Asante kuwa wimbo zako in nibariki sana tenanikisikiya nasikiya mruri sana atanimependa kusikiya atakama nilikuwa na asira kidogo nisikiya wimbo zako na sasa na sikiya kama nikona furaha
Songs with Soo much life lessons, love you johana,ma the lord continue to bless you, love you Soo much from Kenya,I put this mix every day while working ❤
Mtumishi nilikua nakuskiza ata nikiwa sijaokoka vizuri sana na sina mafunzi makubwa sana maua ya kwako mama kupitia nyimbo kunao wanakombolewa kijiuliza je kama mtoto anamjua mungu je Mimi ni nani nisimujue nakupeda sana🎉🎉🌹💮🌺🌺🌺🥀🥀🥀🌺🌻🌻🥀🥀🥀🌹🌹🌹🌹
Ubarikiwe sana kwa wimbo zote Mungu azidi kukulinda na kulinda huduma yako na azidi kukupandisha ju zaidi Asante kwa ma wimbo ambazo zinatia watu watu moyo Balikiwa sana na Mungu Baba 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Yohana thank you very much for this mix track I love it very very much big up to you and the lord will always bless and guide you always and forever that was when you were young I was listening to you and watch the video and dance moves thank you again for this track
Huyo mtumishi wa Mungu Yohana tangu nije Saudi Arabia nyimbo zake zimenibariki sana sana. Kwanza hakuna makanisa Saudia kwa ufupi zinanifanyakua uweponi mwa Mungu be blessed great servant of God 🙏
Nyumbo zako zanigusa sana Antony, ningekuwa na uwezo ningekualika huku kwetu kenya, na nimetamani sana, let God akutangulie, keep it up, tutakuja patana siku moja🙏🙏🙏🙏🙏💓💓💓