Dvoice ni Diamond 💎 wa pili Diamond kajizaa i see him far vile anaongea anajibu maswali i see Mtoto w Mama Dangote inside him ❤ Gogogogo D Dady Diamond his there for you ❤😍
@@hilalmohd8941Ibrah mgani yule ambaye hajawai pata hata show ya buza tangu aanze muziki? Ibrah ambaye mauzo ya muziki yake ni hafifu music platforms zote, Ibrah ambaye hata lebel yake wanashindwa ku mu brand na ku mu promote
Ibrah hajawai piga hata show ya buza hata show ya Zanzibar hajawai pata mauzo ya music wake music platforms zote ni hafifu, hata lebel yake yenyewe wanashindwa mtafutia show
@DamasLehani: Unaongelea Ibrah ambaye haajawai pata show tangu atambulishwe kwenye lebel yake? Unaongelea Ibrah ambaye mauzo ya nyimbo zake ni hafifu music platforms zote? Unaongekea Ibrah ambaye hata lebel yake wanashindwa mupa promotion? Ama unaongelea Ibrah yupi
Wewe ulishaka ona au kusikia ibea anapiga show hajawai ipata pota music platforms zote mauzo ya Ibrah ndogo saana lebel alioko Ibrah wanashindwa hata ku mu brand na ku mu promote