Тёмный

BAADA YA KIKAO NA LISSU, RAIS SAMIA ANENA: "TUSAMEHEANE TUJENGE NCHI" 

SK Media Online TV
Подписаться 58 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 73   
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 6 месяцев назад
Hongera sana Mhe Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa utendaji wako mzuri ikiwa ni pamoja na jitihadi zako za kuwaweka vizuri wapinzani.
@pauloalfayo1868
@pauloalfayo1868 2 года назад
Mungu ambariki rais wetu,freeman,tundu lisu,nk,amen
@jumannejohn9471
@jumannejohn9471 2 года назад
Mefrahi sana kwa hatua hiyo, nimatumaini tunaenda kuwa wamoja ka zamani kabla ya myaka hiisita iloisha. Hongereni sana Watanzania👏👏👏👏👏👏👏
@issakatoba74
@issakatoba74 2 года назад
Nimefurahishwa na kikao cha viongozi hawa wawili na hasa mrejesho wa agenda zilizoongelewa.Agenda zilizoongelewa ni pamoja na kesi ya Mwenyekiti wa chadema Mh.Freeman Mbowe.Na kwamujibu wa Tundu mwenyewe amesema amemueleza Rais kuhusu kesi za kisiasa ikiwemo Yaani Mwenyekiti huyo,na kuomba Rais asaidie
@issakatoba74
@issakatoba74 2 года назад
Watanzania tujifunze kuangalia mambo kwa maslahi mapana ya Taifa letu,jamii zetu na hata mtu mmoja mmoja kuangalia madhila machungu watakayo pitia
@MsAggie5
@MsAggie5 2 года назад
CCM ina wenyewe ngoja tuone kama Raisi anauwezo kuliko wenye chama. Mmesahau kama Kikwete alikuwa anawaalika Ikulu
@illomowerner7690
@illomowerner7690 7 месяцев назад
Point, na imethibitika, CCM Ina wenyewe, na rais amegonga mwamba ikiwemo katiba
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 года назад
Amelitendea haki jina lake la suluhu hongera saaana MH Rais
@doroteaisack9112
@doroteaisack9112 2 года назад
Nimefurahi sana.Mama barikiwa sana kuonyesha njia.Kazi iendelee Rais wetu kipenzi.
@gastonmbilinyi382
@gastonmbilinyi382 2 года назад
Tatizo hapo siyo Mh. Rais bali ni watu wa chama anachokiongoza. Tusubiri....
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 года назад
Mama ni muwazi, ameliona hilo na ameweka wazi (maadui zaidi wapo/watatokea ndani ya Chama chake) Hivyo WaTz tuwe makini sana na watu wanaopenda kutugawa kwa Dini, Ukabila, Ukanda na Vyama vya Siasa nk.
@MsAggie5
@MsAggie5 2 года назад
CCM ni Ile Ile sioni Kwa nini wapinzani wako exited, Kikwete alikuwa anawaalika Ikulu na kaondoka bila kubadilisha katiba! Mnaongea saaana well ngoja tuone
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 2 года назад
Inapendeza sana ,
@josephmchila6467
@josephmchila6467 2 года назад
Nimefurahi saana, nampenda Sana mama Raise na Lisu kafanya vizuri sana
@MsAggie5
@MsAggie5 2 года назад
Mbona Mbowe ana kesi ya kujibu? Siasa mchezo mchafu
@mwanahawarajabu9253
@mwanahawarajabu9253 2 года назад
This is Tanzania we want mh Rais tuna Imani na we we
@HOLYNESS.
@HOLYNESS. 2 года назад
Hiyi Tanzania mpya hongera raisi wetu mungu akulinde
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
AMIN
@melie-mun123
@melie-mun123 2 года назад
Siku hiyo Sikupata Ajali Basi,Mungu tuinue baba,Mimi na mume wangu hatukulala
@jacksonruhahas1168
@jacksonruhahas1168 2 года назад
Hatua hii inatupatia picha kuwa nyota ya asubuhi inaanza kuchomoza na Taifa kurejea katika uhalisia wa kitanzania. Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania.
@dekanyaktown.255
@dekanyaktown.255 2 года назад
Ccm oyeeeeeeee. Ndy mujinyonge sasa tutaelewana tyu mna mwamini mwanamke.
@pauloalfayo1868
@pauloalfayo1868 2 года назад
Asante brooo kwa kuwa unatufungua akili
@joejosca7594
@joejosca7594 2 года назад
Mungu apewe sifa🙏
@issakatoba74
@issakatoba74 2 года назад
Kwa kusudio lile lile la Zitto,Tundu Lissu nae amemueleza na kumuomba Rais asasidie katika kesi hiyo.Tafakuri yangu hapa ni je,dhamira ya Zitto inatofauti gani na dhamira ya alichokiomba Tundu mbele ya Rais?
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 2 года назад
Ya Zitto nilishaijadili kwa video tofauti. Isikilize kwanza.
@kiatu
@kiatu 2 года назад
Kuna mengi chini ya carpet, mwenye nafasi kubwa ya kuyajua kati yetu wote ni mkuu na amiri jeshi wa nchi. Naamini Rais ataamua kwa manufaa ya nchi yake na sio kumridhisha mtu au kikundi cha watu wachache. Tinamwombea Rais wetu afanye maamuzi yenye tija kwa Taifa letu.
@onesmokamili2968
@onesmokamili2968 2 года назад
Hii picha Ina utofauti na Ile Rais aliyopiga na Ndugai unafikiri nini?
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 года назад
Too cleaver to negotiate.Never fool any body here.Nyoka watupu
@etiennemaisha615
@etiennemaisha615 2 года назад
Sawa.ndivyotulivyo.sisi.watanzania..ndoo.uzalendo
@jacksonjonathan2262
@jacksonjonathan2262 2 года назад
N kwel kbsa chadema walitaka maridhiano na mazungumzo tangu sku nyingi zito awache unafik
@lusakaone7782
@lusakaone7782 2 года назад
Achana na Mh Zitto wewe,angalia agenda zilizopo mezani
@josephmwita5959
@josephmwita5959 2 года назад
I real apriaciate on you kiukweli wewe ni mzalendo
@alkhuzairytune
@alkhuzairytune 2 года назад
Watende wao, wakitenda wenzao nadi huwa mwao.
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 11 месяцев назад
Ccm wanapenda maigizo,ipo siku...
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 года назад
Kinachotakiwa ni kumsapoti Mh. Raisi (Raisi ni binAdamu si Mungu na hata huyo Mungu Mola Muumba kuna baadhi ya watu wasojitambuwa humkosowa Mungu na hufikia hata kumtukana Mungu) ! So mama ameanza kwa busara na hekma mashaallah na kadhalka tuelewe kuwa anapambana na changamoto nyingi; kuunguwa kwa Masoko, mauwaji, mafisadi, wasariti rushwa nk. Hivyo tumwwche mama apige kazi na tumuombee dua njema na tuondoe tofauti zetu za Dini, Kabila, Kanda na Vyama vya Siasa nk. Inshaallah KAZI IENDELEE.
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 года назад
Eti "mama ameanza kwa busara na hekima". Busara na hekima gani hiyo ya kumuweka ndani kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
@@AhmedAli-gh1lm HAYO MAMBO YA.MAHAKAMA SIO MAMA USIWE MJINGA.
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 года назад
@@salimmalaka256 Acha upumbavu wewe. Tanzania hakuna uhuru wa mahakama. Mahakama za Tanzania, hususan katika kesi za kisiasa, zinaendeshwa na serikali kwa mlango wa nyuma. Raisi akiamuru leo Mbowe aachiwe, anaachiwa kwa kupitia DPP. Hata ile kesi ya Masheikh wa UAMSHO wapumbavu wengi kama wewe munadhani wameachiwa na muhimili wa mahakama. Yale yalikuwa ni maamuzu ya raisi (serikali) baada ya kumtaka DPP afute kesi na awaachie huru. Amka mjinga wewe!.
@issakatoba74
@issakatoba74 2 года назад
Bwana Ngurumo unapojadili mambo wakati mwingine kuwa mkweli na kutendea haki wale unaowajadili kwa kuzingatia mantiki ya hoja wanazozitoa.
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 года назад
Bw issa katoba unaumia Nini mbona kilakitu hapa Niukweli mtupu,usiumie kiasihiki,!!!!!
@rweikizadaniel8394
@rweikizadaniel8394 2 года назад
Rais amefanya jambo jema.nataraji tunaweza kuwa kama zanzibar.sasa wapo vizuri wamefuta tofauti.kongole.
@jumakhalfan4105
@jumakhalfan4105 2 года назад
hao mafahari wawili ni wepi? ni nani na nani. msikilize rais akihojiwa na chombo fulani cha habari amejibu nini? usiongee tu kama unajua kuliko wengine jipime
@sifunimelkizedeck882
@sifunimelkizedeck882 2 года назад
Ni jambo zuri na lenye kuvutia watu wenye mapenzi mema kwa taifa letu ila ninaamini sii wana ccm wote wamefurahishwa na hicho kitendo maana wao ni wanufaika wakubwa kwa chuki dhidi ya wapinzani
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 2 года назад
Watanzania wanataka marndeleo Na sio blahbkah za siasa kila siku.
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 2 года назад
Kibanda usiseme lawama zisizokuwa na sababu Bali zilikuwa na sababu kubwa Sana maana haki ilipotea hewani ulikuwa ni wakati wa giza totoro.
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 года назад
Wenye chuki binafsi (kibaya zaidi kutanguliza Udini, Ukabila, Ukanda, Uchama) hawapendi kupongeza na kusifu jitihada, hekima na busara za mama !
@fidelisnairowa6121
@fidelisnairowa6121 2 года назад
Tutajua tu siku azigandi
@illomowerner7690
@illomowerner7690 7 месяцев назад
At last tulikuja kujua
@magdalenabenard4208
@magdalenabenard4208 2 года назад
Nimeamini ccm ina wenyewe reisi ni kama kicuki tu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 года назад
Maria Na Fatuma wsko wapi.lissu hatari fujo.akae huko huko.Nyoka watupu.
@severinmagwaya6453
@severinmagwaya6453 2 года назад
Nahisi Grace Kagoma si Jina halisi ni nyoka mwenye sumu Kali. Grace una "comment" mara nyingi in a "negative" way dhidi ya Lissu. Nahisi unaweza kuwe ndie uliye kula njama, na kutekeleza ugaidi aliofanyiwa Lissu. Unachuki za wazi kabisa dhidi ya Lissu. Pole sana Grace wa uongo unae jificha kwa jina hilo. Kumbuka huu ni ulimwengu na hii ni dunia kila kitu kitapita!
@yussufpandu1852
@yussufpandu1852 2 года назад
Tusubiri tuone ..
@mugema9813
@mugema9813 2 года назад
Ngurumo unaongea Sana unahisi wewe ndo unayeijua nchi na namna ya kutatua matatizo. Unaposema majizi ya awamu ya tano unamaana gani. Kama majizi yalijenga flying over, yakaimarisha nchi, yakatupatia umeme bila kukatika, yakaimarisha uchumi bila kukopa Sana. Tungemwomba Mungu aturudishie hayo majizi.
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 2 года назад
Sikiliza vema na tazama gestures ili ujue muktadha wa nilichotamka.
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 года назад
#Ignsce.Roshoka - Makaburu Afrika Kusini walijenga fly-over, wakaimarisha uchumi, wakaweka umeme usiokatika. Tumuombe Mungu aturejeshee Makaburu.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 года назад
Sasa hivi nchi ina amani Nils Lissu Lema Na Mbowe.mnatuchanganys akili.na hasa vijana..fujo kibao.Nyoka .no one is stupid jere
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 года назад
What the fuck are you on about?
@jackhans7708
@jackhans7708 2 года назад
Mbona hamsemi ni nani alimtuma rais samia?unafki tuuuu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
SEMA WEWE
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 года назад
Chadema hawaridhiki hata siku moja na hasa Lissu.Jamani Lissu Siyo kiongozi Ni mkimbizi fake.
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 года назад
Acha uongo
@ronaldmandari3084
@ronaldmandari3084 2 года назад
Wee hata aibu huna mbona una exposed ujinga wako kila mahali?
@godwinnkya7128
@godwinnkya7128 2 года назад
We Grace huna nia nzuri kabisa.unafikiria chuki zinajenga?
@talibsaid8081
@talibsaid8081 2 года назад
Wacha upumbavu wewe juzi tu mlikuwa mnamtukana raisi leo amekuwa mwema? wacheni unafiki nyie
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Nenda zako ulitaka kuiharibu nchi yetu ndiyo maana ukakimbia unataka kushindana na serikali
@brycesonmathias6112
@brycesonmathias6112 2 года назад
Wewe siyo mzalendo ni mvuragaji mpende adui yako
@chidjosh6056
@chidjosh6056 2 года назад
Kajinyonge sasa, rais kanyanyua mikono, kama inakuuma, kajinyonge
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 2 года назад
Kumbe!
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
@@brycesonmathias6112 KWELI
@melie-mun123
@melie-mun123 2 года назад
Siku hiyo Sikupata Ajali Basi,Mungu tuinue baba,Mimi na mume wangu hatukulala
Далее
What’s your height?🩷🙀💚
00:59
Просмотров 4,6 млн
aespa 에스파 'Whiplash' MV
03:11
Просмотров 22 млн
"MWALIMU, NAOMBA USIFE KABLA SIJAFA"
8:09
Просмотров 9 тыс.
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
SATIVA AMSHIKA UCHUKU KAMANDA MULIRO
31:58
Просмотров 24 тыс.
What’s your height?🩷🙀💚
00:59
Просмотров 4,6 млн