Тёмный

BABAYANGU KIPOFU Full episode /2/ / 

BabaJoan
Подписаться 548 тыс.
Просмотров 808 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 442   
@rehemafema
@rehemafema 3 месяца назад
Hii nzr lakni hofu sijaitazama kwasabu hizo move za kichawi imekuwa too much mzipunguze
@fatmaathumani7569
@fatmaathumani7569 2 месяца назад
Nikweli unacho sema kila siku watu muvi zao za kichawi tu
@hemedynyuki4389
@hemedynyuki4389 3 месяца назад
Walaih inasikitisha mno story nzur big up bro
@danielkambanga6790
@danielkambanga6790 3 месяца назад
Safi Sana,awamu hii kwenye macho umeyarekebisha yamekaa sawa.
@ZulphaMsangi-s9g
@ZulphaMsangi-s9g 3 месяца назад
Dah baba Joan kazi nzuri inahuzunisha sana
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 месяца назад
Baba joan usimuachilie huyu mtoto karobo kuna kipaji kikubwa ndani yake 💐 🌹 🌸... kazi nzuri hongereni nyote 👏
@philohmutua2968
@philohmutua2968 3 месяца назад
Mauchungu sana❤❤❤❤ watu tuangalie movie nautoe maoni sikukimbilia kuomba like
@Clamvevo-o4j
@Clamvevo-o4j 3 месяца назад
Wa kwanza jamani like zangu from 254🎉🎉
@hassankenga5787
@hassankenga5787 3 месяца назад
Like zitakupeleka wap ww toa maoni yko acha kuitisha likes
@Clamvevo-o4j
@Clamvevo-o4j 3 месяца назад
@@hassankenga5787 haikuhusu brooo 😏
@MagdaleneKilifi
@MagdaleneKilifi 3 месяца назад
Jaman nmeangalia hii movie nkilia Hadi mwixho, pole sana baba karobo😢
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
❤❤❤❤❤ Mie pia 😢😢😢😢😢😢😢ak movie nzur jamani nyie uyu baba joan anafunza xn hongereni nyote mlioshiriki katik hii
@OLOLUFEMITz
@OLOLUFEMITz 3 месяца назад
Hizo majina wametowa wapi😂😂 Karobo 😢
@StephenOdhiambo-kn4md
@StephenOdhiambo-kn4md 3 месяца назад
Ati karobo
@Dareyoman
@Dareyoman 3 месяца назад
Babajoan never dissapoint ❤❤❤ Keep it up Una kazi nzuri sana❤❤❤
@CollinsMiheso-qn1ul
@CollinsMiheso-qn1ul 3 месяца назад
Napenda Sana ❤❤mwalimu mngeni
@AminaAli-w3s
@AminaAli-w3s 3 месяца назад
Bro mungu akubarki kaz nzur
@Duma700
@Duma700 3 месяца назад
Leo macho yana uhalisia
@franciscassian
@franciscassian 3 месяца назад
Kwani mwanzo yalikuwa vipi
@BothainaBothaina-k6c
@BothainaBothaina-k6c 3 месяца назад
Kazi nzuri sana baba Joan Ila huyu mwanamke roho mbaya yaani roho us chuma🎉🎉🎉❤
@kibanioTz
@kibanioTz 3 месяца назад
Hhhhhhhh iyo fimbo ilikua inaenda kuinglia wap hhhhhhh
@Hosealaizer-l3v
@Hosealaizer-l3v 3 месяца назад
wewe ulivyo ona ilikuwa inaenda wapi jaman?
@kibanioTz
@kibanioTz 3 месяца назад
@@Hosealaizer-l3v hhhhhhhhhhh🤗🤗
@mremajuma
@mremajuma 3 месяца назад
😂
@aminakenyaa9337
@aminakenyaa9337 3 месяца назад
Funzo katika jamii kazi nzuri baba Joan ❤❤❤❤
@MichaelJuma-p9d
@MichaelJuma-p9d Месяц назад
Nimewahi kuangalia movie ila hii ni motto god bless kwa aliee iandaa hii story
@JccjckkvbjgMvfkt
@JccjckkvbjgMvfkt Месяц назад
😢😢 nakupenda sana baba Joan Nice movie 😢😢
@godlovekyela7807
@godlovekyela7807 3 месяца назад
Baba Joan kazinzur wote mko vyema zaid mwimbaji wetj na katobo keep them
@JaynoMkupa-ew3qo
@JaynoMkupa-ew3qo 3 месяца назад
Watoto muhimu cna yatupasa kuzali sha mapema nakuwatunza watoto mapema
@nabiielishanabiielisha489
@nabiielishanabiielisha489 3 месяца назад
Jaman Tamthilia Hii Ni Kari Sana
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 3 месяца назад
Atlist saii macho yako vizuri man ile part one nilikuwa naogopa kuyaangalia hayo much 😢😢😢😢😢😢
@MonnaPonda
@MonnaPonda 3 месяца назад
😂😂😂😂😂ila wewe
@franciscassian
@franciscassian 3 месяца назад
😂😂😂
@FatumaSalim-x8w
@FatumaSalim-x8w 3 месяца назад
Kazi nzurii Sana karobo anajaribu Sanaa pamoja Na baba joan
@NibitangaOmar
@NibitangaOmar 2 месяца назад
Hongera Saana Brother papa karobo
@WiloJean
@WiloJean 2 месяца назад
Vraiment utucheyote wiki baadayakifo nimeipenda sn unacheza vizuri sn
@christianmukohe6140
@christianmukohe6140 Месяц назад
Kazi nzuri. Mubarikiwe
@RaysMerige-cn6xg
@RaysMerige-cn6xg 2 месяца назад
Hii movie nzr sana kil nikitazama lazima machoz yanitoke
@HamisiKatana-rt2yj
@HamisiKatana-rt2yj 3 месяца назад
hiiiii movie aky inasikitisha hongera kwa kazi nzuri
@AminaRashid-m4d
@AminaRashid-m4d 2 месяца назад
Hingereni kwa movie yenye mafunzo❤
@KevineKasongo-n1s
@KevineKasongo-n1s Месяц назад
Jamani kila nikiangalia hii filamu mpaka machozi initeremuke dah!! Ongera kwenu nyote
@RoselineMulwa-qg4bn
@RoselineMulwa-qg4bn 3 месяца назад
Wenye tumejipata huku toka Facebook karibuni💖💖💖
@Elkapmuadi
@Elkapmuadi 3 месяца назад
Umekaza sana my big brother kazi nzuri,cool me El kap muadi from dr congo 🇨🇩🇨🇩.
@AngelinaKinuthia
@AngelinaKinuthia 3 месяца назад
Baba Joan kiukseli kila video ukitoa inakuaga moto congratulations ❤
@JosephOkinyi-fz6dm
@JosephOkinyi-fz6dm 3 месяца назад
Mbona coni part 3
@fatumaomary-z1m
@fatumaomary-z1m 2 месяца назад
kazi nzuri baba karobo
@mapesaomary-ip3vf
@mapesaomary-ip3vf 3 месяца назад
Kaz ni nzur sana
@AksantibiganikiroJoel
@AksantibiganikiroJoel 2 месяца назад
Roho yangu ina umwa juu yamama huyu natowa machizi❤❤ asante Joël from congo
@JumaSaid-pb2er
@JumaSaid-pb2er 3 месяца назад
Ni nzuri sana
@PiliJoseph-t8r
@PiliJoseph-t8r 3 месяца назад
Waooh umetixha baba joan
@naifatally8034
@naifatally8034 Месяц назад
Eee mwenyez mungu mama karobo kuwa na huruma
@MaulidAmri-zt2gv
@MaulidAmri-zt2gv 3 месяца назад
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉❤❤❤
@jkbofficial6905
@jkbofficial6905 3 месяца назад
Ukwel hii movie daaah , inatia huluma sana ,
@JulietNechesa
@JulietNechesa 3 месяца назад
We mtoto nakupenda kwa ujasiri wako
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 2 месяца назад
Masha Allah ❤❤❤❤❤ pambeee sanaaa
@hamzatanramadhan7189
@hamzatanramadhan7189 3 месяца назад
Baba Joan bab kubwa umetisha sana ila huyo chalii usimuache endelea kumpambania Ana kitu kikubwa mnooo
@SandrineBirhindwa
@SandrineBirhindwa Месяц назад
Uyu mwanamke ata ku uwa mze wg ishi naye kwa akili❤
@MaykoJoshua
@MaykoJoshua 13 дней назад
Jamani kumbe wauwaji nakuwaga nasumu mda wowote ee jamani tuwe makini wanaume siyo kila busu linaashilia upendo wengne akina yuda
@johndavid6034
@johndavid6034 3 месяца назад
Duh,,yatia huruma Hadi chozi lanitoka jameni
@GaudenciaMadirisha
@GaudenciaMadirisha 3 месяца назад
Karobo safiiii 🌹🌹🌹🌹
@djrassoyoo
@djrassoyoo 3 месяца назад
🎉mama karobo apo kwa sumu umezingua
@BugoMellody
@BugoMellody 3 месяца назад
Hongera zako bana joa❤
@suzanaedson1080
@suzanaedson1080 3 месяца назад
Hongera sana baba joan kaz nzur
@BabyeSaumu
@BabyeSaumu 3 месяца назад
Hiyo fimbo babaJoan umeilekeza wapi eti ee😂 😂 😅😅😅
@ntezealoyce7043
@ntezealoyce7043 3 месяца назад
Karobo unakitu utafika mbali kaza buti
@geoffreymugala9187
@geoffreymugala9187 3 месяца назад
nimekukubari sana japo natafuta mwisho wa fim zako
@noahadamson9063
@noahadamson9063 3 месяца назад
stori nzuri
@CharlesPascal-rq1yf
@CharlesPascal-rq1yf 3 месяца назад
Funny 😁
@NeyPeter-v2m
@NeyPeter-v2m 3 месяца назад
Wats funny😢
@EmmyMo
@EmmyMo 3 месяца назад
Cyo mzm uyu😂😂😂
@NicodemusKithi-xe7mg
@NicodemusKithi-xe7mg 3 месяца назад
Hongera sana baba Joan 🎉🎉🎉
@mwanakihange8445
@mwanakihange8445 3 месяца назад
Jamani usipojikaza huwezi kuangalia hii movie
@jgudyduf7220
@jgudyduf7220 3 месяца назад
Nzuri sana 🎉🎉🎉🎉
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 месяца назад
Iyo soda aikupalii mama karobo ukafea mbali
@lameckisayagospel7481
@lameckisayagospel7481 3 месяца назад
Leo nilipo ingia Facebook ndo nimeona kipande cha kwanza kisha nikaanza fuatilia vipande vingine.mara tunashindwa kufuatilia filamu za kibongo Na kwenda Nigeria sababu Mara mnacheza vitu ambavyo visivyo kweli wala havipo kwenye oraza za légend.kwenye movie hiyi,upole wa baba unazidi sana.
@IddiHajialy
@IddiHajialy 2 месяца назад
Ww umetowa maoni mangap
@RuhaimanAli
@RuhaimanAli 3 месяца назад
Unatia huruma Allah aturinde❤
@asunahelijah5210
@asunahelijah5210 3 месяца назад
Kisumu Kenya, hatujachelewa hataa💪
@MartinRomano-i2o
@MartinRomano-i2o 26 дней назад
Munipe karibun Mimi Kutoka Rwanda
@JacobClaudeezzo1990-s5o
@JacobClaudeezzo1990-s5o 3 месяца назад
Congratulations 🎊 Baba Joan
@ElizabethmaumaLiz
@ElizabethmaumaLiz 2 месяца назад
Kila mtu nmekua wangapi mnilike movie yenu kwan ??????
@SurprisedAurora-ie4fe
@SurprisedAurora-ie4fe 3 месяца назад
Jamani mnamkumbuka nani mkimuona huyu karobo
@SuzyMeckymillan
@SuzyMeckymillan 3 месяца назад
Kazi nzuri Baba joan
@NuratySalimu
@NuratySalimu 3 месяца назад
Pole mtoto mzur
@VailethYusi
@VailethYusi 2 месяца назад
Hii movie 🎥 usipolia una moyo wa chumaa jamani
@JULIETHGORWA
@JULIETHGORWA 3 месяца назад
Mama karobo una roho mbaya sana
@DavidSaire-zh1nc
@DavidSaire-zh1nc 3 месяца назад
Baba Joan to the world guys which country is this??
@LydiaBarongoOnderi
@LydiaBarongoOnderi 3 месяца назад
Babake nakupenda
@lusilusi8687
@lusilusi8687 2 месяца назад
Ak hii move iko saw
@AminaSalawa
@AminaSalawa 3 месяца назад
Kazii nzuri vipenzi
@jacklineteresia2629
@jacklineteresia2629 3 месяца назад
Mama karobo Una roho mbaya Sana wewe😢
@JonasElhoud
@JonasElhoud 3 месяца назад
Movie zenu ni ntamu sana Salamu zangu kutoka Burundi
@KhamisYunus-jw1hi
@KhamisYunus-jw1hi 3 месяца назад
Ba kalobo unatisha sana
@MathiasElias-t3u
@MathiasElias-t3u 2 месяца назад
Hakika nimtihan Mngu Atusaidie
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 месяца назад
Mi ushangazwa na wanawake, kisa cha kujitia madhambi nakuliekwa talaka kwani ukiomba talaka ukenda endelea na maisha yako mengine utapungukiwa wapi paka utake kuuwa mtu
@BandibaboneMoninga-jo3tq
@BandibaboneMoninga-jo3tq 3 месяца назад
Sawa kabisa
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 2 месяца назад
Subhana Allah 😭😭😭
@deusdedithblassio9328
@deusdedithblassio9328 3 месяца назад
Baba karobo unajuwa kuigiza
@Fayolafaya254
@Fayolafaya254 3 месяца назад
Ina mafunzo kweli.
@Zuu673
@Zuu673 3 месяца назад
Mwendelezo please
@AmbrosiAmbrosi
@AmbrosiAmbrosi 3 месяца назад
Wangapi wana mkubali babajoani gonga like kama wamkubali
@mosesnalianya4440
@mosesnalianya4440 2 месяца назад
Dunia kweli
@JenniferWelema
@JenniferWelema Месяц назад
Kaz zuli san nimependa nafatilya kutka tarime
@wemaelmbwambo
@wemaelmbwambo 2 месяца назад
Inavutia😅❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 3 месяца назад
Uyu mdad ni ana shape aise af mkari
@LaadiBrand-o3d
@LaadiBrand-o3d 2 месяца назад
Apa nimejifunza kitu😢😢😢
@methewlucass981
@methewlucass981 3 месяца назад
Good jobu
@SheryJaez
@SheryJaez 3 месяца назад
I wish it was in English
@gracecharles5689
@gracecharles5689 3 месяца назад
❤❤❤❤❤
@JovanyShirima55
@JovanyShirima55 3 месяца назад
Yatatu vip
@amoschaula
@amoschaula 3 месяца назад
Part 7 mbona inakawia jamani
@AgnessAgness-w6s
@AgnessAgness-w6s 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤
@WinifridaKisinga
@WinifridaKisinga 3 месяца назад
Hii move wanaume wanaume wakiifatilia nakuiweka moyoni kwa hofu wanawake tunaweza tukaishia kuzalishwa tu ila tusiwekwe ndani😭
@JumaSaid-pb2er
@JumaSaid-pb2er 3 месяца назад
Ni nzuri sana
@douglasobanda1954
@douglasobanda1954 3 месяца назад
Very good development. Hongera baba Karobo. Mama Karobo ACHA uovu, hao unawatesa utaja kuwatamani hapo usoni
@Everayubu
@Everayubu 3 месяца назад
Daaaah yan hii move inanifanyaa nitoe machozii ❣️❣️
Далее
BABAYANGU KIPOFU Full episode/3/ #love
20:21
Просмотров 403 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /43/
20:02
Просмотров 120 тыс.
titan tvman's plan (skibidi toilet 77)
01:00
Просмотров 5 млн
Barno
00:22
Просмотров 658 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /1/
24:09
Просмотров 529 тыс.
DUNIA (Ep 01)
18:29
Просмотров 62 тыс.
NJIA PASIPO NJIA
4:50
Просмотров 10 тыс.
KIPESILE   | 1 |
23:39
Просмотров 763 тыс.
MWANAFUNZI WA AJABU Full episode 1
30:49
Просмотров 872 тыс.
NDARO KAMCHOMEA STEVE TENA AYAAA
12:27
Просмотров 261 тыс.
NAMTAKA BABA YANGU |1|
18:21
Просмотров 86 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [45]
22:34
Просмотров 110 тыс.
DADA WA KAZI MCHAWI (full movie)
1:00:37
Просмотров 1 млн
MKOBA WA MAMA Episode [  32  ]  FINAL   [ MWISHO ]
26:34
Просмотров 15 тыс.