niliachwa na kipenzi changu kisa sikua na hela saizi nimefaulu kwenye maisha mmoja mwaka mmoja sasa alie niacha anataka tuwe pamoja hii nyimbo yaka kama yanizungumzia
am a Kenyan living in Spain!! loving my east Africans brothers and sisters!! I wish munge translate this bongo songs in Spanish!!! hawa watu wanadance this song huku!!! waeleweeeeee!!! oh Lord!!
kwangwaru imemaliza east africa mzima lakini ikifika december tutakuwa tushasahau. THIS ASLAY SONG IKO 15 MONTHS KWA TOP CHARTS AND STILL GETS BETTER. MASTERCLASS.
Muhudumu!!! Doh!!!...kitu kizoto kweli, hata wazee wa jana kama mie nakienzi kweli....hakika yanayowapata vijna ni mengi....hata kulenga mpira wa vijana ni balaa belua....nafa na kicheko!....Hongera ndugu wa Tz....mwawakilishwa hapa Nakuru vilivyo!
Mungu akusimamie jamani mwaka huu uwe wa maajabu kwako. Una kipaji kikubwa kuliko wote Tanzania amini nakuambia, labda wakati wa Mungu haujafika lakini ukifika watu watakubaliana na Mimi. Mungu akulinde
Aslay aliimba makamo haya ila kiukweli hamfikii huyu dogo mi namuona mbali sana eee mwenyezi mungu simamia kipaji chake na muepushe na watu wenye husdaa❤❤❤❤❤❤❤
I thank God for healing me 😢 people used to tell my baby daddy am barren , we broke up when am pregnant am a happy single mum being a woman needs a lot of strength 😢❤
I like you kenyans, you are good supporters of Tanzanian music, you are true brothers and sisters. Les wanyika were muscians from Tanzania and you supported them till most of them married in Kenya and died in kenya.
Beautiful beautiful music. Tanzanians get it so right! No pretence, real real situations. I have always heard this song when im out. The video has made me love it a million times more!!!
Mme na mpenzi hujui Nani umwendee...😭😭😭😭 254 ndani ya Doha 974 gonga 👍🏾 Real life story for me at the moment nyimbo zako zote hadithi yangu Mimi balaa hizi
Guys,I was never interested in Bongo Music...but fam,I just discovered Aslay...guys,his tracks,his tunes,his beats...his passion,his music...they just killed me...guys,I listened to this...and some more...fam,I was left in tears...big up this guy...love your music so much...I think you should be the best musician TZ has ever had
This guy is young yet I dont understand where he gets this lyrics from.... All his songs are love songs and got true meaning in them.... Big ups bro, your level is top high #254
Tanzania is full of great poetic artists but believe me aslay is not just an artist. Many years later when we are already gone they will be talking about this dude. His music is alive. Music is not fireworks but the feeling and message you get from it
Baada ya angekuona mama mke wa aslay ameshatoroka tena? nyway this guy is rocking the airwaves hate him or love him , the truth be said, this guy is the byaddest!!
Aslay umeua sasa ni kazi no lazing around. nameipenda sana hii keep fire the fire burning you are doing a great job......Kenyan love from Kenyan bae😙😙😍😍😍
255 will always top the E.African Music scene.."Muhudumu" is a very mature sound.. well thought out track. Good composition . Music that evokes emotions are hard to come by in this generation we are in today.