Verse 1: Aslay] Mwili umejaa vidonda donda Kisa kupenda, aah Naitwa bwege naishi kwa kuonga onga Sabuni chooni namaliza mimi kwanini jamani Kama Mwajuma nilimpa simu cha ajabu kanipora Salima hataki mapenzi anataka pochi Magugu Avelina baada ya kumpa gari eti hanitaki Nguvu sina eeh wolololo [Chorus: Aslay] Aai, bora nife Huenda nitagomoka pengine, mmh Aai, bora nife Huenda nitagomoka pengine Kwani nasubiri nini duniani Nasubiri nini, mmh Kwani nasubiri nini duniani Nasubiri nini [Verse 2: Bahati & Aslay] Aai, nilimpendanga mwenzangu akaumiza roho yangu tu 'Kaniwazisha niwe padri nihudumie kanisani Aah, ooh, aah Nikaogopa mapenzi tu Tena usije unasumbuka kutoa uhai (ni ya nini?) Sijamlaumu wala kuwacha zamani (zamani) Ukikata na roho utajibu nini siku ya kiama Kama Diana Nimempa simu cha ajabu kanipora Aai, Penina Hataki mapenzi anataka pochi Mama Ivana Baada ya kumpa gari eti hanitaki Nguvu sina (wolololo) Nguvu sina, eeh [Chorus: Bahati, Aslay, Both] Aai, bora nife (bora nife) Huenda nitagomoka pengine (labda nitagomoka, eeh eeh) Aai, bora nife (wololo wololo) Huenda nitagomoka pengine Usiseme, usiseme Unasubiri nini? (nasubiri nini) Duniani (nasubiri nini) Nasubiri nini? (nasubiri nini, eeh) Usiseme unasubiri nini Duniani (nasubiri nini) [Bridge: Aslay] 'Japokuwa hujaniwishi kwenye birthday yangu Ila usikose mazishi kwenye msiba wangu woah, woah 'Japokuwa hujaniwishi kwenye birthday yangu Ila usikose mazishi siku ya msiba wangu SHARE THE LYRICS “BORA NIFE” TRACK INFO FeaturingBahati Release DateApril 14, 2018 MUSIC VIDEO  COMMENTS rebecca 2 years ago aslay unatamba kweli
Kali tu sana.......napenda maneno,colour ya kila kitu inavutia sana.......Aslay ad Bahati mko😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😍