Jana Githurai watu waliuwa wengi Sana usiku yote hadi asubui mbona mjatangaza Githurai na watu wamekufa wengi Sana uko why mbona Ruto unatishia Channels wakitangaza utauwa mbona why why RUTO 😭😭😭 Githurai wameuwa watu Sana more than 150😭😭😭😭💔
@@magdalenemakau2631 yes media zimetishiwa kutoa hiyo news but wako nayo endeni Twitter muone vile watu wamekufa Ruto is killing people Jana alituma KDF uko Githurai na akatuma pia military CBD to shot to Death.
Be careful what comes out of your...tunakuona na tunakuskiza...you don't need kutuletea kdf,gsu,ama ata wewe..stop using energy!we just want our voices to be hard period.
Ati MWANAHAMISI umesema mswada wakifedha umebakia Rais kutia sign upitishwe🤔🤔chunga maneno yako hakuna mswada wa kifedha unapitishwa,unatupiliwa mbali ama tuandamane nchi mzima,Ruto must go
Kweli wamearibu duka lote lakin pia wakumbuke Huwo ni unyama ambayo itakuja kua laana kw walio shiriki hilo sasa basi iyo kumbe aukua wanaandama ni wisi alavu watu wanazingizoa ni maandamano ila tujueni kwamba ulicho panda ndio utakae vuna
Azimio watuambie sasa kama hiyo ilikua maandamano ya amani,who are sufferers in these country if not parents?.I think leaders who are using our youth wrongly, should reason well beyond their noses before doing anything.
Wewe please stop trying to speak good of Ruto this man has sold the land to enemy including his cabinet who are cowards if not they were supposed to tell this Ruto Can we sit back and rethink.