Marioo alishatoa siri namna anavyofanya featuring zake. Ukiona kwenye nyimbo kashirikishwa lakini yeye ndio kaimba verse ya kwanza basi ujue hiyo nyimbo aliiandika yeye then akamfata mtu anaeona yupo fresh akaamua kumbariki. So hii ngoma original version ni ya Ay ila hii remix ni ya Marioo. Unaweza kukuta Ay alikuwa hana habari, akashangaa mshkaji anamfata na goma lake limeshabakwa kinyama hadi mwenye goma akafall in love nalo.
@@barakayesaya5000 hapana alisema patamu hapo mimi original yake ndo wimbo wangu bora ukishika nafasi ya pili moyoni katika nyimbo zote duniani toka nizaliwe yaani naupenda na naujua wote