Тёмный

BABA MZAZI WA MWANAFUNZI WA PILI KITAIFA AELEZA MAMBO MATATU SIRI YA MAFANIKIO KWA MWANAYE 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

14 янв 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Hongera mungu akusimamie katka masomo yako na atimize ndoto zako
@veronicatweve8908
@veronicatweve8908 2 года назад
Ni sahihi kabisa! Makundi ya mitaani ni mabaya saana hongera sana binti! M/Mungu akufungulie milango yote ya neema huko mbeleni. Wanawake hoyeeeeeeee!
@saidsalum6101
@saidsalum6101 2 года назад
Hivi sikuizi serikali yetu yatanzania inamchango gani navijana wanao fanya vizuli darasani zamani nakumbuka walikuwa wanapelekwa nchi zanje kuendelezwa kimasomo na selikali na kulikuwa nashule maalum za vipaji watoto wenye vipaji uwezo wakimasoma shuleni
@ummydaudi4940
@ummydaudi4940 2 года назад
Wapelekwe nje kufanya nn na km mashule mazur yamejaa kibao na vyuo pia vipo kibao na vinafanya vzr
@saidsalum6101
@saidsalum6101 2 года назад
@@ummydaudi4940 hapa hatupo tena kuangalia vyuo kabisa wala shule kibao tunasemea ubora sasa kujiendeleza zaidi kwenye vyuo vyakimataifa
@georgemanilabona4916
@georgemanilabona4916 2 года назад
Hongera Sana dada yangu kwa hatua hiyo pia baba kwa malezi mema
@newbornhaule1635
@newbornhaule1635 2 года назад
Mungu awabariki wanawake wenye Akili wote iwe kimaisha au elimu nimefurahi wote no 1,2 na 3 ni wanawake
@deomwankenja7960
@deomwankenja7960 2 года назад
Hongera sana na endelee hivyo hivyo na kumtaguriza mungu mbele !
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli
@beatricechilewa1688
@beatricechilewa1688 2 года назад
Nimeipenda triangle
@wilsonjaphet5547
@wilsonjaphet5547 2 года назад
Mara nyingi naonaga Tanzania one mazingira nyumbani hua ni mazuri mno japo hapa wapo shule lakin pia pako bomba sana
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 2 года назад
Wanafunzi wakiacha michanganyo lazima wafaulu vizuri
@rayamgeni9772
@rayamgeni9772 2 года назад
Shule hii inapatika mkoa gani ?
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 2 года назад
Baba yote ya yote pesa maana cjaona mwanafunzi wa shule za kayumba wote ni mboga saba na shule nzur
@ntezomputu4662
@ntezomputu4662 2 года назад
Muda wte mbn hukutuelezea
@cathykayinga9327
@cathykayinga9327 2 года назад
Jamani kadadaa hngera jirani yangu
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 2 года назад
Sijaelewa mahudiano ya kanisani au msikitini na mafanikio katika maisha au masomo, mbona Steve Jobs wala Elon Mask hawakwenda huko kwenye nyumba za dini? I don't get it man
@cattydaniel5016
@cattydaniel5016 2 года назад
Hongera MUNGU aendelee kukutetea
@peterboniface7567
@peterboniface7567 2 года назад
Hongera binti upo vizuri
@sponsor7882
@sponsor7882 2 года назад
Wana nunua mitihani hawa
@mercynnko3416
@mercynnko3416 Год назад
Nunua na ww kama ni rahisi
Далее
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Просмотров 84 тыс.
شربت كل الماء؟ 🤣
00:31
Просмотров 10 млн
Narcissism vs. ADHD
13:53
Просмотров 143 тыс.
The story Book: Lumumba Shujaa Aliyetolewa Kafara
25:41
How to win a argument
9:28
Просмотров 381 тыс.
The Story Book : Tukifa Tunazaliwa Upya ! REINCARNATION
29:47
ZEE CUTY AMKATAA STAN BAKORA MBELE YA KONTAWA
21:12
Просмотров 1,5 тыс.
Утро в Нью Йорке
0:16
Просмотров 6 млн