Atukuzwe Mungu. Haya ndio mafundisho yanayo takiwa wa kristo wote wayasikie... Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hakllelujah hallelujah hallelujah, napokea utajiri wa utukufu wa urithi wa Mungu Baba muumba vyote, Mimi sio maskini, mimi ni tajiri, Amen!
Jamani apostle naomba uniombee ,hili somo limenifungua nimegundua kwenye familia yetu kuna roho ya kusema uongo kwa Dada zangu na kaka zangu yani akikwambia kitu cha uongo utadhani ni ukweli na ni wote kwenye familia hata Mimi ingawaje naomba kwa ajili ya halo hiyo Mungu aondoe kila urith
Ameen, Napokea urithi mpya wa kiroho na kimwili katika Kristo Yesu, Kwa damu yake inenayo mema ika nene mema juu ya magonjwa ktk familia yangu na mimi mwenyewe,Umaskini na roho za kucheleweshwa.Ikazae afya,utajiri na mpenyo ktk kila mipango na malengo yangu na familia yangu.
Namshukuru Mungu amekutumia Apostle, leo nilikuwa najiuliza maswali mengi juu ya mambo mengi yamenizunguka ya urithi mbaya wa familia,namshukuru Mungu nilipoingia tu utube nikakutana na hili....leo nimefunguliwa Mungu akubariki Apostle.
Amen my Apostle nimelielewa sanaa hili somo Asante kwa mafundisho haya Mungu azidi kukutumia kama chombo chake Mimi nimeitiwa kuwa tajiri Nina Amani tangu Bwana Yesu aniokoee nina Amaniiii🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Eh Mungu nifungue mpaka nimefunguliwa completely, KILA urithi usionekana ambao ni mbaya kutoka kwa babu zangu naukataa KWA JINA LA YESU, Nakataa kubeba style zao za kuishi ambazo hazikupendezi Elohim , Apostle Mtalemwa, Thank You for Serving Us. I'm delivered
Tumsifu Yeu Kristo Apostle. Neno la Mungu lasema, bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake Kweli kabisa knowledge is power