Тёмный

Aslay - Ananikomoa (Official Music Video) 

Aslay
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 8 млн
50% 1

Follow Aslay on:
/ aslayisihaka
/ aslayisiaka
/ aslayofficial

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2,9 тыс.   
@levygasper7438
@levygasper7438 4 месяца назад
ambao bado mna anjoy na ananikomoa 2024 nipeni like zenu
@peterjoseph1779
@peterjoseph1779 4 месяца назад
Ngoma kali kama hii shooting can only be done in +254 Kenya 🇰🇪......ndugu zanguni watanzania naomba mnipe like
@hassanluqman7823
@hassanluqman7823 5 лет назад
Kwa kweli huyu kijana yuko na future nzuri kwa music hongera sana kijana wetu Aslay #Ananikomoa kama pia wewe ni shabiki wa Aslay naomba like yako
@kiyabonjemu9885
@kiyabonjemu9885 5 лет назад
Waooh nilikuwa nawaza umeenda WAP? Welcome again ma boy
@hassanluqman7823
@hassanluqman7823 5 лет назад
Yupo nivyenye ametulia tuh
@ritabanyanga5082
@ritabanyanga5082 5 лет назад
uko vizuri
@matokeodyabene8777
@matokeodyabene8777 5 лет назад
Jamaa kajitaidi katika ngoma inleta mafundisho na maonyo kwa wapenz
@KennethNamukowa
@KennethNamukowa 8 месяцев назад
Am Kenneth from Uganda but like this gay's songs very much
@owenmurimi578
@owenmurimi578 3 года назад
Aslay from Ukunda,Diani twakupenda,love mob
@jacksonundimu2288
@jacksonundimu2288 3 года назад
Dj shiti thanks for representing we kenyans
@ibrahimsamir7904
@ibrahimsamir7904 5 лет назад
Aslay is always my favourite artist......Kijanaa uko juu tu sana....Sijawai pata likes youtube but hope leo ndo siku yangu..Likes zishuke ka unamtambua Aslay....💪💪💪
@livingmunisi5963
@livingmunisi5963 5 лет назад
Good
@amirjumajuma4584
@amirjumajuma4584 5 лет назад
Hongera broo
@zablonkiiru6639
@zablonkiiru6639 5 лет назад
Noma
@kassimumuhija2874
@kassimumuhija2874 5 лет назад
😇😇😇😇
@abdulmahmuod2273
@abdulmahmuod2273 4 года назад
Namkubali sana DOGO ASLAY kwani nyimbo hii huwa inaa nikumbusha enzi za mpenzi wangu wa zamani, kwani hakuwa tofauti kabisaaa na maneno ya nyimbo hii, mwendo mdundo, twende na like 👉🤙
@aasshrrj7464
@aasshrrj7464 2 года назад
Haha 🤣😸🤣
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
Umetisha kinoma.
@dvjskinnyofficial2473
@dvjskinnyofficial2473 5 лет назад
haya sasa nataka niwaone team aslay wa damu hapa before #1trend gonga like hapa
@valentinerobinah782
@valentinerobinah782 5 лет назад
Aslay nikizikiza nyimbo zako huwa nakumbuka kipindi kigumu nimepitia ila kwa sasa nashukuru mungu .
@gracenatasha4056
@gracenatasha4056 5 лет назад
Aslay nakupenda sana... Kila unapoimba lazma nigonge like na niache comment...much love from 254
@bensonsiele7644
@bensonsiele7644 2 года назад
Much love aslay
@bensonsiele7644
@bensonsiele7644 2 года назад
Much love aslay
@habibamohamed3738
@habibamohamed3738 5 лет назад
Niko marekani na leo nimebarikiwa kukuwa mtu wa tisa kuona video hii..Naomba likes my East African brothers hata kama mimi ni mkenya
@ManaL-ho9cr
@ManaL-ho9cr 5 лет назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪kenya tuko
@habibamohamed3738
@habibamohamed3738 5 лет назад
Love ❤️ you mkenya mwenzangu
@ManaL-ho9cr
@ManaL-ho9cr 5 лет назад
@@habibamohamed3738 pamoja🙏
@CoachKhalifa
@CoachKhalifa 5 лет назад
tunatafuta WATU WATANO (5)walio makini na tutakaowafunza na kuwasimamia katika Project 45 ya ALPHA SUPER DIAMONDS TEAM wapate uwezo wa kutengeneza pesa ONLINE . UWE TU TAYARI KUJIFUNZA. WhatsApp +255 777 891 433. TUMA JINA NA UNAPOISHI KUPATIWA MUONGOZO...
@apiahmligo9684
@apiahmligo9684 5 лет назад
HABIBA MOHAMED nice one
@bwayeazi3782
@bwayeazi3782 5 лет назад
Kama unamkubali Aslay gonga like twende zetu
@user-pi3oo4kn6h
@user-pi3oo4kn6h 6 месяцев назад
Twende wapi 😂
@princenewton
@princenewton 5 лет назад
Kama unamkubali Aslay Gonga like +(254) alafu hivii dogo si mumusaidie (Enockbella)naye awe kama nyinyi jamani 😭
@luis9286
@luis9286 5 лет назад
Nakubaliana na wewe,
@princenewton
@princenewton 5 лет назад
@@luis9286 kabisa bro tumuombee😥
@zedyisa4770
@zedyisa4770 5 лет назад
Pia mimi nakubaliana na wewe.. Ama afanye nae colabo..
@princenewton
@princenewton 5 лет назад
@@zedyisa4770 kusema kweli collabo Iko sawa jamani😊
@ewaldmrema909
@ewaldmrema909 5 лет назад
Prince Newton 😂
@alphonsoalpho2495
@alphonsoalpho2495 5 лет назад
Kutoka kenya aisee alsy ngoma zako ziko juu sana ukija kuchapa mziki kenya sitawahi kosa wewe ni wangu wa karibu......... Nyimbo yako yatoka ndani moyoni.......ananikomoa Best song nipe Like kaa ni ukweli
@phineasmuthomikinoti7822
@phineasmuthomikinoti7822 5 лет назад
Here we r as Kenya's .am proud of bro's like this aki
@princenewton
@princenewton 5 лет назад
Wangapi wanakubaliana na Mimi Aslay anakila anachostahili kumsaidia Mwenzake (Enockbella)jamani😥😥😥Kenyaaaaa +(254)
@jameskungu5375
@jameskungu5375 Год назад
@edwingodfrey9566
@edwingodfrey9566 5 лет назад
Nzuri sana bro. Wakenya likes la Aslay tuangushe hapa furifuri sasa
@shukribante7695
@shukribante7695 5 лет назад
Sijaskiza nyimbo wote lakn najua MTU huaga hakoseei 😍😍😍😍😍aslay wangu
@sarahnduku8562
@sarahnduku8562 5 лет назад
Tuko pamoja aslay endelea vivyo ivyo..kwa kweli wimbo mtamu sana huu
@hamiduidris4397
@hamiduidris4397 5 лет назад
Nko France Paris ngoma kali naombeni like tano tu kama na nyie mmeuelewa huu wimbo Yaan vibe kama lote
@armandosibinde7405
@armandosibinde7405 5 лет назад
ARMA
@hamiduidris4397
@hamiduidris4397 5 лет назад
Niaje
@lattyhusein5453
@lattyhusein5453 5 лет назад
Kaza buti kaka
@hassanmbaki
@hassanmbaki 5 лет назад
ASLAY FUNDI WA MUZIKI AFRIKA MASHARIKI MASHABIKI WAKO TUNAKUPENDA SANA TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI MSANII WETU
@capitalo2811
@capitalo2811 5 лет назад
Naanzia 'like' Kisha ndo nasikiza. Kama ni Aslay najua ni kama Simba na Yanga!!!+254 represented
@joseecontroversial8720
@joseecontroversial8720 5 лет назад
Mbosso anatoa Nadekezwa, Nipepee na baadae anatoa Hodarii zote zina-hit, Aslay anatoa Natotoa, Kwatu na hii nyimbo yake ya leo zote zinabuma...anapata mawazo, anaugua vidonda vya tumbo, anakonda, ANAKUFA..
@raphaelbaraka7610
@raphaelbaraka7610 5 лет назад
Anaangushwa na managent hataki kutumia pesa kuinvest kwa mziki atabakibaki,,,
@winnjonas3236
@winnjonas3236 3 года назад
Kweli huu wimbo ni kama maisha yangu unampenda mtu anakudharau kweli unanigusa Sana nikisikia natokwa na machozi
@PatrickOlindi
@PatrickOlindi 5 лет назад
Ebu mninyime likes Mimi ndugu ya aslay pia
@Judy001
@Judy001 5 лет назад
Team Kenya tunakupenda
@nasrasuleiman2552
@nasrasuleiman2552 5 лет назад
Jaman Aslay upo juuu kama moto wa kifuuu
@dbashhussain8711
@dbashhussain8711 5 лет назад
Huyu ni zaidi ya killer..... Kama unakubaliana na mimi tupia like hapa
@nelsonisiongo8821
@nelsonisiongo8821 5 лет назад
Amazing TV safi sana
@onceemanuel1522
@onceemanuel1522 5 лет назад
Amazing TV penda sana aslay uko vizuri kimziki
@limbumboyi1233
@limbumboyi1233 5 лет назад
Hakuna wa kumfikia aslay bongo nzima kwa sasa
@blaise7380
@blaise7380 5 лет назад
How can someone dislike this kind of Mastercraft. Haters in 2018 will all become likers in 2019. Your talent touches my soul. I hope one day we Can do a show in Dubai.
@andrewkiplagat5373
@andrewkiplagat5373 5 лет назад
Aslay kwa ukweli nakutambua saan 254 twakupenda sana wangwana nipeeni like Moja tu na roho yangu itatulia legoo
@kintujensen9648
@kintujensen9648 5 лет назад
Andrew kiplagat yuko vzr
@benotyiambo179
@benotyiambo179 5 лет назад
Good god is good
@hermankamarikigalavaidaywa1213
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-skAkXozf_Cg.html MSANII ASLAY ASEMA KUWA ANA KAZI NA OTILE BROWN NA KAMWE HATAJIUNGA NA WASAFI ANASEMA ANA HAJA SANA YA KUFANYA NGOMA NA NYASHINSKI NA KUWA MASHABIKI WAKE WENGI NI WA KUTOKA KENYA TAZAMA INTERVIEW HII USISAHAU KU SUBSCRIBE
@asiajumanne8775
@asiajumanne8775 5 лет назад
Asiay ukovizurisana
@geofreyishengoma8063
@geofreyishengoma8063 5 лет назад
Hoya
@kevinfrancokevin
@kevinfrancokevin 5 лет назад
Dah... kama watoka Kenya nipe like.... team +254
@kitabwana9741
@kitabwana9741 5 лет назад
Mjomba uko good sana nakuelewa
@kitabwana9741
@kitabwana9741 5 лет назад
Mzee baba chochote unachotoa kwangu nimuhimu
@azariamajila7382
@azariamajila7382 5 лет назад
Eee mungu baba simamisha dunia nishuke iko pouwa sanaaa
@nanaleetz
@nanaleetz 2 года назад
Aslay we mchawi ngoma zako aiwezekan leo nimeziskiliza zote😘 dah aziishi ladh
@emerculateadema2545
@emerculateadema2545 5 лет назад
Wimbo mtamu sana,,, jamani tumpeni aslay likes kama zote from Kenya
@janerosemaranga8069
@janerosemaranga8069 5 лет назад
Hata wakusemeje ..team Kenya tunakukubali....Halafu najua una mipango zuri za kimataifa,wewe usiharikishwe na watu...watu wana maneno mengi....najua masuprice ziko njiani...wanao ongea waongee tu....sisi team 254 tunakukubali...halafu ukamueka wetu DJ shittii...wewe ni fireeee
@neemajovita3920
@neemajovita3920 5 лет назад
Wa ukweli
@arafaally7325
@arafaally7325 5 лет назад
janerose maranga haaahaa
@janerosemaranga8069
@janerosemaranga8069 5 лет назад
@@arafaally7325 nini ????
@seletobiasi2553
@seletobiasi2553 5 лет назад
asirey
@maenzemasinde3158
@maenzemasinde3158 4 года назад
Nyimbo..nzuri.sana....naipenda..sana
@fatmamasoud6243
@fatmamasoud6243 5 лет назад
Nikooo Nairob kenyaa kamaa umeuelewaa huu wimbooo gongaa like hapaa 🔥🔥Aslay
@tsunamimaica4223
@tsunamimaica4223 5 лет назад
Fatma unakaa poa...nai pande gani?
@hamzamuhammad6220
@hamzamuhammad6220 5 лет назад
Mi mgeni kutoka U.S.A naomba kampani yako
@fatmamasoud6243
@fatmamasoud6243 5 лет назад
@@tsunamimaica4223 Nairob kenya westland
@zuhurakweliananikomoaamiri8276
Fatma Masoud 💖
@ayubusossy2893
@ayubusossy2893 5 лет назад
Fatma Masoud hi
@khalidfaisal921
@khalidfaisal921 5 лет назад
Kama uko hapa b4 1M nipe like😍😍asly❤️❤️
@razakihassani8048
@razakihassani8048 5 лет назад
Katisha H
@sandisteff7345
@sandisteff7345 5 лет назад
To irine nechesa nyimbo zko zote sanibamba lv BT ingage to free masons
@sandisteff7345
@sandisteff7345 5 лет назад
Sory to ingage to free masons
@ivvystecy7368
@ivvystecy7368 5 лет назад
Vizuri Sana
@hemedali85
@hemedali85 5 лет назад
aslay ni noma kama nawe una mkubali gonga like hapo chini
@benardmusa718
@benardmusa718 5 лет назад
Ujawai niangusha Aslay 254 represent
@animalhunter9780
@animalhunter9780 5 лет назад
daaah blaza hii nyimbo naisi umeniimbia mimi maana nailudia ludia sana inaniusu kabisa
@robertadvance2384
@robertadvance2384 5 лет назад
Haya twende sawa,,, wanaomkubali aslay mikono juu!!!!!!
@djspice254
@djspice254 5 лет назад
ANOTHER KILLER TUNE FROM ASLAY..LIKE KAMA UMEIPENDA...MOB LOVE FROM +254.
@mawiamunyoto2194
@mawiamunyoto2194 5 лет назад
Alafu mtu aingie RU-vid aongelelee huyu kijana shindwe. Dj shiti usibaduke hapo hii ni kuuuubwa 🔥🔥🔥
@adelinasteven5841
@adelinasteven5841 5 лет назад
nakukubal na mengi Aslay kwanza una umri mdogo ila unajielewa sana,mstaarabu hutegemei brand au jina la mtu ili utoke,,,,unajiweza mwenyew keep it bro,,, i lov u to the extent i cannot explain it!!!
@swedimbaluku8020
@swedimbaluku8020 5 лет назад
Lispecti niga ikopoa kinoma
@cleverp36
@cleverp36 5 лет назад
Soweto south Africa like Kama zote yan angussha hapo
@neemashadrak1193
@neemashadrak1193 5 лет назад
sana yaani
@kidelamsuya5484
@kidelamsuya5484 5 лет назад
Ananikomoa, kama na wewe unakomolewa gonga like twende sawa. Penzi la sikitiko bora lifike kikomo.
@wambilinyi6578
@wambilinyi6578 5 лет назад
Hahaha
@kidelamsuya5484
@kidelamsuya5484 5 лет назад
Mbona unacheka tena 😂😂?
@najmakikula4929
@najmakikula4929 5 лет назад
Kidela Msuya san tu
@michaelmichael4134
@michaelmichael4134 5 лет назад
Imenibamba Xan hiyo big up my young bro
@christinapetro4011
@christinapetro4011 5 лет назад
Kidela Msuya I.
@shamsheryaj18
@shamsheryaj18 5 лет назад
Unajua mwamba Nakuombea kheri sana kwa allah Kama unamkubali aslay na unamwombea kheri kwa allah dondosha like zako hapa
@elishajohn4001
@elishajohn4001 5 лет назад
Nani anaxkilza hii ngoma june 2019 weka like twende sawa
@mchumbaneema215
@mchumbaneema215 4 года назад
aise nampenda San huyo jamaaa
@mohammedshaik1870
@mohammedshaik1870 5 лет назад
Kaka aslay wemkali wawa nyama Mungu akulinde katika kazi zako tena wewe usiyasikiye wanayo yasema watu omba Mungu tu naumtumainiye Mungu tu,,ila kaka yangu nina kuomba umurudishe shem mama moza ili mwenyezi Mungu akuzidishiye mibaraka zaidi kk usikubali kuowa mke wapili nono usiwe kama hao😗😗😗😚😚😍😍
@philipfulu
@philipfulu 5 лет назад
Kweli wimbo huu tena umemdhihirisha Aslay kama mojawapo wa magwiji wa ushairi na mziki Afrika
@joycelucaslemboto1035
@joycelucaslemboto1035 5 лет назад
iko pw sanaa
@kasimchohe345
@kasimchohe345 5 лет назад
ngoma ya ukweli San kama unamkubali #Aslay gonga like👍 hapa
@allymakanyaga4397
@allymakanyaga4397 5 лет назад
yuko gd
@kizunguzungubala
@kizunguzungubala 5 лет назад
👍
@kasimchohe345
@kasimchohe345 5 лет назад
yuko poa sana #Aslay #@Ally makanyaga
@antonyoj7761
@antonyoj7761 5 лет назад
Mi cjui niseme nn nakukubali hadi cjielewi
@salmaaidan169
@salmaaidan169 5 лет назад
Noma kipenzi chaloho yangu ujuitu
@uaguag7607
@uaguag7607 5 лет назад
DJ shiti nakuona hapo na ndizi Nitaambia nini watu
@ludachris8235
@ludachris8235 5 лет назад
uzair ahmed ntaabia nini watu!!!
@fadhilichikolo3844
@fadhilichikolo3844 5 лет назад
Good song move on
@amisisteven8339
@amisisteven8339 5 лет назад
Kalii saana ! Hii nomaaa duhh👏🏽😂 .... mi simba yeye ni yanga 🤴😁
@ramadhansesala4891
@ramadhansesala4891 5 лет назад
Aslay kings music Inakuhusu Njooo kwa Kiba
@DorisJames-i3k
@DorisJames-i3k Месяц назад
Kwanini hizi nyimbo usizirudie Kwa miondoko ya Sasa jaman 🎉
@lazaropatrick3639
@lazaropatrick3639 5 лет назад
Kwakel dogo anaimba kwa hisia Kali sana Yan Kama umeikubali hi ngoma tupia laik hapa
@rapandooscar9306
@rapandooscar9306 5 лет назад
Aslay si uongo hii umeweza bado nakufagilia
@ntawurusigajaphet8813
@ntawurusigajaphet8813 4 года назад
Watoe mpya waache, huu wimbo naupenda mpaka basi, love From Burundi +257, 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@anithadadiva9104
@anithadadiva9104 5 лет назад
Mungu amzidishie uzma na nguvu azid kuteletea vitu vuzuri kama wew in team aslay Fanya ku like apa
@jacksonlenadi1365
@jacksonlenadi1365 5 лет назад
Jack.Renad
@amoskishiwa7135
@amoskishiwa7135 5 лет назад
Anitha Da Diva yuko vizur kiukwer
@hancybinho665
@hancybinho665 5 лет назад
Au kachoka dagaa
@titusnthiani8107
@titusnthiani8107 5 лет назад
Aslay ntakusema kwa baba juuu we ni mkali nipeni lyk zangu b\s
@AmaniChalale
@AmaniChalale 8 месяцев назад
aslay hongera sana .kwakweli ujumbe umefika kwa wote, kweli wimbo huu kama unapitia changamoto ya ndoa utatokwa na machozi.
@yusuphtyga1302
@yusuphtyga1302 5 лет назад
Mzee baba Ngoma kalii 🔥🔥🔥
@godfreysephania9938
@godfreysephania9938 5 лет назад
Watu wanamkubali lakini mm nizaidi ya wote nampenda kabisa iv ameoa
@wanzia
@wanzia 5 лет назад
Aky aslay ngoma zako hufil the heart and soul.. I know will do a cover of your song one day ama collabo na wewe.... Lots of love... Aki patieni aslay likes
@kadeejak6292
@kadeejak6292 2 года назад
Aslay nyimbo zako safiii hongera dogo
@margaretsidi6775
@margaretsidi6775 2 года назад
Good song
@margaretsidi6775
@margaretsidi6775 2 года назад
Nyimbo Bomba yaan tu,
@dofingnoir5377
@dofingnoir5377 Год назад
@@kadeejak6292 'l
@scorpionshunters1995
@scorpionshunters1995 7 месяцев назад
io siku ifike,takua photographer😅
@menzalydia535
@menzalydia535 2 года назад
2022 and this song still hit💕💖💖💕I love this guy so much💖💜
@damariskimani4232
@damariskimani4232 Год назад
2023 still a hit
@amanimatata7891
@amanimatata7891 Год назад
2023 💥👌🏼
@boazmboya
@boazmboya 5 лет назад
Nimeona DJ Shiti mahali..254 represented... Like zije sasa... Aslay anatambaaa
@dennisnyaanga3681
@dennisnyaanga3681 5 лет назад
kama umeona dj shitii acha like hapa
@bwokemwa2299
@bwokemwa2299 5 лет назад
Finally, "mungu simamisha dunia nishuke, nimechoka", there it is for the future generations to know the language twists of our time. Good music as always.
@abdinasirxuseen8945
@abdinasirxuseen8945 2 года назад
pl
@aboefromsingda5527
@aboefromsingda5527 5 лет назад
Ipo makini saana artist wangu
@omaryabdallah3819
@omaryabdallah3819 5 лет назад
Dah hii sungura inajua jamn laaaaah big up sana mdogo etu like kama kaeleweka
@annazagabe7569
@annazagabe7569 5 лет назад
Nice song my young brother
@caren0loo785
@caren0loo785 3 года назад
Wakenya tuko na DJ shiti nani amemwona like tukisonga
@claremadegwa2678
@claremadegwa2678 2 года назад
Kweli nimekomolewa,kila siku visa,penzi la sikitiko ,maji nimeyanawa mimi pia nguo nimezivulia ,vibes to the soul watching all the way from asia ,God bless you .umeuliwaza moyo wangu with the song
@nasraissa8716
@nasraissa8716 5 лет назад
daah imenigusa sana achani tu mapenzi haya jamn#ananikomoa sapoti mzki mzuri
@smilejulius8216
@smilejulius8216 5 лет назад
hat akosei au mnaonaje wana
@nasraissa8716
@nasraissa8716 5 лет назад
Smile Julius fundi Sana
@smilejulius8216
@smilejulius8216 5 лет назад
au ww unaonaj s bira ujanj kitu kinaend t am a vepe
@mbunah255
@mbunah255 2 года назад
Can't get enough of this song who else here 2022 it 💥
@goneent.
@goneent. 3 года назад
Just discovered this addictive song....bravo Aslay.😘😘😘😘😘
@jonathanorengo3163
@jonathanorengo3163 3 года назад
1x
@wangusue7639
@wangusue7639 2 года назад
from Kenya aslay I have nothing to appreciat you ila tu mbele za mwenyezi mungu
@frankjully5457
@frankjully5457 5 лет назад
hii nyimbo ilivyotoka nilisema dogo abadilike kimuziki Leo zaidi ya wiki mbili dogo hajafikisha views million moja wakati aslay ilikuwa wiki tu anafikisha badilisha muziki wako
@kelvinkimathi6498
@kelvinkimathi6498 5 лет назад
Watching in Kenya this song is good thank to Sana aslay
@luckyboiofficial4342
@luckyboiofficial4342 5 лет назад
Aslay wah sauti nyororo sana keep up bro.....ur die hard fun from kenya
@moblack915
@moblack915 5 лет назад
wewe tena wala ukoseagi,,,, kazi nzuri
@watambulaioci
@watambulaioci Год назад
Kama umesalutiwa, alafu ukaja kuskia huhu wimbo, lazima utokwe na machozi, ohh aslay you're the best
@creativehacks8593
@creativehacks8593 4 года назад
Ngoma noma....gonga like kama umeona DJ shiti kwa hio video
@mohamedyally4782
@mohamedyally4782 5 лет назад
wimbo mzuri km unamkubali aslay acha like
@jayclause9871
@jayclause9871 5 лет назад
ngoma kali wapi likes za 254+ kama umeona Dj shiti kolongolo mnyanya
@masoudmwazito6992
@masoudmwazito6992 5 лет назад
Umekubalika watasubiri sana
@MalckJohn
@MalckJohn 5 лет назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-YZWsTkRCTOU.html
@stevenkemodio3485
@stevenkemodio3485 5 лет назад
Huyu ni wetu
@baibeprecious9885
@baibeprecious9885 5 лет назад
Like DJ shiti mwaaaa
@mercyachieng7057
@mercyachieng7057 5 лет назад
Sikua nimeona shitii😂😂😂😂
@yrsmchaff2370
@yrsmchaff2370 5 лет назад
km unaamn km mm kuwa aslay kawazid wote kwa saut gonga like hp twende sawa
@patrickmakiro334
@patrickmakiro334 5 лет назад
utazani kihalisi maisha y'a kimapenzi y'a Aslay ni mikikimikiki.
@dhahabu9219
@dhahabu9219 5 лет назад
Hawa wanaume wa kusumbiliwa na wanawake wanapatikana wapi? Natafuta mmoja aje nimfariji!
@abdilahkhmakame3733
@abdilahkhmakame3733 5 лет назад
Tupo
@muhumuzarichard24
@muhumuzarichard24 5 лет назад
Ladies and gentlemen who can teach me Swahili language Aslay u sing nice and I like all ur songs!!!!! beautiful beats n voice.
@aingatv5389
@aingatv5389 5 лет назад
Before 100 views I was here. My best bongo artist. Still waiting ile collabo yako na Otile Brown. +254 well represented.
@sheikhasaid3646
@sheikhasaid3646 5 лет назад
Mbona imetoka kitambo hio collabo jaman
@aingatv5389
@aingatv5389 5 лет назад
@@sheikhasaid3646 waliupload then wakatoa.
@richardeugeni8935
@richardeugeni8935 5 лет назад
bonge ya ngoma
@abdallahesika8407
@abdallahesika8407 3 года назад
Hakika Aslay uko vzr,nakukubali sana. Hicho kikombe ulichonywea maji kimenikumbusha enzi hizo
@petergitonga8447
@petergitonga8447 5 лет назад
Wakenya wapi likes za Aslay na dj shiti kwa video kali sana...
@saddyclassicfashion9577
@saddyclassicfashion9577 5 лет назад
Nkkbl Sana kaka ila umepotea kidogo cjui ni kwanini like hapa km umenielewa
@fabricemugheni2950
@fabricemugheni2950 5 лет назад
Ngoma safi sana wapi like za +243 Team Aslay toka congo
@joelkahuya1940
@joelkahuya1940 5 лет назад
Nataman sana huyu jamaa abadilishe ladha coz ni mkali asiendelee vile vile, Tz tumeshamkubali apanue wigo sasa.
@msupawafitnesshealthwise5102
@msupawafitnesshealthwise5102 7 месяцев назад
5yrs down na bado niko hapa ❤❤ be blessed aslay
@user-zg7zh5ff5t
@user-zg7zh5ff5t 7 месяцев назад
This guys is Killing my m'indiquer always listen d'à song
@jecintawangui622
@jecintawangui622 2 года назад
I love people who love aslay's songs coz wueeeeeh....my favorite always ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@alickomasoud5477
@alickomasoud5477 5 лет назад
Kama bado unauangalia hii ngoma like twende sawa apa
@azizaali2395
@azizaali2395 4 года назад
Pambana mdogo wngu
@victorgriffins5632
@victorgriffins5632 5 лет назад
ASLAY the only man who sings sense in all his songs.. ukiendelea hivi utaenda mbali saana bro.. NAPENDA SANA NYIMBO ZAKO BRO.. zidi kwasha moto na usirudi nyuma
@buseninowilondja7496
@buseninowilondja7496 5 лет назад
I like this song Aslay
@user-nl3ti6yg1k
@user-nl3ti6yg1k 9 месяцев назад
kweli bwana unajua kuimba mungu Akulinde kwa kipaji tshako
@deborahelias3503
@deborahelias3503 5 лет назад
Ee Mungu baba simamisha dunia nishuke!!!!!!!
Далее
Aslay - Kwatu (official  Music Video)
3:32
Просмотров 7 млн
Mbosso - Haijakaa Sawa (Official Music Video)
3:16
Просмотров 19 млн
Nyaku Nyaku
4:08
Просмотров 665 тыс.
ASLAY - ANGEKUONA (OFFICIAL VIDEO)
3:47
Просмотров 17 млн
Chege feat Alikiba - Kipofu (Official Music Video)
3:59
Aslay - Totoa ( Official Music Video )
4:39
Просмотров 4,9 млн
RICH MAVOKO - IBAKI STORY (Official AUDIO)
3:45
Просмотров 1,3 млн
Aslay-Naenjoy (Official Video)
3:50
Просмотров 9 млн
Mohsen Yeganeh - Behet Ghol Midam ( I promise you )
4:45
Aslay - Hauna (Official Music Video)
3:37
Просмотров 7 млн
Diamond Platnumz - Sikomi (Official Video)
4:03
Просмотров 69 млн