Dogo endelea vivo hivo, East Africa ni yako.. Kenya twakukubali sana... Wenye mnaamini anastahili kuwa artist of the year mikono juu✋✋✋✋ kwa kugonga like hapo down.
I think is one of the best songs from Tanzania and East Africa in 2018. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Nibebe bee [nakupenda usiwe namakuu]BabyNibebe bee [atakama nikininginiza miguu] Nibebe bee [wanataka niwechini wao juu] Mpenzi wee ninbebe bee {aaanhnn annnh
Huyu kijana hapotezi,yaani kila corner Nairobi na Mombasa kila mtu "ASLAY KICHAPO" utaratibu na ustaarabu kwenye sanaa.Congratulations,there's no flamboyance or mimicking in almost every presentation. Creativity at its finest
@@aminata3702 Inakaa haujaishi pwani wewe. Maana wazaliwa wote wa visiwani Wana mfumo mmoja. Si Tanga,unguja,kismayu,Comoro islands, daresalam au Pemba. Sote tunajuana kwa vilemba.
I like the fact you are independent from great labels like Wasafi...it makes your music and life have no contraversies...your record label/producer has also a cutting art/production
Aslay nampenda kuliko kitu chochote, my bro from TMK unajua vbaya, nikisikiliza hili goma, namkumbuka sana mitaa ya mwembe yanga! Da hatar sn but am in Canada now! 20/2/2024! Tujuane jaman
Jamanii asley unakuja niuwa.... Ka nyimbo kame tuliya sana... Nakapenda sna yani clip nzuri umetuliya unaimba kwa utaratibu... Natamani ata Diamondi angeangaliya mufano kwako unavyo tuliyaka kwenye clip zako
''ucwe mchonga vinyago ukanifilisi,uweke tumbo mble mble kw kuku na chips,chunga utkula fisi.........''' aky ur more dan a wizard kaka blaza big up..........#254 😂😂😂😂
This guy on the the violin,anaweza akamvuta nguva mwenye ushangaa wa dhahabu na kumleta ufuoni na mwisho akumfunga mabao.What a splendid combination!!!!