Тёмный

BAABUSALAAM, YAWAKUTANISHA USO KWA USO MASOUD NA MUHIYA - NAHAWAND, BAYATI NA AJAMY YASHAMBULIWA 

BABDEO MILADU
Подписаться 255 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

BAABUSALAAM, YAWAKUTANISHA USO KWA USO MASOUD NA MUHIYA - NAHAWAND, BAYATI NA AJAMY YASHAMBULIWA
Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com...
RU-vid: / @babdeomiladu

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 49   
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 18 дней назад
Nabi Muhammad swala watu alyyyyy❤🇹🇿 🇦🇪
@IItiswaamproduct
@IItiswaamproduct 24 дня назад
MASHAALLAH
@AbuuGiriki
@AbuuGiriki 25 дней назад
Ukimuongelea ust masoud usiongeze mtu mwengine hao kina muhiya wanafunzi tu mpe hishma yake
@abysadalah1132
@abysadalah1132 24 дня назад
Kila mtu kafanya kwa ubora wake ila masoud jinni Adamu jinni atabaki kuwa mwalimuuuu 🎤🎤🎤🙏🙏🙏
@SumailAmisseNselemo
@SumailAmisseNselemo 4 дня назад
Nashehe muiya nae mzuli sana mimi mnamkubali sana kighuna apa tanzania
@yuramkhana3512
@yuramkhana3512 24 дня назад
Huyu Muhiya🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌T.O
@Mohamed-y8v4j
@Mohamed-y8v4j 23 дня назад
Si kweli kwenye naghma Muhammad nuhiya yupo juu tena sana kwenye utunzi wa qasida kweli ustdh masoud yupo juu
@husseinminsham8059
@husseinminsham8059 24 дня назад
Kwa sasa Muhiyya ni khabar nyengn Akigusa maiki lazma utumbo uskie😂😂
@HusseinSaidi-e3w
@HusseinSaidi-e3w 6 дней назад
Anakijiji chake uyo mwamba
@SaidFaki-u7m
@SaidFaki-u7m 24 дня назад
Muhiya hatariiiiiiiiii sanaaaa masha allha 😢😢😢
@IssaJaffari
@IssaJaffari 25 дней назад
Ukweli ndio huo muhiya kafanya kazi kubwa sana
@BakariShabani-bl7mz
@BakariShabani-bl7mz 25 дней назад
Masoud mwamba sana tena sana ila muhiya kafanya balaaa kwenye hii shoo😅
@RamaMkongwe
@RamaMkongwe 24 дня назад
Ddooooh,, Vittaaah
@SumailAmisseNselemo
@SumailAmisseNselemo 4 дня назад
Muhamed muiya kwasasa kaishika tanzania yote
@fareedymachela
@fareedymachela 24 дня назад
Doctor, the ghalbaan, shauqy, jinni, Muhammad muhiya kaz kubwa Sana wallah dah😢
@AbuuGiriki
@AbuuGiriki 25 дней назад
Usimuongelee she masoud na wanafunzi mpe hishma yake tz 1
@KishadaAbdilahi
@KishadaAbdilahi 20 дней назад
Hawo wetu wanaftna maalim masoud hawakumtunza sana ila masoud Kote kashafunga
@SumailAmisseNselemo
@SumailAmisseNselemo 4 дня назад
Muiya mamba acheni upenzani jamani
@Marjeby
@Marjeby 25 дней назад
Leo vijana wamemficha Masoud😂😂😂watoto wamesimamia kucha hakuna no moja ya milele dunia nzima na kwenye chochote kile😢
@yusufukibwana
@yusufukibwana 25 дней назад
Naam umenena vyema hakuna mwanzo usio na mwisho Muhiya big up💪
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 25 дней назад
Masoud ni fundi ila muhiya amefanya kazi kubwa sana
@masudimfaumekipande
@masudimfaumekipande 24 дня назад
Ila muhiya ni fundi haswa. Na ust masoud ni mwalim
@chadyvoice5866
@chadyvoice5866 24 дня назад
Uko sahihi sanaa
@SalamaAdam-jn7rn
@SalamaAdam-jn7rn 25 дней назад
Unamshindanisha na masoud na alofundishwa kwenye kwao 😂
@MohamedLugoma
@MohamedLugoma 25 дней назад
Vitttaaa
@yusufulugendo379
@yusufulugendo379 25 дней назад
duh khatari vitta vitta vitta
@sullaymanchande632
@sullaymanchande632 24 дня назад
Munapomzungumza Fannan Bas Muhiya hana mfanowe kwa sasa. Kwanza Alazte anazitumia km Muhammad Abdelwahab. Acha hyo mutu
@sullaymanchande632
@sullaymanchande632 24 дня назад
Jamani eeeeh! Narudia hapa kwa muhiya ananikumbusha kina Riyadh Sanbatwi, Abdelhaleem Haafidh . Masud hayafikii haya maji tuache uongo km mtu wa Fanni hasa kawasikilize hao wamba ndy utajua muhiya nan
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 24 дня назад
​@@sullaymanchande632Yan masoud unamdharau kiasi hiko ndoto ya kila muimbaj ni kuwa kama masoud ndio kipimo
@ShahibuShehe
@ShahibuShehe 3 дня назад
Kiukweli muhiya nimzuri sana ila sifa zinarudi kwamwalimu wake msod mdiy alipotokea
@SingoMedia
@SingoMedia 24 дня назад
💥💥💥
@MusaMuhammed-f4l
@MusaMuhammed-f4l 24 дня назад
Mwanangu bago anawaaangalia tu 😂 mwamba
@farijalakhalid5558
@farijalakhalid5558 24 дня назад
Dah kaswida ya kijjini Habari ya mjini
@KishadaAbdilahi
@KishadaAbdilahi 20 дней назад
Masoud Masoud 🎉🎉
@HambeLimbunga
@HambeLimbunga 21 день назад
Masud😂
@JusamTz-w2x
@JusamTz-w2x 18 дней назад
Masod atabaki kua mkongwe lkn muhia Ana ladha sana
@bajounmedia2118
@bajounmedia2118 9 дней назад
Usifananishe kisiwa na Bara ww Masoud kiumbe kingine ndani na nje
@MohammedAwadhi-i9h
@MohammedAwadhi-i9h 6 дней назад
.Mashaallah
@farijalakhalid5558
@farijalakhalid5558 24 дня назад
Kwel huu msumari
@vardymuniro3722
@vardymuniro3722 24 дня назад
Tutumiye itswam
@RayRey-ji1em
@RayRey-ji1em 23 дня назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-QclSwYAaVfk.htmlsi=g-Wh-7uFMY4glO4y *KILA MTU NAWAKATI WAKE*
@yassamdossantos5936
@yassamdossantos5936 22 дня назад
Ila muhiya 😂😂naona anaendelea kujikatia kipande chake pekeake
@madrasatsheikhsalim-c4b
@madrasatsheikhsalim-c4b 24 дня назад
Babdeo samahan ninashda na swalatu alannabi nahisi ilipgwa na hawa hawa baabu salami kama unayo 0627648986 Whatsapp naomba plz
@KishadaAbdilahi
@KishadaAbdilahi 20 дней назад
Maalim masoud umefanya vita vikubwa
@TwalibuMagembe
@TwalibuMagembe 23 дня назад
Saut ya mamlak nyie muhiy ila wanamchkulia poa
@AbuuGiriki
@AbuuGiriki 25 дней назад
Usimuongelee she masoud na wanafunzi mpe hishma yake tz 1
@issangwana9470
@issangwana9470 25 дней назад
Vitta mwamba
@binsoudmwarabu6234
@binsoudmwarabu6234 23 дня назад
Unavyo ongea Tz ni 1 nae masoud unamtukanisha kwa watu wa leo maana masoud hivi sasa ni mpiga kelele tu na sauti ya kichwani ndio imebaki kwake ufundi wa pumzi pumzi hana kabisa 😂
@binsoudmwarabu6234
@binsoudmwarabu6234 23 дня назад
Tz ktk kughani now ni Muhya Bago na Koba masoud wakati wake umekwisha anapiga kelele tu mzeee @Muhammad Muhya 🎉
Далее
Добрая весть 😂
00:21
Просмотров 559 тыс.
For my passenger princess ❤️ #tiktok #elsarca
00:24
QASWIDA NZURI KUTOKA WAKONDOA
5:25
Просмотров 2 тыс.
Dhikrii kutoka tumbatu
9:10
Просмотров 111 тыс.