Тёмный

BADDEST AONESHA MJENGO WAKE WA KIFAHARI "WASAFI INAZAGAMUA SANA,HUWEZI KUONGEA KANISANI AU MSIKITINI 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 43 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@panchovalentino3576
@panchovalentino3576 2 года назад
Baddest 47 kyela boy 🔥🔥👏👏💯💯💥💥👊
@simonmlisa4311
@simonmlisa4311 2 года назад
Sir God anaendelea ku bless
@lusekeloadam5755
@lusekeloadam5755 2 года назад
Home boi. Dogo WEWE UMEFANANA NA CHEGE au CHEGE KAFANANA NA WEWE😃😃😃
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 2 года назад
Hongera Msanii Mkali hapo itakuwa ni kwake amejenga au amenunua na kukarabati Nyumba. Makabila ya Nyanda za Juu Kusini wana Maendeleo sema hawajioneshi. Wakinga, Wabena na Wanyakyusa wana Mali nyingi sana
@Officalnaph
@Officalnaph 2 года назад
aaaaaah aaaaaaaaaah miaka 200 hana pesa ya kununua nyumba hii mzeee. amepanga amejitahidi kwa hilo kupanga sehem kubwa
@fabiantanzania5795
@fabiantanzania5795 2 года назад
dahhh sema jamaa yuko high kinoma😂😂
@festojuvenalis8315
@festojuvenalis8315 2 года назад
Oya wasafi mwambie @Baddest 47 aweke zangamua kwa audiomack 😂
@JODANIDONATUSJODANIDONATUS
@JODANIDONATUSJODANIDONATUS 9 месяцев назад
Unyama sanaaaa ety
@issakamangila4143
@issakamangila4143 2 года назад
Baddest km chege wanafanana sn
@tbwayjunior8947
@tbwayjunior8947 2 года назад
Umemuita awajagi bila taarifa ao aiseee
@ahmedawadh2460
@ahmedawadh2460 2 года назад
Mtangazaji kihere here
@yassinlisa6168
@yassinlisa6168 2 года назад
Mtangazaji kwenye madirisha 😒 mara anataka kuingia vyumbani! Rubbish
@ombenmichael3473
@ombenmichael3473 2 года назад
Baddest....
@ladyr.hamsini2311
@ladyr.hamsini2311 2 года назад
🔥🔥🔥🔥badest 47
@swalehesaad1143
@swalehesaad1143 2 года назад
Zagamua ni genge tone
@ezeedi871
@ezeedi871 2 года назад
Mkazana nyumba yake au kapanga,hivi mnafikir kujenga mchezo hasa kwa wasanii hakuna msanii ambaye huwa anawaza kujenga nyumba ya kawaida ndoto za wasanii ni kujenga nyumba kubwa yaan apartment so ndo maana utakuta wanachukua muda mrefu Sana kujenga nyumba ndo maana utakuta wengine mpaka wanapotea kimziki bado hawajatimiza ndoto zao zakujenga mjumba mkubwa.
@majaliwa_tz5004
@majaliwa_tz5004 2 года назад
Kweli Afazali Wangekua Wajenga Kwanza Japo Kidogo Alafu Wanasikilizia
@mubarakhassan2618
@mubarakhassan2618 2 года назад
Ila ubaya hawazeheki navo tunawasubiri bada yamyaka 30 nyuma tuwaon uzeheni
@mwanjumajongette8187
@mwanjumajongette8187 2 года назад
Nice
@husseinbakary1969
@husseinbakary1969 2 года назад
Zagamua inatusumbua jamani mmweeh 😀😀🤪
@stanastana3199
@stanastana3199 2 года назад
Jamaa ashapiga mabomu kinoma,miwani sebuleni
@samwelipaul1462
@samwelipaul1462 Год назад
Wasanii kujenga nikazi sana Yan Wana kimbilia kununua magali tu lakn sio kujenga
@tethantethan2063
@tethantethan2063 2 года назад
Et fungua basi nikuone hahahhahahahhahahhaha Ila uyu mtangzj
@alexwizeboy2251
@alexwizeboy2251 2 года назад
baddest mtu mubadiii
@akimudominik5695
@akimudominik5695 2 года назад
Zagamua Nini Ra kiha ni sawa na kurupusha Ama fumua fumua baba levo Huwa anapenda kulitumia
@jomiAfrica
@jomiAfrica 2 года назад
Moshi mwingi kichwani
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 2 года назад
Bangi motoo somo jeusi kama kundi la nyani
@jamilahathumani4222
@jamilahathumani4222 2 года назад
Kama ndo I vo huwez kuongea maneno mabaya Sasa wewe mbona umesema oya sar god,,lyo n dsrspect kwa mungu
@zakariajoseph5351
@zakariajoseph5351 2 года назад
Awapi sio kwake hawezi kuwa na mjengo Kama huo
@exhaudyvalentine7907
@exhaudyvalentine7907 2 года назад
hawakawii kukodi sehemu ya kufanyia inta
@rhexmeer6059
@rhexmeer6059 2 года назад
wenye vigodoro mtafute 🤣🤣🤣
@rajabkhamis2303
@rajabkhamis2303 2 года назад
Mtu kwake halipi kodi km alilipa bc ujue c nyumba yake bwana hebu tuacheni
@zillytash6016
@zillytash6016 Год назад
Ulipo umejihifadh kwa mkataba au bila mkataba nikwako
@mapekhamis3882
@mapekhamis3882 2 года назад
Apo hatujui kapanga au yake ila hao ukitaka kujua wakifikwa na matatzo (hatuombei sote wanadam na c kwamba hakuna asopata tatz) utapata ukwl wooote hao hao wanawahoji wanaenda tena kutupa ukwl km kwake au kapanga
@ngamanyajoshua839
@ngamanyajoshua839 2 года назад
neno
@luthermbio1865
@luthermbio1865 2 года назад
Zagamua maana yake ni pindua pindua
@ThreeDtv
@ThreeDtv 2 года назад
Kanunua kapanga
@memphisdepay3590
@memphisdepay3590 2 года назад
Nakubal mwamba hyo nyumba yako umepanga? Umejenga? Au umenunua hvyo hvyo yaan yako unaimiliki kivip
@jrsaid4270
@jrsaid4270 2 года назад
Kuna vijana wadogo tu wanamiliki pesa ndefu Mzee,huenda ni yake au ni apartment
@zawadizawadimussa23
@zawadizawadimussa23 2 года назад
Unaweza Kuta kapanga
@madownloadionlinetv759
@madownloadionlinetv759 2 года назад
Nyumba yake au kapanga
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 2 года назад
KapAnga wanapangaga kujibrand mijengo ya watu
Далее
WHICH SODA CAN FLY THE HIGHEST?
00:48
Просмотров 3,9 млн
NUNUA NDEGE KWA DOLA 225,000 TANZANIA
8:53
Просмотров 22 тыс.
CHEKESHA : MSOMI ALIYEPITILIZA | MPOKI NA MASANJA
9:05
WHICH SODA CAN FLY THE HIGHEST?
00:48
Просмотров 3,9 млн