Тёмный

BAHATI BUKUKU:AFUNGUKA KUHUSU KUZUSHIWA KIFO 'BADO NAISHII'.ROSE MUHANDO AMERUDI KUNDINI 

Masanja TV
Подписаться 228 тыс.
Просмотров 555 тыс.
50% 1

BAHATI BUKUKU:AFUNGUKA KUHUSU KUZUSHIWA KIFO 'BADO NAISHII'.ROSE MUHANDO AMERUDI KUNDINI | MASANJA TV
TANGAZA NASI MASANJA TV TUPIGIE SASA KWA NAMBA 0712329490
SUBSCRIBE | Masanja TV | For more Gospel Updates:
👇 👇
/ @masanjatvgospel

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 523   
@marcelinemwaro266
@marcelinemwaro266 Год назад
Twakupenda sana uku Kenya Bahati bukuku ata kushinda Tanzania fanya sku uje Kenya tukuone live mamaaà we love you so much mwaaaah
@oreste2023
@oreste2023 5 лет назад
Me I'm in Rwanda , I love Bahati Bukuku with her music, Lets thanks God Bahati Bukuku is still in live , Thank you God.
@dorinliving5993
@dorinliving5993 2 года назад
Ulakoze
@getrudefavour5951
@getrudefavour5951 5 лет назад
Nangoja Sana mum Hiyo album mpya.Utaishi hadi Adui washangae. Songa mbele mama binadamu atabaki Kua binadamu tu na mwenye wivu. Waombee waishi miaka Mingi Ili washuhudie makuu ya Mungu maishani mwako. Love you so much mama💞💞
@daimonkalinga9772
@daimonkalinga9772 5 лет назад
uko vema mtumishi umejibu vema mom
@stellamsemo1020
@stellamsemo1020 5 лет назад
Hutakufa bali utaishi, Mungu akulinde sana damu ya Yesu ikulinde
@nicholaskhainza4802
@nicholaskhainza4802 5 лет назад
Mama mfupi wa maneno na majibu.Haya yanakuepusha na mambo mengi.Mungu akuwezeshe kufanikisha hiyo album.
@joycejohn102
@joycejohn102 5 лет назад
Namshukuru Mungu. Bahati yu hai Ilo tangazo la ibilisi la kumzushia bahati amekufa. Ninalifuta kwa damu ya YESU. Na pia bahati ataendelea kuishi Na kuyasimulia matendo ya BWANA.
@mikeotieno7486
@mikeotieno7486 5 лет назад
You will not die until you accomplish God's purpose..
@ruthdorcas6962
@ruthdorcas6962 5 лет назад
The voice that makes people and businesses come to standstill, we love you 254 hata kuliko watz wenye wanakutakia kifo.Bahati √√√pole
@patrickhazard238
@patrickhazard238 5 лет назад
Yaani nilishtuka sana kusikia bahati ayuko kumbe mum uko ,,,,,bahati utaishi sana
@bendettakatumbi5252
@bendettakatumbi5252 4 года назад
May God give you long life like Moses and may he condemn the person prying for your early death God forbid that person in his name
@lightwilliam4443
@lightwilliam4443 4 года назад
wakenya mna tabia mbaya sana kutusema vibaya.utafikiri ninyi ni malaika.watu wabaya wakuzusha mambo machafu wako kila sehemu usiseme waTZ kama vile wote tunahusika.Hata sisi hatupendi mambo kama haya.mnakera sana sometimes kujudge watu mnaweka huko wote kwa ujumla that is bad.mbadilike
@wangarimuraya7786
@wangarimuraya7786 3 года назад
Utaishi dadangu,God loves you
@violetkaaya7819
@violetkaaya7819 5 лет назад
Anaendika habari hizo ameshindwa vita katika ulimwengu wa roho sasa ameingia mwilini. Asante mtumishi wa Mungu kwa kusamehe. God bless u
@rahelipaul7168
@rahelipaul7168 5 лет назад
Reudjyjf
@duncanmulu2450
@duncanmulu2450 5 лет назад
Hongera kwa bahati...hekima imekupa heshima
@japhethkilonzo5825
@japhethkilonzo5825 5 лет назад
Mungu akupiganie mtumishi
@precious5277
@precious5277 5 лет назад
Hongera sana
@Evah-c4z
@Evah-c4z 19 часов назад
Bukuku tunakupenda sana hapa Kenya,hautakufa utaishi washindwe in Jesus name wenye walitoa habari hizo
@isaiahshizava4986
@isaiahshizava4986 5 лет назад
Hakika napenda nyimbo zake bukuku ana sauti ya kipekee kabisa na haigi mtu kama wanavyofanya waimbaji wangine wanaiga hadi wanaharibu ladha ya muziki mungu amuhifadhi bukuku na amlinde AMEN
@agnessmhufu4638
@agnessmhufu4638 2 года назад
Nakupenda sana Dada Bahati.napenda kazi zako.nabarikiwa sana.uishi .na maadui washindwe kwa jina la YESU.
@duejesterkerubo6046
@duejesterkerubo6046 2 года назад
Niko kenyan napenda nyimbo za bahati bukuku sana more and more blessings 🙌 🙏
@enesschitambo6721
@enesschitambo6721 Год назад
Ster along life bahati bakuku. Mimi nakupenda sana kutoka kwaro yangu.. safari jema yanko ubarikwa huka myaka mengi kwa kwajina Lya yesu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@rachaelolweny8175
@rachaelolweny8175 4 года назад
Thanks alot Bukuku.let God deal with those who dirtify His work through you.am from Kenya and we love you...we like the messages from your songs.🙏🙏
@israeltango9126
@israeltango9126 2 месяца назад
Mama yangu mungu akubariki Kazi yoyote ni maadui we songs mbele
@provispermunzenda3195
@provispermunzenda3195 5 лет назад
Barikiwa mama Bahati Bukuku,tunangojea album mupya. Asante masanja TV
@victoriajohn4047
@victoriajohn4047 5 лет назад
Navo kupenda bahati bubu bac tyu mungu ndie ajuayee !! Na mungu azidi kukuweka na miaka mingi nakuombea hao wanao kuombea mabaya na kukuzushia yawarudie wao wenyewee!! Kwa jina la yesu!
@shikswaJesus5451
@shikswaJesus5451 5 лет назад
Ahsante dada Bahati Bukuku kwa kujibu maswali kwa busara....I love you
@deffencemtagwa6958
@deffencemtagwa6958 5 лет назад
Aiiii that's greet I love that ....kumbe Bukuku upo wenye wanakuuwa wafe wao...si Bukuku Endelea pia uwasamehe wote na umejibu maswali vizuri God bless and help you more ....keep it up.....!!!! Congracts .....!!!! From Kenya
@lavenderodhiambo9843
@lavenderodhiambo9843 Год назад
Madam Bahati asante mungu akupe nguvu na akusaidie sana na akuinue,uendeleze KAZI ya mungu,na waimbaji wote WA nyimbo za nnjili,nyimbo zenu zanibariki sana
@felisianamilele5389
@felisianamilele5389 4 года назад
Hongera mpendwa Mungu akupe maisha marefu hukutaka kubishana au kuhangaikia alie kuzushia kifo
@hopefordawn44
@hopefordawn44 Год назад
Mimi ni shabiki mkubwa wa Bahati bukuku.ukiinuliwa namwanadamu utashuswa bali ukiinuliwa na mungu utakua juu. napenda hii wimbo sana. nakupenda bukuku wachana na maneno ya wanadamu songa mbele na yesu.
@angelomedard
@angelomedard 5 лет назад
I'm member Christianity especially in Rc church by the way from a long time nafuatilia effectively kazi ya mikono yako bwana aliyokutunuku NEVER GIVE UP My lovely sister l think one day atawashangaza bwana
@joycesinkala225
@joycesinkala225 2 года назад
Mchamungu Hana mambo mengi kwanza ukimkosea mchamungu utapata shida wewe na kingine mungu atateta nawewe mchamungu hashindani na binadamu yupo bize namungu wake na maisha yake baati mama yangu uko vizuli sana wabaya wote walo kuandama mungu ata shugulika nao lilax na kingine mungu yunawe mpaka mwisho love you mum wangu ❤️❤️❤️❤️❤️
@RebekaMjage
@RebekaMjage 6 месяцев назад
Hutakufa Bali utaishi mungu akuzidishe maisha marefu❤❤❤❤🙏🙏🙏
@ruthkanini2249
@ruthkanini2249 5 лет назад
I was shocked too .... nakupenda sana mum....wasemehee tu hautakufa utaishi na neema ya yesu inawe kila siku
@justusmyelloofficial2773
@justusmyelloofficial2773 5 лет назад
So Bahati Bukuku is a genius!!!! Now I know. Great woman of God.
@veronicahkitonyiofficial2271
@veronicahkitonyiofficial2271 2 года назад
I second
@fortunatathopist3813
@fortunatathopist3813 3 месяца назад
MUNGU akulinde mpendwa katika. BWANA❤❤❤❤❤
@doricasedward3066
@doricasedward3066 5 лет назад
Bahati bukuku you are very smart, umejibu vizuri Sana, God bless you and your family amen
@sifanaomi1932
@sifanaomi1932 5 лет назад
This she dead
@rosemlaga4969
@rosemlaga4969 5 лет назад
2mambo ya nyakatu 20:15 imeandikwa usiongope ,chapa injili kama vile hujawahi kuimba imba sana. Adui zako njia zao ni Giza na utelezi. Nimechukia sana. I love u dogo langu in Jesus name. Amen
@precious5277
@precious5277 5 лет назад
KABISAAA ALIYEANDIKA ANA AKILI TIMAMU THAT'S WHERE HUMAN ARE LACKING RESPECT MAMA BUKUKU PONGEZI
@ghhfgbgfhh1980
@ghhfgbgfhh1980 5 лет назад
Asante sana mwinjilist Endelea kusimama nimependa sana hekima yako Sote tunastail kutembea na hekima hii ndani ya mwili wa Kristol
@kabangedellhy4548
@kabangedellhy4548 5 лет назад
May the Lord gives You long life to keep moving with gospel. You shall not die but live to declare the works of the Lord. I break that evil spirit of fake death moving around be covered by the blood of Jesus Christ.
@christineamukoye9969
@christineamukoye9969 5 лет назад
Karibu sana mum ni kwa neema tu wenye uvumi zao watashindwa kwa Damu ya YESU Kristo na haufi sasa hadi siku MUNGU atakuamlia.....nabarikiwa sana na gospel zako sana.
@monicahwangechi3393
@monicahwangechi3393 5 лет назад
Bukuku you will live long and here in Kenya we love your music , you're my mentor.
@YusuphMalale
@YusuphMalale 8 месяцев назад
Niliumia sana presha ikiwa juu kwangu kumbe uongo pole sana Bahati Bukuku
@PhelixPeter-r5v
@PhelixPeter-r5v 28 дней назад
washdwe wenye walikua wanatoa abali izo ,,,,,,,,,,,,,❤❤❤❤❤tunakupeda sana bahat
@jacksonmwadime4962
@jacksonmwadime4962 5 лет назад
Mama Bahati Mungu amempa busara sana..Utaishi ili uiendelee kutukuza Mungu ,hutakufa mama.Barikiwa sana mama,Glory to God
@kamaukamau6233
@kamaukamau6233 3 года назад
Pepo chafu kwa wale wote walio eneza uvumi na roho ya ushetani..mungu ni mwema bahati bukuku amerikiwa Amin..
@lilianbikeri901
@lilianbikeri901 2 года назад
Nakupenda Bahati mungu akulinde na akuepushe na mabaya
@dutarametv9793
@dutarametv9793 5 лет назад
Nimejaribu kufanya utafiti kwenye byombo mbalimbali byatarifa inje nandani kuhusu kufo sha dada kipenzi BAHATI BUKUKU Sijapata jibu Namshikuru mungu kweli From USA 🇺🇸 . Kazabuti mama.
@mathiaskibamba7929
@mathiaskibamba7929 5 лет назад
Barikiwa sana mama bahati bukuku
@happinesstesha7061
@happinesstesha7061 4 года назад
Nakupenda dada Mungu hata kuacha utakufa umeshiba siku kama neno la Mungu linavyo sema.
@sammyjulia6801
@sammyjulia6801 5 лет назад
Bahati Bukuku Mungu akupe Maisha marefu na ya mafanikio, Taarifa tulizozipata zime tushangaza sanaaaa, Kumbe watu wengine ni sawa nguruwe hawana thamani yeyote kukutangazia kifo...Mimi siishi Africa lakini nazipenda nyimbozako sana,,,Kila siku nasikiliza na kuangalia video zako kwa youtube.ca WWatu wanakutakia mabaya kwa sababu roho zao mbaya Mungu Akubariki na akupe maisha marefu,,,,,
@gloriousninah8253
@gloriousninah8253 4 года назад
I LOVE THE APPLAUSE .Aaarrrr ninajua aliyeandika ni mtu mwenye akili timamu ana ufahamu wakutosha kabisa namshukuru mungu kwa jili yake
@glorymwakasege5040
@glorymwakasege5040 5 лет назад
Strong and intelligent woman, love you so much, God bless you.
@mapenzikatana9990
@mapenzikatana9990 5 лет назад
Mungu azidi kukupa maisha marefu hapa duniani na uendelee na kazi ya mungu mama bahati bukuku
@wanyoikenaftali4114
@wanyoikenaftali4114 5 лет назад
Very wise and beautiful more grace woman of God
@MEGNIFYMWAMBEPO
@MEGNIFYMWAMBEPO 20 дней назад
Mungu akupe miaka Ming mama etu ya wanadamu mengi wee songo mbele
@KansiimeEva-ud3wd
@KansiimeEva-ud3wd Год назад
Gospel star wa bwana I'm so happy to hear that you are live and God continue to help you in your work.evil people who published the fake news be cursed in Jesus'name Amen
@precious5277
@precious5277 5 лет назад
BAHATI I LOVE YOUR RESPONSE BELOVED SERIOUSLY YOU'RE WISE
@emmaawuor4923
@emmaawuor4923 5 лет назад
Mm nilishindwa na siku amini nikasema hii ni propanganda. Asante sana kwa kumsamehea mungu akuzidishe umri
@bintimohamed2646
@bintimohamed2646 5 лет назад
Thank you GOD bahati bukuku is still life may God bless you
@rostapatrick2419
@rostapatrick2419 5 лет назад
Ahsante dada bahati mungu akubariki sana, unamaneno ya faraja sana.
@Christina-fq3wu
@Christina-fq3wu 6 месяцев назад
Mungu akupganie bahati bukuku mamy wangu
@jacobokwaro7157
@jacobokwaro7157 5 лет назад
Mum naomba utoe album kwa ajili ya hili jambo,,wanakutakia kifo mbona,,napenda nyimbo zako mum,,zinanitia moyo sana,,love you mum.
@jacobokwaro7157
@jacobokwaro7157 5 лет назад
Mama utaishi ukifanyia kazi mung,,nakuombea maisha marefu mum,,msenge uyo mwajie mungu.
@JohnKahibi
@JohnKahibi 7 месяцев назад
Ubarikiwe saana dada,nmependa Imani yako
@PapáZongwe
@PapáZongwe 8 месяцев назад
Nashukuru.baba.neno.yasiri.yatoka.wazi.atushoki.baba.akulinde.nimimi.apa.congo.lumbu.mbashi.musafiri.
@fatmafa1896
@fatmafa1896 5 лет назад
Amen Mungu aendelee kukuinua na kukubariki na akusidishie uzima na njema kwa jina la yesu kristo aliye Bwana na mwokozi wetu amen
@everlynechepkoech4840
@everlynechepkoech4840 5 лет назад
Mungu akubariki sana bahati bukuku ,ni vizuri umewasamehe.wanikumbusha ile wimbo wako unaesema lazima usamehe ili mungu akusamehe.......
@mugishagenevieve7508
@mugishagenevieve7508 2 года назад
Mungu azidi kukulinda nakupenda sana I'm in Rwanda 🇷🇼
@angelkimario7622
@angelkimario7622 4 года назад
Nakupenda sana kwa uwimbji wako MUNGU akukuze kama MBUYU ubebe matunda yakumumusa radha yake isiyo isha kumumusa kamwe.mwaaaaaaaa mama BAHATI.
@jeradessy6667
@jeradessy6667 5 лет назад
Super talented mum..God bless you richly ..no weapon formed against you and your family shall prosper in JESUS mighty name Amen
@patrickigiraneza6591
@patrickigiraneza6591 5 лет назад
Pole sana Mama kwa ajali ile .Usikate tamaa kwa kazi unayomtumikia Mola kupitia nyimbo.
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 5 лет назад
Amen amen. Nalisema hao washinde tena washindwe kwa jina la Yesu aishie Milele yote. Amen.
@sospetermanyama8294
@sospetermanyama8294 5 лет назад
Jamanie Watu wa tcra tusaidieni huu utitiri wa uzushi wanatupotosha
@trgbellah9982
@trgbellah9982 Год назад
I just hate media people who work tirelessly to look for words from your mouth,thanks for answering like an intelligent woman mama
@banterbeebee8976
@banterbeebee8976 4 года назад
Wewe ni mama mwenye hekima u shall not die u will live to proclaim the Goodness of God.God bless you
@MarryKuni
@MarryKuni 7 месяцев назад
Ubarikiwe kwa busara zako mungu akutetee
@boswage
@boswage 3 года назад
She's very wise and conscious Love you mamaa😍😍
@IbrahimBoiyo-t8b
@IbrahimBoiyo-t8b 3 месяца назад
You shall not die but you shall live and declare the mighty work of the Lord mum.
@nancdodoma2992
@nancdodoma2992 5 лет назад
Aonavyo mtu nafusini mwake ndivyo alivyo ameeen nakupenda sana Bahati Bukuku
@didierbanze9651
@didierbanze9651 5 лет назад
Na furahi dada Bahati bukuku Yuko hai.J aime cette servante de Dieu.
@lizylizy2205
@lizylizy2205 5 лет назад
Mungu akulinde na akupe neema,, ma hao wanaotajaria kifo chako washindwe kwa jina la Yesu
@marympemba8843
@marympemba8843 5 лет назад
Nakupenda sana mama bahati bukuku, mungu akulinde na akupiganie kwa yote.
@johnmangar7587
@johnmangar7587 5 лет назад
Love you siz bahati forgive them
@bizimanalouis6472
@bizimanalouis6472 5 лет назад
Bahati nakupenda Santa mungu akurinde uyo anasema ivo usiumie mungu njoo atajua cakufanya musame siyeye nishetani anandani yake
@majaliwamwandembo2048
@majaliwamwandembo2048 5 лет назад
Mungu ampiganie kwa kweli
@stevenkambeytz2459
@stevenkambeytz2459 5 лет назад
Jamaa unajua sana kuuliza maswali ya msingi afu umechangamka kinoma good boy keep on meeeen
@zenajimmy6603
@zenajimmy6603 5 лет назад
Oh my Allah Na vile nakumbuka vile nilisononeka haki dadangu kumbe huko Hai . Mwenyenzi Mungu azidi kukubariki Ameen
@amkeni
@amkeni 5 лет назад
Amina ,nakukubali sana mtumishi wa Mugu ,walio kuzushia kifo wafe mwenyewe na zambi zao, kama wametafuta kiki watakipata kwa shetani uko,wakafie mbele
@nyotamabanga8873
@nyotamabanga8873 5 лет назад
You are a good singer , I really like your songs, especially magonjwa yote and waraka I don't know how to explain how much I love your songs GOD BLESS YOU
@eunicefaustine7050
@eunicefaustine7050 5 лет назад
M/Mungu na akutetee cku zote, akukinge na maadui wanaokuombea mabaya, uzidi kulitangaza neno la Bwana kwa njia ya uimbaji
@JanetMbuya-ty6yb
@JanetMbuya-ty6yb 4 месяца назад
Vita si vyako mama, Nuu(Noah)nifungulie mlango,, mungu na shetani wacha wakampeni Dada, Bali mungu ndo mshindiii!
@fatumatunu9055
@fatumatunu9055 5 лет назад
Nakupenda mma kila siku mpaka niangalie nyimbo hii ni nyakati zamwisho yanibariki sana +254 nikiwa Qatar
@janetlyne1732
@janetlyne1732 5 лет назад
Amen nakupenda Sana mama. Bahati ubarikiwe Hadi adui yako ashangae
@martinkiberenge4405
@martinkiberenge4405 4 года назад
I deeply love the lady with all my heart
@irinenafula9315
@irinenafula9315 5 лет назад
Mam.you are alive., ....thanks be to God ...whoever says should know that meet witth God
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 лет назад
Pole sana Bahati Bukuku kwa kuzushiwa kifo Mungu wa mbinguni akukinge na mauti inayopangwa na wanadamu dhidi yako. Endelea kuwaombea na kuwasamehe bure maana hawajui walitendalo.
@jenniferfenty164
@jenniferfenty164 4 года назад
Looking beautiful mum. Here in Kenya, we love and pray for you.
@oduor_ruth
@oduor_ruth 5 лет назад
Yaani msambazaji afanya mwenzake kaongea kwa uchungu hivi.Mungu akusamehe bure.Ubarikiwe sana mama utaishi hutakufa.Endelea kuwasamehe usiwaweke moyoni,watupe nje.
@neemanelson9556
@neemanelson9556 5 лет назад
Hyo mtu achukuliwe atua za kiserikali afungwe
@oduor_ruth
@oduor_ruth 5 лет назад
@@neemanelson9556 lkn sio mara ya kwanza habari hii kusambaa na serikali hawakuchukua hatua yoyote,ko na hii pia nadhani hakuna hatua itachukuliwa
@noelaemanuela6100
@noelaemanuela6100 5 лет назад
I love you mamy mungu akubariki
@sallyngugi3593
@sallyngugi3593 4 года назад
Bahati you will live and testify of the goodness of jesus. The grace of God is sufficient upon you.
@richardmagayo7725
@richardmagayo7725 5 лет назад
Mm huyu mama nampendaaa Sana nimeumia Sana kwa hiiii skendooo nimeumia natamanigiii Sana nikutane nae tuuuuu nimuone
@dativakimaro7640
@dativakimaro7640 5 лет назад
I will never stop loving you bukuku..washindwe na walegee wanaokutangazia kifo live long my mama.
@dorothymmbone8864
@dorothymmbone8864 5 лет назад
Mungu akulinde mum ajuzingire na damu yake takatifu.
@hopemungure5009
@hopemungure5009 5 лет назад
Hautakufa Bali utaishi na kuyasimulia matendo ya Bwana mtumishi Bahati
@PascalineKabuo-tg5py
@PascalineKabuo-tg5py 6 месяцев назад
Congo tuna shukuru mungu sana habari niuongo
@sterahdavid8164
@sterahdavid8164 3 года назад
Nimekupenda bure Dada, maana imeandikwa nitawabariki wale wanao bariki,nitawalaani wale wanaolaani, kwahiyo baraka zitaanzia kwako hazitaanzia kwa adui zakooo waooooooo
@seburigidamsungu6252
@seburigidamsungu6252 4 года назад
Penda sana Dada mungu akutie nguvu
@mercywanjiru1083
@mercywanjiru1083 5 лет назад
You will stay in Jesus name then you song make me strong
@bahatigwivaha9696
@bahatigwivaha9696 4 года назад
Hallelujah, lazima usamehe ili Mungu akuinue.
@janetnjobvu2871
@janetnjobvu2871 Год назад
Nampenda Bure dada bahati hakakika utaishi kwajina la yesu
@samwelmalindi1083
@samwelmalindi1083 5 лет назад
Nampenda Bahati sana kw nyimbo zako wasamehe bure
@thadeophilipo490
@thadeophilipo490 5 лет назад
Samwel Malindi
@mmnn3060
@mmnn3060 5 лет назад
Mungu yupo mama Africa bahati bukuku tunakupenda natena mungu akuepushie mama
@amaniamani2277
@amaniamani2277 5 лет назад
Samwel Malindi ir
@miltonmgobasa3919
@miltonmgobasa3919 5 лет назад
habari
@pamelanabokolweojuma1964
@pamelanabokolweojuma1964 5 лет назад
hallelujah hallelujah hallelujah mungu akubariki sana
@gracebasondole6990
@gracebasondole6990 5 лет назад
Barikiwa sana Bahati.Mungu atabaki kuwa Mungu.
@annajohn6595
@annajohn6595 5 лет назад
Amen Ole wake anayemsingizia at mtu kafa ili afanye biashara na alaaniwe Mara sabin
@subiramussa1428
@subiramussa1428 5 лет назад
Nakupenda bahati mungu akupe maisha marefu
Далее
Bahati Bukuku - Waraka (Official Version Video)
12:54
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14
Просмотров 1,4 млн
BAHATI BUKUKU ASEMA NENO KWA PASTOR EMANUEL MDOE
8:48
Christina Shusho - Wa kuabudiwa (Official Video)
10:10
WARAKA WA AMANI ESTER
12:55
Просмотров 172 тыс.