Лучшее на RU-vid
Кино
Авто/Мото
Видеоклипы
Животные
Спорт
Игры
Приколы
Развлечения
Хобби
Наука
Авторизоваться
Зарегистрироваться
No video :(
Baba Mwenye Nyumba
KitaleMkudeSimba
Подписаться 430 тыс.
Просмотров 94 тыс.
50%
1
Видео
Поделиться
Скачать
Добавить в
Опубликовано:
17 сен 2022
Поделиться:
Ссылка:
Скачать:
Готовим ссылку...
Добавить в:
Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии :
156
@KitaleMkudeSimba
Год назад
Kwenye Nyumba Kuna Wapangaji Wa Kila Aina.
@siddytv_online
Год назад
Weka Link🖇 Ya WhatsApp Kwa Mashabiki
@mbogoidentity
Год назад
@@siddytv_online YAAH SURE 💯
@OmanOman-ik9sp
Год назад
Sana nyumba za kupanga Zina mambo muwe mnamuweka weka Huyo mzee mwenye nyumba
@rizickdaniely7133
Год назад
@@siddytv_online pp
@edwinjohn6334
Год назад
Eti kisa nimechelewa ndio sipati like saweni bwana 🔥🔥
@beckarluhanga8421
Год назад
Hahahaha 😂🤣😂😂🤣😂 kobelo mwehu Sana ila huyu Mzee dishi linachenga nyingi Sana
@marwa2862
Год назад
Naupenda msimamo wa huyu Mzee🤔 Much love from kenya
@alidingongo443
Год назад
Huyu mzee anaongea balaa 😂😂😂😂😂 mzee kazima babaake Mandonga
@mosunday7014
Год назад
😅😅😅😅😅😅😅 nimecheka ad mama mwenye nyumba kaja kunigongea
@husnabintathuman5746
Год назад
Mze hana lolote Baba yake Manfonga uyoo 😆😆🤣😆🤣😆🤣🤣😆🤣😆🤣🤣😆🤣😆🤣😆🤣😆🤣😆🤣😆🤣😆🤣🤣😆🤣😆
@hemedwalid6570
Год назад
Leteni hizo like bac mbona m akua wachoyo
@fatumaomarali6640
Год назад
Nimecheka kwanguvuu 😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥❤❤❤❤
@hassanimansury4429
Год назад
Dah kobelo konyo sana huyu mwamba😂😂😂😂
@silvermedia6067
Год назад
Kwamba kobelo anamkandia beka😂😂😂
@masoudbakar3376
Год назад
Huyu mzee nouma sana anajua sana
@zawadichikophe9173
Год назад
Kobelo ww kiboko 😂😂😂😂😂 nimecheka kishenzi wallah utakuja niua
@farijalimussa2592
Год назад
Kobelo umeua sana ndo nyota wangu wa mchezo wa leo..
@allmaisha1881
Год назад
Kinyesi sio bange🤣🤣@kobelo
@rrblo3sorry
Год назад
Baba mwenye nyumba kamuita kitale mzazi 🙌🏽😂😂😂
@halima7255
Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣uyu Babu na mpenda sana ❤️💯❤️ ❤️❤️❤️ nauyu kobelo.kavu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sukarigulu8472
Год назад
Beka kwani ulimkosea nini Kobelo 🤣🤣🤣🤣
@azamahussein9180
Год назад
😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂 mzigo chooni....kobelo mchane
@issahamis3286
Год назад
We beka chiz eti babake mandonga
@mwechizumbabaraka3273
2 месяца назад
Noma hii ktale
@levocatuspjohn8638
Год назад
Kobelo kanya pembeni🤣🤣🤣🤣🤣👍
@manasseninteretse8510
Год назад
Kitale ndio anajisaidia pembeni🤣🤣 love from B🇧🇮🇧🇮🇧🇮 mjini Rumonge.
@auntmakochela4202
Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@anuarymzee9898
Год назад
Kobero nomaaaaaaaa mkojani anasubiri
@neemazee1864
Год назад
Kwaiyo kobelo, beka ndio kaacha mzigo
@consolatamedard6593
Год назад
😂😂😂😂 kobelo mjinga sana
@cutesuu7255
Год назад
Baba mwenye nyumba mavi surualeni yani anazuga kinoma ila kobelo uko fity
@fatumasalum5690
Год назад
Mnajua sanaaaaa
@Omosak
Год назад
Babake mandonga ni shida
@mohani7390
Год назад
Kobello😅😅 anajua
@jaydenbedas5729
Год назад
Mzeee zake kusuluhisha migogolo ya ndoa huku kakutana na mwamba sura imechacha haiambiliki
@mr.romancer9160
Год назад
Kanywea kwa kitale tu😅😅😅💔🙌
@omarramadhani189
Год назад
Babu anatamani kuikataa nyumbayake
@zeddydaqueensy4612
Год назад
Kombelo jamani 😂😂😂
@FARAJACHACHA-bm2jf
7 месяцев назад
😂😂😂 nan kaona Stan alivofunga msuli
@reinatave3022
Год назад
Hii team naikubar kindakindaki ila kobelo ndo ameniacha hoi hatar🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@PidfourYoungTz
Год назад
Hahah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣me namchana🤣🤣🤣🤣
@hamisimtusi1796
Год назад
🤣🤣 kobelo amekazana tu yupo Yupo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mpenzisamaki9488
Год назад
Babake mandonga mikwala mingi mmetisha
@masoudbakar3376
Год назад
Ahahahahaa Nouma sana baba mwenye nyumba
@aishaabdul9287
Год назад
Babu amenichekesha sana
@bea2cmovies_bank399
Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu director🙌🙌
@ibrahimabdallah8076
Год назад
Kobelo master🙌🙌
@CoolBoy-tc7pi
Год назад
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😅🤣🤣🤣 kobelo shughuli umeibwaga wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😂😂😂😂
@muhammadjamady-zx1jy
Год назад
mbon kobeloo anamuonea beka
@abdulrahmanhassanlitalawe1399
Год назад
namkubali sana huyu mzee
@fatumasalum5690
Год назад
Jamaniii bakariiii😂😂😂
@dicvanofficial
Год назад
Bas hapo kobelo anahisi Bakari ndo aliyeacha mzigo
@jeremayaClassicPhoto
Год назад
wa3 jmn leo
@mageratuyizerejules4845
2 месяца назад
Kobelo kagonga ukuta😅😅😅😅
@alkutibaadamu2892
Год назад
Beka hatak kuelewa kabisa yan kutoka mto ruvu 😄
@shamsahasan2748
Год назад
Huyu mzee ajaua sanaaa😀😀😀😀bakari ety hadithi yangu imeisha
@raheemmfaume648
Год назад
😂😂 mnakiua kibonge cha watu mnakiua ujue 😂😂 kobelo 🙌
@brineytv100
Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@robertsilvester1078
Год назад
Baba unampotezea Muda kaka wawatu🤣🤣
@cityathuman4278
Год назад
Bakar bwana,hadithi yangu imeishia hapo😂😂
@rafiquesamuel1205
Год назад
🤣🤣
@cityathuman4278
Год назад
@@rafiquesamuel1205 umemuona ee🤣🤣
@dorisimwendakarisa6134
Год назад
Hahahahaha kambilolo ww
@halimaabdalla4856
Год назад
Mzee ukiwa mkali ndio movie yanoga mbaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@malikikapeto9497
Год назад
Wananipa raha sana hawa
@bbrsssaad1282
Год назад
Yani nachdka hadi machozi🤣🤣🤣🤣
@chrissjoel7752
Год назад
Mzee maji alikuwa anayatoa Mto Ruvu kmmk khaaaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nasraabdallah850
Год назад
Kutoka luvu🤣🤣pakeake
@aishafrancis7714
Год назад
Kobelo jaman daah😂😂😂😂😂
@sadakimwaki9791
Год назад
😁😁😁😁😁😁😁 Htr kwel kwel wanajikoroga wenyewe eti ww pumzika mzazi wangu
@allymwanikee1800
Год назад
Daàaaah bakari miyeyusho kinomaaaa😂🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭
@ppendo3611
Год назад
Kobelo wangu hajafanya hivyo vitu jamaniii😂😂😂😂😂
@yohanandiga3389
Год назад
Mzee mandonga woga mwingiii 😂😂
@assanisass6641
Год назад
Baba yake mandonga
@minanitheophile3583
Год назад
Tunawapitisha 🇧🇮 muko sai katia kazi zenu
@daygutv407
Год назад
Haaa we acha tu
@rajabungole3450
Год назад
Jama wako vizuri 😂😂
@rajabungole3450
Год назад
Mandonga mtukaziii
@shabanipande5379
Год назад
Hawa Jamaa Nomaa
@gabrielayubu3417
Год назад
Wa2
@bijabumwinyi43
Год назад
Hana lolote Mzee babake mandonga mikwara hahaha 😂😂😂
@shabanipande5379
Год назад
Eti Baba Yake Mandonga Mikwala
@mbogoidentity
Год назад
😂😂😂😂😂 jumuiya moja
@abdulazizsharif2984
Год назад
😂 😂 😂 Bakar Bakar chonde chonde alalamtindi lahaulaa mchuzi wapapa kwa ndimu kufa kumenilazimuu... 😂 huyu mzee inafaa aimbe Rap song's tz tunawasanii hadi wazee
@ramadhankijana9442
Год назад
Uyu mzee duh
@OmanOman-ik9sp
Год назад
😂😂😂😂😂Mnakimbia nini Sasa
@khamismossikhamiskhamis2223
Год назад
Bakari bakari mchuzi wapapa 🤣🤣🤣🤣
@charafimmuidine4131
Год назад
Uwakika
@hassanhamad8120
Год назад
Sura ilivyochacha
@fidelekahezi5175
Год назад
Baba ake mandonga😂😂😂😂
@mwesigadastanonline3195
Год назад
Movie zenu ni nzuri sana, vipi ya Binadamu mpak Sasa ipo epsd ya ngap?
@halimambena6110
Год назад
Binadamu wa baya jana imepostia now ipo epsd 48
@mwesigadastanonline3195
Год назад
@@halimambena6110 ok sawa, naombeni jina la movie nyingine ambayo ni nzuri inayoweza kufanya ukaenjoy
@mwesigadastanonline3195
Год назад
@@halimambena6110 naombeni jina la movie nzuri
@halimambena6110
Год назад
@@mwesigadastanonline3195 movie zipo nyingi tu kaka angu ila me nafatilia hii ya binadamu ila zipo zingine kama jua kali n.k
@mwesigadastanonline3195
Год назад
@@halimambena6110 ok ahsante sana
@badmanno.1650
Год назад
Babake mandonga mbwa ww bakari😁😁
@alexjohnson3814
Год назад
Jaman kitale umeleta kizaa zaa
@tonymsemwa4394
Год назад
Nakubal san
@mnandilandsimba8627
Год назад
ujadili na naaaaaaani
@gogoboy3300
Год назад
Kobe nakubal sana yan
@ShyMavokoOfficial
Год назад
Nakupenda
@rachelkihaka9204
Год назад
😂😂😂😂😂 hapo nicheke kwanza kabla sijajua nani wa kuacha mzigo chooni nishajua huyo ni kobelo 😂😂😂😂🏃🏼♀️
@CoolBoy-tc7pi
Год назад
🤣😅🤣😅😂😂😂🤣
@simoninzowah7817
Год назад
...baba yake mandonga...😂😁😃
@silvermedia6067
Год назад
345
@aminatwaa9726
Год назад
Kobero eti kuku wanachafua chooni
@ciscongala1037
Год назад
Uyu kitale mnamuogopa sana
@gogoboy3300
Год назад
Kobelo Yan hahahahaha unanichekesha sana wewe
@ycmrpondis1537
Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abdallahamad855
Год назад
Mumetisha
@mishiadams2508
Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu mm
@jumakandy2075
Год назад
😀😀😀😀😀 muko poa
@simoninzowah7817
Год назад
...kuku wajengewe choo chao...
@fidelekahezi5175
Год назад
Kobelo ana mngangania bakari😂😂😂
Далее
13:06
KANYABOYA
Просмотров 54 тыс.
15:11
CHEKESHA : MPOKI NA BALAA KWA BABA MWENYE NYUMBA.
Просмотров 14 тыс.
21:48
Раскрыта Судьба Билла Шифра после Окончания "Гравити Фолз"! - Книга Билла Шифра
Просмотров 231 тыс.
03:02
skibidi toilet zombie universe 37 ( New Virus)
Просмотров 1,9 млн
00:12
Необычная классика #книги #классика
Просмотров 144 тыс.
00:26
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
Просмотров 6 млн
57:29
MKUDE SIMBA ,,SIJAMPIGIA BABU TALE KURA ALISHINDA KWA UCHAWI ,,GEREZANI ENJOY NA TUNASUBILIA COMMENT
Просмотров 109 тыс.
8:14
MTANGA NA BAMBO OMBAOMBA ,HII UTACHEKA
Просмотров 32 тыс.
1:01
MKOJANI
Просмотров 64 тыс.
9:39
ONGEA NA BODA BODA DAH (Ndaro & Yombo)
Просмотров 309 тыс.
1:05:32
Kungwi - Rehema Abdallah, Amri Athuman, Rashid Mwishehe, Jacob William (Official Bongo Movie)
Просмотров 183 тыс.
25:25
MSHIRIKINA COMEDY PART 1-MKOJANI/TIN WHITE/NAGWA/ABDULI
Просмотров 337 тыс.
10:08
KITALE, STAN BAKORA, KOBELO, CHA POMBE,.
Просмотров 297 тыс.
10:21
HAJUI KUPIKA
Просмотров 688 тыс.
11:26
KIKAO UKWENI
Просмотров 17 тыс.
9:06
STAN BAKORA, KITALE MKUDE SIMBA, KOBELO CHA POMBE.
Просмотров 102 тыс.
21:48
Раскрыта Судьба Билла Шифра после Окончания "Гравити Фолз"! - Книга Билла Шифра
Просмотров 231 тыс.