Тёмный

ATIWA MBARONI KWA MAUAJI YA RAFIKI YAKE NA KUMUIBIA MILIONI 61, KAMANDA AFUNGUKA ILIVYOKUWA 

Подписаться
Просмотров 7 тыс.
% 42

Mussa Khamis Bakari alimaarufu kama buda mkazi wa Temeke Dar es salaam anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumuaa Abdallah Twahir Selemeni mkazi wa Chanika baada ya kufanya tukio hilo mtuhumiwa alichukua mwili wa marehemu na kuutupa pembezoni mwa barabara itokayo Cheka kuelekea beach Kichangani baada ya hapo akachukua kadi ya benki ya marehemu na kwanyakati tofauti tofauti alianza kutoa pesa hizo
Taarifa hio imetolewa leo Julai 11,2024 na Kamanda wa Polisi Jumanne Muliro alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano kituo cha Central Polisi Dar es salaam

Опубликовано:

 

11 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 20 дней назад
Siku hizi rafiki yako ni Mungu wako tu.
@JacksonChikopole-um6kn
@JacksonChikopole-um6kn 17 дней назад
Hongereni jeshi la polisi kwa kazi nzuri
@user-md7bq3ew4e
@user-md7bq3ew4e 20 дней назад
Pesa una nn mpaka tunatoana uhai? Ee Mungu uliye hai utusamehe sisi wenye dhambi.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 20 дней назад
Ila polisi wakiamua hata ungejificha wapi watakupata tu
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 20 дней назад
Ndomana mimi sina rafiki 😂😂
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s 20 дней назад
Rafiki staki kwa kweli
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 20 дней назад
TamaaZingine.SubhanaAllah.sasa.kapatanini
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 20 дней назад
Chamsingi mambo ya pesa usimshilikishe rafiki wala jilani
@tupegigwensajigwa2629
@tupegigwensajigwa2629 20 дней назад
Rafiki hakika hakuna kabisa wengi ni chatu
@Yassinseleman
@Yassinseleman 20 дней назад
Hongera jeshi letu kwa kazi nzuri
@arafahhh5574
@arafahhh5574 20 дней назад
Mungu kamlaani kauwa pesa hajazitumia na inshalkah jela ya milele ataingia
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 20 дней назад
Rafikiako die hadui wa miasha yako usimwamini sana
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 20 дней назад
Ukidharirisha.Allah.Anakudharirisha.pasupasu
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 20 дней назад
Walichome hadharani
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 20 дней назад
Rafiki mkia wa fisi wallahi!
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 20 дней назад
Innalilah.weee.rafiki.mnafiki
@user-dz5jc6pp8e
@user-dz5jc6pp8e 20 дней назад
Anyongwe
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 20 дней назад
Buda kweri wakala wa sweitwani huyo nae anyongwetu basi wakakutanehuko maana huyo umbwa hanaatahuruma. Unamuua rafikiyako kweri
@JacksonChikopole-um6kn
@JacksonChikopole-um6kn 17 дней назад
Hongereni jeshi la polisi kwa kazi nzuri