea maneno hayawaishi midomoni kunyweni sumu bas kama mnaskia vibaya
acha asonge mbele haki za binaadamu mwache afanye atakavyoo muhimu utajiri tuu kazi kazi sio maandazi nakushangaeni nyinyi hofu iko wap wakati viungo anavyo mobetto jitahidi mama kiama kinakuja usichelewe