Тёмный
No video :(

BABA LEVO AWACHANA CHINO NA HARMONIZE KUSHINDANISHWA NA DIAMOND, ANASIKILIZA NYIMBO ZA HARMONIZE 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 63 тыс.
50% 1

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 197   
@user-jz5hu7no1x
@user-jz5hu7no1x Год назад
Diamond platnumz sio wa kushindanixhwa na watoto wa juzi wengne kawatoa maisha ya zilo Leo hii nawao wanapandixha visauti, DIAMOND TANZANIA ONE
@RomaMichael-ei6di
@RomaMichael-ei6di Год назад
Baba levo umeongea fact aixe🙏🙏💯💪💪
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Год назад
Safii sana baba levo Nafurai interview Yako✅✅🖕🖕🤝💪
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 Год назад
anaongea ukwl kbc
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Год назад
@@japhetsahani7121 Yuko sahihii
@DjCreyxon
@DjCreyxon Год назад
Uzuri wa baba levo anaongea ukwel big up baba levo🔥🔥
@elizabethchabluma-zw5qz
@elizabethchabluma-zw5qz Год назад
Yaani huyu mtu angesoma sijui angekuaje Yani anaakili nyingi yaani anaeleweka
@user-ne4fl7kc8h
@user-ne4fl7kc8h Год назад
😅😅😅ndio nyinyi watangazaji ndio chanzo cha kumshusha mond na kumulinganisha na vitu vya ajabu baba levo yuko sahihi😊
@sammy_hood
@sammy_hood Год назад
Huwezi shindana na mwalimu wako just Respect your teacher 🎉❤❤
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 Год назад
really mr
@SWAGA_BOYS
@SWAGA_BOYS Год назад
Fact 🙌
@DennisMakokha-hu6uy
@DennisMakokha-hu6uy Год назад
Baba levo nakukubali sana
@edwarddastani3691
@edwarddastani3691 Год назад
Nyimbo tano za harmonize views mil 29 kwa wimbo mmoja wa diamond platnumz views million 30
@KuntukumuSadam
@KuntukumuSadam Год назад
We jamaaa umelenga mle mle nashindwa kuelewa kwanini Diamond analinganishwa na Harmonize
@allymangogasya8068
@allymangogasya8068 Год назад
Babalevo asante kuwakumbusha ukweli 🙏
@jamesmusonda1914
@jamesmusonda1914 Год назад
Safi sana Baba levo😂😂😂😂😂
@DAMIABOY
@DAMIABOY Год назад
BBA LEVO ANA MIND NYINGI BIG UP KWA BABA LEVO ❤❤
@brayanmichael6009
@brayanmichael6009 Год назад
Aah mmakonde amerudi, mmeanza sasa, kiboko yenu karudi
@kiddybrown7154
@kiddybrown7154 Год назад
Baba Levo huwa anawaambia maneno lakini mnamuona Mwehu.Baadae munayaona👍
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 Год назад
Huwa unaongea point sana we jamaa
@kwisa4899
@kwisa4899 Год назад
Baba levo Genius sana
@duniadunius2330
@duniadunius2330 Год назад
Huyu jamaa anajuwa kuongea sana na anambinu nyingi sana 😂😂😂😂zakumueshimisha platnumz simba
@michaeltheophile7035
@michaeltheophile7035 Год назад
Baba levo respect bro🎉🎉🎉🎉👊🏿👊
@winmagene4321
@winmagene4321 Год назад
Diamond tunamubali. Sana 🇨🇩
@ibrahimpaul1640
@ibrahimpaul1640 Год назад
Napenda entervewe zako unaakili sanaa bro 🫡
@zawadiissah4654
@zawadiissah4654 Год назад
Nakukubali sana Baba Levo ww mkweli
@BarakaIssa-dy5rn
@BarakaIssa-dy5rn Год назад
😂😂😂😂 Baba levo mwambwamwe😂😂😂😂❤❤
@bizumuremyiclaude2928
@bizumuremyiclaude2928 Год назад
Wambwawe😅😅😅
@noahlameck1564
@noahlameck1564 Год назад
Baba levo unanifurahishaga sana jombaa
@subirajohn728
@subirajohn728 Год назад
Mond Baba lao!❤❤❤
@Emanuelkimondo
@Emanuelkimondo Год назад
Kabla ya msanii tu brand yenyew ya nikubwa so diamond platnumz ni msanii pkee anaewekeza hela nyingi kwenye mziki wake tofauti na wasanii wengne so kumfkia wao so rahc bora hawa marioo...lava lava na harmonize wapambane wenyew hao ndo wapo level moja kwa diamond ni another level hawatoboi
@powerboy666
@powerboy666 Год назад
endeleya ku waambiya ili wasipige tena kelele . ok thanks you BABA LEVO . alakini ukome kuita harmo kwa jinalake Sisi kama ma fans wa CHIBU 🦁 hormo ndo NYADUNDO 😭
@KuntukumuSadam
@KuntukumuSadam Год назад
😂😂😂😂😂
@lucymtuka3199
@lucymtuka3199 Год назад
Uko vizuri mno hauna ubaguzi unawaeleza watu ukweli
@Emanuelkimondo
@Emanuelkimondo Год назад
Kwanza mpaka sasa diamond platnumz inatakiwa atengenezewe sanamu kama mwanamziki bora Tanzania******sanamu lisimame posta
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 Год назад
Chawa asiekuwa na akili
@majutoeliasi
@majutoeliasi Год назад
Iro sanamu tuweke chooni
@Emanuelkimondo
@Emanuelkimondo Год назад
@@majutoeliasi kama huelew ni hauelew tu so sisumbuki
@Emanuelkimondo
@Emanuelkimondo Год назад
@@achawanunetv1167 bahat mbaya fani ya ualimu sina
@silasila3111
@silasila3111 Год назад
B levoba nakubali mwambwamwee
@PeterSikalumbi
@PeterSikalumbi Год назад
Tunakupata sana kutoka malawi biger up sana baba levo
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 6 месяцев назад
Point nzurii sana iyo ya kupoteza mashabiki kwa kuingiza matusi kwa baadhi ya wasanii
@sadikishabani4779
@sadikishabani4779 Год назад
MONDI BABA LAO🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@bakarially253
@bakarially253 Год назад
leo ndio umefanya kitu cha maana sana yani umeonyesha facts bongo5 nikutanishe ni baba leo bakari from ujeruman
@vipackyummy6916
@vipackyummy6916 Год назад
Kk naomba nizungu Mze nawew tafadhali
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 Год назад
Hermonize kuna namna ka drop sna yan nyimbo zake sio hit kam mda kdg nyuma
@user-ez5br4gu1m
@user-ez5br4gu1m 6 месяцев назад
Nakukubali sana baba levo
@mwamikajibwami8424
@mwamikajibwami8424 Год назад
Baba levo una Akili kabisa 😂😮
@shivodon7388
@shivodon7388 Год назад
Diamond is the Best,,,,in town
@marlodemarlove9281
@marlodemarlove9281 Год назад
Baba levo anawaweza🤣😂🤣🤭🥱
@MapuliMisalaba
@MapuliMisalaba Год назад
Sisi tunataka ngoma kali tu atakae toa ngoma bovu anapita kushoto No Joks
@digonzakeimbe8435
@digonzakeimbe8435 Год назад
Huyu Diamond Hafananishwi na yeyote Bongo..Kwanza Ajengewe Sanamu..
@muntueric-oy1ty
@muntueric-oy1ty Год назад
Huo dogo hana hakili Chino bado hajui kuvaa underwear eti akabiliane na Legend wa mziki wa Africa... Ni chizi dogo😢😢😢😢
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 Год назад
Afrika ipi?
@KuntukumuSadam
@KuntukumuSadam Год назад
​@@achawanunetv1167c ya mama ako
@trillionthamani
@trillionthamani Год назад
Hivi mtu unashukaje ukiwa na msemaji km bi levo
@freadyjackson315
@freadyjackson315 Год назад
Safi zan Chuiii 😢😢
@kiddybrown7154
@kiddybrown7154 Год назад
Afu umeniuzi,eti views wa nyimbo Tano 😂😂😂😂😂😂
@FatumaShabani-mp9vt
@FatumaShabani-mp9vt Год назад
Nikweli kabisa diamond aeshimiwe apewe sanamu lake
@firstnakoko6605
@firstnakoko6605 Год назад
Diamond platinum ndo msanii mwenye malengo makubwa na mshindan sahihi kwenye soko la Africa na dunia
@fantacyfour8040
@fantacyfour8040 Год назад
Shida sio malengo apa ni swala la mziki Kwa mziki kapitwaa
@festovenas502
@festovenas502 Год назад
@@fantacyfour8040 kapitwa nanan 😂😂
@marlodemarlove9281
@marlodemarlove9281 Год назад
Simbaaa 🔥🔥
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Год назад
@@fantacyfour8040 kaptwa nn ww kama hupend nymbo zake hulazmishw skilza wasani wako wa chuoon hujalazmishwa
@ridhwanmlai7139
@ridhwanmlai7139 Год назад
Watanzania mnge support vizuri navy kenzo say wangekuwa wakubwa sna kulko ata diamond .
@user-bu1zy3fs8h
@user-bu1zy3fs8h Год назад
Baba levo simba
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy Год назад
nyinyi watangazaji wapumbavu acheni kumlinganisha mond na vikaragosi, mond ni level nyingine
@user-et9kp9qb8h
@user-et9kp9qb8h Год назад
Chno ndyo nini jaman mnamkosea diamond
@EdwinJohn-vo8uf
@EdwinJohn-vo8uf Год назад
Baba levo 😂mtalam fundi majumba
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 Год назад
Mwenyewe muziki ulikushinda yaani husipomuongelea harmonize huwezi pata ugali wew mwenyewe huwezi mshinda lavalava 😅😂
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 Год назад
Ukubwa wa msanii aulinganishwi kwa RU-vid Diamond P... anamzidi Wizkid views wa RU-vid ila aijamaanisha eti Diamond P...nimkubwa kwa wizkid😅😅😅😅
@amawanda3082
@amawanda3082 Год назад
Ukwel hapo
@user-gm9dm8sp1t
@user-gm9dm8sp1t Год назад
Eeee aki baba levo leo umeniweza
@user-to7zo4uz2u
@user-to7zo4uz2u Год назад
Umetasha sana
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Год назад
Wewe MTANGAZAJI diamond next leval
@devaxtz
@devaxtz Год назад
Wewe ndio utakua unazunguuka 🤣😂🤣🤣🤣 baba levo bn
@moroland
@moroland Год назад
Halafu mjue daimond amefanya mziki ufike mbali na nziki uwe biashara now na amewafungua wengi sana kwa tz daimond apewe sanamu lake
@ramanine4768
@ramanine4768 Год назад
Nice
@user-iq8pe2ne3g
@user-iq8pe2ne3g Год назад
Uhakika baba levo
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar Год назад
Ame screenshot views wanani sijui huku 😅😅😅
@JemimaNyange-si8cr
@JemimaNyange-si8cr Год назад
Kbsa
@robychriss4053
@robychriss4053 Год назад
Uko sahihi
@KimKim-sk7cz
@KimKim-sk7cz Год назад
Baba levo
@KuntukumuSadam
@KuntukumuSadam Год назад
Kumbe nyimbo tano za harmonize sawa na nyimbo moja ya Diamond😅😅😅😅
@erickpeter90
@erickpeter90 Год назад
BI LEVO BAA FUNDI MAJUMBA✊✊🔥🔥🔥✊
@shaabanshaaban9228
@shaabanshaaban9228 Год назад
Huyu jamaa namkubali kinoma noma maana anasema ukweli kabisa
@themicbandforeveryone19997
@themicbandforeveryone19997 Год назад
Kabisa namimi nime shika screen shoot kabla ya baba levo Ku sema ni views ndogo sana
@StephyDorah-nt3py
@StephyDorah-nt3py Год назад
Atatoa video bila audio 😂
@mnyamapaslee6111
@mnyamapaslee6111 Год назад
😅😅😅
@bellasi349
@bellasi349 Год назад
Ongeza na hui baba levor vues za duamond tokea aanze mziki zinazidi vues zote za wanamziki wa Tanzanie haditaarabu
@ShahimuMasasi
@ShahimuMasasi Год назад
Baba levo unajua sana
@idrissaomba8803
@idrissaomba8803 Год назад
Walishindwa kuuvusha mziki kimataifa vipi? hata yee kufik alipofika ilichkua zaidi ya myaka mi5
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 Год назад
Mbona hata nyie bongo5 mnamuhoji baba levo kila siku🤣🤣 it's a business ,inawalipa🤣🤣
@obbyguy255
@obbyguy255 Год назад
Unyama baba levo
@officialnadoboytz1005
@officialnadoboytz1005 Год назад
Somo la Leo 😂😂😂😂
@KuntukumuSadam
@KuntukumuSadam Год назад
Ausio
@user-wd9gq3lu1s
@user-wd9gq3lu1s Год назад
Chino ana tembea kwa mguu kama kobe ana muongelea ana miliki magali uo si uhanangwa 😂😂😂😂😂
@HassanIsman-wl2pv
@HassanIsman-wl2pv Год назад
Baba levo huna sati nzuri acha usenge hujui kuimba mmakelele tu
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Год назад
Mwambwa mwe hahahaha 😂😂😂🙏🙏🙏
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 Год назад
Uko sawa kontawa kapotea amejipoteza mwenyewe,ndogo angekuwa kuwa mbali
@laurentmupira1280
@laurentmupira1280 Год назад
B-LEVO BA, kukalabati ndio Kiswahili!!! = Repair. Kukalakila??? B-LEVO-BA??? Mtalaam wa manyumba!!!
@wimawendo2630
@wimawendo2630 Год назад
BABALEVO mukweli kabsa
@Medypoint
@Medypoint Год назад
Matonya
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 Год назад
Huo ndio ukweli ulio uchi
@saadatiyahyashabani-yg2xy
@saadatiyahyashabani-yg2xy Год назад
Chino ni yupi
@KuntukumuSadam
@KuntukumuSadam Год назад
Hata Mimi simjui
@musamwambene1323
@musamwambene1323 Год назад
Saizi machawa mond mmakonde kawafunika
@diamondglobal_
@diamondglobal_ Год назад
huyu mtangazaji haoji bali anabishana nafikir ana utimu flani hv yan ye anahoji kwa kubisha muone akiuliza2 swali la diamond na harmonize au umuone ni team gan
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 Год назад
Yuko sahihi nenda kalale
@jeanmarievianneyndayishimi6703
Ukipata views za nyimbo zote za Diamond Platnumz ziko chini ya views za wimbo mmoja wa Rihanna
@richardkahutu1508
@richardkahutu1508 Год назад
🇨🇩🇨🇩👌
@majutoeliasi
@majutoeliasi Год назад
Kubuka kingereza tz mwazirishi ni konde kuimba mrimtukana sana konde nyinyi ni wanafiki
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 Год назад
Nafurah cz keki y taifa n kubwa kila mtu apambane kivp
@LtW2-om6yj
@LtW2-om6yj Год назад
Wasanii wa tz mafanikio yao huyapata mpaka watafte kiki kupitia baba yao Wa mziki simba
@yakoubayoub8958
@yakoubayoub8958 Год назад
😂😂😂😂❤🎉
@shaabanshaaban9228
@shaabanshaaban9228 Год назад
Mond ni msanii Bora ever maana anazidi kuwa bora
@FatumaShabani-mp9vt
@FatumaShabani-mp9vt Год назад
Tena apewe kabla ajafa asije kutangulia ndyo mkaanza kumsifia apana mpeni
@JacquesSethjsonb-df3pr
@JacquesSethjsonb-df3pr Год назад
Simba
@pulltheskymusicgroup4475
@pulltheskymusicgroup4475 Год назад
Bro unajua mno kuuliza maswali ,kosa umehukumiwa na mavazo tu
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 Год назад
Chukua MAUA yako Baba Levo.
@casmirymusic
@casmirymusic Год назад
😂😂😂😂
@Tozdance3570
@Tozdance3570 Год назад
Diamond kwenda likizoni kidogo bongo fleva imekua imefifiya, leo anarudi kikazi bongo fleva inarudi kutrend.kiufupi hujama akifaa bongo fleva itabaki story kama bongo movie baada ya kifo cha kanumba
@Tozdance3570
@Tozdance3570 Год назад
Mi namkubali mond kuliko msani yeyote afrika.jama alitoboa tundu kubwa kimataifa kwa kutumiya swahili yake mpk hawo wangereza wanamkodoleya
@milcahchao5805
@milcahchao5805 Год назад
🤣🤣🤣
@Josephdebaci-zc4rr
@Josephdebaci-zc4rr Год назад
Angekuwa na uwezo asi rudiliya kupiga colabo na wasani wenye amesha piga naye ngoma iyo niku shindwa iyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbaya zaidi izo sio kolambo Tena ni tolabo platnumz rip😭😭😭😭
@wasaficlassic5070
@wasaficlassic5070 Год назад
Huyu mtangazaji simkubali kabisa yaani.
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 Год назад
Kwakua anaongea fact
@shaabanshaaban9228
@shaabanshaaban9228 Год назад
Mond ni mmoja sana waliobaki. Ni wasenge TU akina kibakuli full chuki
Далее