Тёмный

Bahati Bukuku ft Bony Mwaitege - Dawa Yangu (Official Video) 

Bahati Bukuku
Подписаться 587 тыс.
Просмотров 474 тыс.
50% 1

Music Video by Bahati Bukuku featuring Bony Mwaitege performing "Dawa Yangu" from the Ep (DAWA YANGU).
The music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by Fahim Rasham.
Stream/Download ‘Dawa Yangu’ EP - smartklix.com/DawaYanguEP
Follow now Bahati Bukuku on Social Media
Instagram: Bahatibukuku_tz
#BahatiBukuku #DawaYangu

Развлечения

Опубликовано:

 

7 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 700   
@MATEOJOSEPH-nc8gf
@MATEOJOSEPH-nc8gf 2 месяца назад
Ambao mnakubali Bahati Bukuku akiwa Boni mwaitege tujuane Kwa Like
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 2 месяца назад
Wanyakyusa wawili. Neema ya YESU iwalinde mzidi kuimba injili
@SandraBahati-ho5eo
@SandraBahati-ho5eo 2 месяца назад
J'aime bien
@CelestineWanyonyi-po4vw
@CelestineWanyonyi-po4vw 2 месяца назад
👌👌👌🙏🙏🙏
@dorcasdavid2247
@dorcasdavid2247 2 месяца назад
Mungu ni Mwema sn❤
@dorcasdavid2247
@dorcasdavid2247 Месяц назад
🥰🙏
@halimrasham1221
@halimrasham1221 2 месяца назад
Nipe like za Kenya 🇰🇪 na Uganda 🇺🇬
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 2 месяца назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@denwaizkenya8772
@denwaizkenya8772 2 месяца назад
Upeleke wapi
@happynasimiyu1288
@happynasimiyu1288 2 месяца назад
Dawa yangu ni Bwana Yesu🙏🙏🙏😊I love you from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MrEdu47-yj2vs
@MrEdu47-yj2vs 2 месяца назад
❤❤❤❤🎉🎉🔥🔥📌👍
@freretoms5119
@freretoms5119 2 месяца назад
Wanawo juwa kuwa inchi Yangu Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ipo kwenyi vita njooni tu ungane kwa ajili yaku ombeya inchi Yangu Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 🇨🇩 na Africa nzima wa Africa sote ni wamoja gonga link APA kama una amini ilo good song na Big up saana kwa ndugu Zangu wote wa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 MUNGU awabriki sana wa Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tuna wapenda saana jamani 🇹🇿🤝🇨🇩💪💪💪
@GatekaNene
@GatekaNene 2 месяца назад
@freretoms5119 Naipenda inchi yangu ya Congo 🇨🇩 nawapenda wa Congo piya ndugu zangu hakika tushikamane tuombeye amani ya Congo 🇨🇩 🤝🤝 mimi piya ni mzaliwa wa Congo 🇨🇩 ila nimekomaliya Burundi 🇧🇮 na sasa niko Saudi Arabia 🇸🇦 MUNGU asimame na sisi wa Congo African yotwe kwa ujumla na tupendane tuwe na umoja beberu mzungu hawezi pata na fasi ya kupenya tukishikaman pamoja na MUNGU yote yanawezekana. ❤❤❤❤
@alex_vincent
@alex_vincent 2 месяца назад
MUNGU yupo na Congo mpaka sasa Naamini Ipo siku AMANI NA UPENDO UTATAWALA
@GatekaNene
@GatekaNene 2 месяца назад
@@alex_vincent Amen Amen hakuna kitu kinaco kuwa na mwanzo kikose mwisho. Na haya yatapita tu yaliyo pita yalikuwa makubwa kuliko haya. Na mbele ni pazuri tumutangulize MUNGU mbele na tuombe sana. na tuace kujipendekeza kwa hawa wazungu jamani wazungu niwezi hawana jema na mtu mweusi mu African misaada yao na kusomba watu wakiwapeleka ulaya sii kwa wema ao upendo lahasha wanataka mbinu zao ili waibe mali na baraka za African. So wa African tuamke tuamke tena jamani African bila mzungu tunaweza tunaco kila kitu MUNGU alitupa kila hitaji letu kama Bin Adam kila taifa aliwapa sawasawa na gisi walivyo kwa kiyasi cao lakini sisi wa African alitupendeleya sana ndomana wazungu wana wivu na mali za African. Samahani kwa kutoka inje ya mada,na waraka mkubwua 😔😔😔😔
@alex_vincent
@alex_vincent 2 месяца назад
@@GatekaNene AMINA
@jaytee2021
@jaytee2021 2 месяца назад
Mungu awape Amani watu Wa Mungu.
@ornellamutoniwase5409
@ornellamutoniwase5409 2 месяца назад
Dawa yangu ni Yesu.mume wangu amenisubir nitok supermarket ili anionesh iyi song❤nipe like from France 🇫🇷
@africandeliciousfoods28
@africandeliciousfoods28 2 месяца назад
Wow wow ❤❤ wapi likes za hawa mashujaa wetu Bahati na Bonny🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪
@MatildaBetty-bg1cz
@MatildaBetty-bg1cz 2 месяца назад
Wakenya Kwa nyumba❤❤❤ Likes zikam..
@beatriceouma
@beatriceouma 2 месяца назад
Wow what a great job, mwaka huu lzima huu uimbwe kwa harusi yangu from Kenya 🇰🇪 wapi like
@donniexjuddex7499
@donniexjuddex7499 2 месяца назад
❤❤I have found my wedding song in Jesus's Name Amen, God bless you my sister & brother for this a touching holy spirit song🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇴
@MargaretAwinja-ls7hx
@MargaretAwinja-ls7hx 2 месяца назад
Wait ,,i thought bahati bukuku was announced dead through an accident,,how comes now ??
@carollokello4109
@carollokello4109 2 месяца назад
🎉🎉🎉 Congratulations
@donniexjuddex7499
@donniexjuddex7499 2 месяца назад
@@MargaretAwinja-ls7hx my dear those are fake youtubers who are just looking for subscribers, the woman of God Still a live in Jesus's Name
@MargaretAwinja-ls7hx
@MargaretAwinja-ls7hx 2 месяца назад
@@donniexjuddex7499 what a hell 😟😟 its not gud at all,,
@naomiako3653
@naomiako3653 2 месяца назад
Pp P P P
@loveme6056
@loveme6056 2 месяца назад
Watu chukueni dawa iyo ambayo ni Yesu hamtojutia kamwe, ombeni, fungeni na aminini kuwa mmepokea. Mauwa kwenu Bahati na Boni
@rajabmugo3882
@rajabmugo3882 2 месяца назад
This song is Soo good...wakenya tuko wapi. Jamaniiiiiii...🔥🔥🔥🔥..na anasikia vile nasikia walaiii....tamuuu... someone feel tagged ❤️❤️❤️
@muenikimeu8460
@muenikimeu8460 2 месяца назад
This song i will dance 🪩 at my son's wedding markus 💍💍 by grace of God 🎉🎉🎉🙏🙏🙏all is about Jesus ❤🇰🇪🇩🇪
@jacintamuhavi
@jacintamuhavi 2 месяца назад
Zile ndoa ambazo Zina kutoelewana yafaa waskie hii song I believe it will change everything.kama wanisupport nipe like
@CentrineMuhele
@CentrineMuhele 2 месяца назад
When you hear bahati bukuku and bonny mwaitege its 🔥🔥🔥🔥🔥 Feeling blessed from kenya..... Team kenya pita like
@EllyMarua-ge8rf
@EllyMarua-ge8rf 2 месяца назад
Waliopokea ujumbe na kuielewa hii song gonga like apa
@Rebeccah-nz7bq
@Rebeccah-nz7bq 2 месяца назад
Najivuna ❤❤❤
@samsonwambua1511
@samsonwambua1511 2 месяца назад
Moto sana kenya
@RaphinaMd-wu9ee
@RaphinaMd-wu9ee 21 день назад
Watasema sana
@tecsquadcomedycreative9454
@tecsquadcomedycreative9454 2 месяца назад
Wakenya let's show Bukuku some love🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@danwhyagwatamusic
@danwhyagwatamusic 2 месяца назад
❤❤❤❤❤that is why I 💕 gospel music I will sing forever for Jesus. Am Danwhy Agwata gospel minister from Kenya. Also am a song writer. Siri yangu ni Yesu
@shadyarif653
@shadyarif653 2 месяца назад
I leave this message here for future reference that God Works for those believes in him😊💪
@abdoulmazeya5485
@abdoulmazeya5485 2 месяца назад
Mungu wangu nipe like za 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Congo jamani ❤❤
@michaelmbui8226
@michaelmbui8226 2 месяца назад
I just love this woman of God so much...na kama ipo daaawa ya ndoa naomba nipewe bas ❤
@ngangajeremiah9912
@ngangajeremiah9912 2 месяца назад
Woman of God? who is not of God??
@michaelmbui8226
@michaelmbui8226 2 месяца назад
@@ngangajeremiah9912 wewe uko na mambo yako!! Ulikuwa unataka nimwite woman of satan ama nini inakuwasha?? Mwanzo wewe hata ni mwanaume bro sijui jina woman of God inakuwashia nini
@GyslaineAkimana
@GyslaineAkimana 2 месяца назад
Ambao mnakubali Bahati Akiwa na Bony👍tujuane wakutoka🇧🇮🇷🇼like zenu
@JescaJeremia
@JescaJeremia 23 дня назад
👍
@millicentmmbone5562
@millicentmmbone5562 2 месяца назад
Nani pia alikuwa akingojea video ya huu wimbo much love from 🇰🇪🇰🇪
@ChenchiKing
@ChenchiKing 2 месяца назад
Asante Mungu Kwa Kuwapa Hekima Ya Kutuleteya Ngoma Nzuri Kam Hii🎉🎉🎉🎉
@justinog3105
@justinog3105 2 месяца назад
Mi niko Kenya 🇰🇪 ila mzaliwa burundi 🇧🇮 comment yangu nasema mrudi studio hii nyimbo nzuli sana Mungu awabariki sana inaenda kuandika history kubwa duniani I love it by the way ❤❤❤❤
@danbestwamalwa7735
@danbestwamalwa7735 2 месяца назад
Uongoooo studio ama wameharibika hawa
@bryanosese8
@bryanosese8 2 месяца назад
Why do you feel there's need to introduce yourself
@ramadzuwamwenga-kt2lm
@ramadzuwamwenga-kt2lm 2 месяца назад
From Kenya, Blessings come down my life like thunder while listening to this song after Picha ya Mama that left me burning my cheeks with hot tears. Be blessed ministers,May God be on your side always😊😊
@eliasiravuga7539
@eliasiravuga7539 2 месяца назад
Mungu awaongezeye Hekima nyingi,, ili mutunge nyimbo nzuri zakuwafariji wakristo wote Kwa jumla na wapagani kwa upekee 🕊️🇨🇩♥️📖🕊️🇨🇩♥️📖
@AnithaIrankunda
@AnithaIrankunda 2 месяца назад
Jamani Nyimbo nzuri sana ❤❤❤❤bwana Yesu awabariki sana Nyimbo ya harusi nzuri tena saaanaa ❤hongereni sana
@franciskazungu5433
@franciskazungu5433 12 дней назад
from kenya ujumbe special kwa wenye wako kwa ndoa gonga like tukisonga
@simbayihamaundu3552
@simbayihamaundu3552 Месяц назад
Zambia 🇿🇲 listening to Gods love songs rich with His grace and blessings. Thank you mama Bahati and Bon
@tukuyufm
@tukuyufm 2 месяца назад
Mama na Baba mmeiimba vyema hii nyimbo
@lutumbinduta1702
@lutumbinduta1702 2 месяца назад
You're blessed, mom 🎉. More success and breakthrough!!. From Israel 🇮🇱.....
@professor1992
@professor1992 2 месяца назад
From Kenya am ohangla gospel rhumba kazi safi watumishi nipewe likes tukifuatana
@PASTEURGENEROSEKABAKA
@PASTEURGENEROSEKABAKA 2 месяца назад
❤❤❤
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 2 месяца назад
❤❤❤❤Amen watumishi wangu mbarikiwe sana keep up 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@honeyflower254
@honeyflower254 2 месяца назад
Bahati bukuku ilikuwa umenyamaza sana wakenya tumekumisi sana wapi like ya wakenya
@ZakayoMatozi
@ZakayoMatozi 2 месяца назад
Dawa ya Ndoa ni Yesu.....................Hapo nimekubali kwa 100%
@mathewssilweya6551
@mathewssilweya6551 2 месяца назад
🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 Zambia loves you ✌️✌️🙏🙏🙏
@JosephineKayz-dc7ih
@JosephineKayz-dc7ih 2 месяца назад
Bukuku,u are the dawa of Africa tazama wimbo yako ni zambia 🇿🇲
@JosephineSliver
@JosephineSliver 10 дней назад
Song for mababu na bibi waliokadani ya ndoa for long 🎉🎉🎉
@nakimitihellen6422
@nakimitihellen6422 2 месяца назад
I love it that it's a nice love song for us born agains, for sure, our secret is Jesus ❤, thanks Ministers, Much love from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬❤
@beatriceogalo5260
@beatriceogalo5260 2 месяца назад
Not only for the believers but everyone-Gospel is meant for all
@vincentmumo6963
@vincentmumo6963 2 месяца назад
Wimbo mzuri kutoka kwa wasanii tajika ulimwenguni ❤ nawapenda sana Bahati na Boonny ❤😊
@FelisterMwambeyu
@FelisterMwambeyu 8 дней назад
Wapi kelele za mtumishi bahati wewe.. dawa ni yesu❤❤❤❤
@elizabethruwa1587
@elizabethruwa1587 2 месяца назад
Mungu akubariki kila wakati.Nyimbo zako zina ujumbe mzuri sana.Endelea kufanya kazi ya Mungu
@yvetteirankunda520
@yvetteirankunda520 2 месяца назад
Dawa yangu ni Yesu, hacheni tupewe
@user-wh9sy6gb1b
@user-wh9sy6gb1b 2 дня назад
Waaaah.....This is wonderful job....may God bless you Bukuku and may your enemies be ashamed
@OfficialJoel07
@OfficialJoel07 2 месяца назад
Wazee wa maana hawa ❤❤❤❤ tujuane bc 👇🏿
@deodatusmwacha719
@deodatusmwacha719 2 месяца назад
Tuokuwa kuwa tumemmiss Babati Bukuku naomba like zenu🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Rebeccah-nz7bq
@Rebeccah-nz7bq 2 месяца назад
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪, huu wimbo 🔥🔥🔥🔥🔥 siri ni Yesu
@furahinisekumbo268
@furahinisekumbo268 2 месяца назад
God is our final answer, God is good. Be blessed
@vcbbrand6288
@vcbbrand6288 2 месяца назад
Mbeya home sweet like zijae apa🎉
@user-st3ws1ns5g
@user-st3ws1ns5g Месяц назад
Baby tena,na mbingu imemuhishimisha na sio mungu tena😮daaah!!!
@betinaraphael1836
@betinaraphael1836 2 месяца назад
Kwa Kweli dawa ni Yesu ❤❤❤❤❤❤kazı NZURI sana mama Angu
@SheilaApondi-dn5lh
@SheilaApondi-dn5lh 12 дней назад
Nakupenda sana mama bahati bukuku, uwaga nazipenda sana nyimbo zako yani mungu aendele kukuongoza ili utubariki na nyimbo za injili.
@johnrogeo2161
@johnrogeo2161 2 месяца назад
Tunataka hio dawa, nyimbo safi sana❤
@leonardmunene9773
@leonardmunene9773 2 месяца назад
Mnifikishe 20 likes🔥
@ianadhiga9823
@ianadhiga9823 Месяц назад
Namshukuru Mungu Mwenyezi kwa uhai wa mamangu. Thank you for the beautiful song, Mama ❤
@sarahmaina9128
@sarahmaina9128 2 месяца назад
Waooo nice song, congratulations 🎉🎉🎉 Special dedication to my lovely loving husband. Dawa yangu ni Yesu..... Best results ever 🙌🙌
@DanielDaniel-gx2ou
@DanielDaniel-gx2ou Месяц назад
Si dawa yako tu mtumishi mbali nidawa yetu sote wakristo waenda mbinguni wachamungu ubalikiwe sana mtumishi kwaujumbe mzuri mungu azidi kukutumia
@richardjanuarykikezikasoma1072
@richardjanuarykikezikasoma1072 2 месяца назад
Uko sahihi mtumishii wa Mungu , mwenyezi Mungu azidii kukupa afya uendelee kutufunzà mandikoo yake tu.
@tonnynewton254
@tonnynewton254 2 месяца назад
Bukuku kumbe yupo...tangu dunia Haina huruma uliacha kutuonea huruma ulipotea ila nafurahia🌎
@user-yv4wd5ii8k
@user-yv4wd5ii8k 2 месяца назад
Mbn ana nyimbo jrb kuchek na picha ya mama, wimbo wke huo
@AntoinetteDorothea-mz7qp
@AntoinetteDorothea-mz7qp 2 месяца назад
Mungu njo muweza wayote mama hongera kwanyimbo zuri zakutufariji Sisi wenye kuteswa🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Congo njo nyumbani.
@kombegladys7207
@kombegladys7207 2 месяца назад
Dawa n Yesu naamin ata mm nitafanikiwa kwa mambo yangu
@DoraJuma-gk9gt
@DoraJuma-gk9gt 2 месяца назад
Sifakwamungu mungu awabaliki❤❤❤
@jenifanostress1960
@jenifanostress1960 2 месяца назад
Ubarikiwe mama yangu kwa messege❤❤❤ na nikwel dawa yoote ni yesu na hilizi nimaombi❤❤❤❤❤
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d 2 месяца назад
This song is going to get millions of viewers in Jesus name
@agapaokamulete3332
@agapaokamulete3332 2 месяца назад
Amen ❤
@mcwako
@mcwako 2 месяца назад
Greatest love from team🇰🇪🇰🇪 I will be happy if you feature embarambamba.yule kaka ndipo asipotee bure❤
@eliasiravuga7539
@eliasiravuga7539 2 месяца назад
Ndiyo Dawa yetu sisi wa Kristo ni Yesu,, ❤❤, hatuna hirizi yoyote ila Yesu,,,, 📖🕊️♥️🇨🇩♥️🇨🇩📖♥️
@stevenkomba4621
@stevenkomba4621 2 месяца назад
Hawa ndo wa kongwe like kwaoo jaman
@alainmunono3116
@alainmunono3116 2 месяца назад
Quelle profondeur de ce duo. Si vraiment Jésus est le fétiche pour être sauvé alors qu'on nous le donne. Que Dieu vous protège chers Bonny et soeur Bahati. Nous vous suivons depuis mbok'elengi
@user-ly3it4xo6b
@user-ly3it4xo6b 2 месяца назад
Dawa yangu ni yesu❤
@zedy_hope-pd8kn
@zedy_hope-pd8kn 2 месяца назад
Nimemiss kuona wimbo wenu wapamoja jmn sifa kwa mungu ❤❤❤❤
@maureenkenya
@maureenkenya 2 месяца назад
Iam happy for both of you Bukuku and Bonny welcome back once more, this song is the best indeed May God Bless u all❤
@Hellyngina
@Hellyngina 2 месяца назад
Nice song please team Bukuku please nipitieni nitawapitia pia ❤❤
@marymbogoh1533
@marymbogoh1533 2 месяца назад
This song reflects my life directly. Dawa yangu ni yesu
@user-ji7sy2wi7b
@user-ji7sy2wi7b 2 месяца назад
Kila kolabo ya bahati na mwaitege ina kuwaga ❤, nipeni likes 100 🙏
@RoseMsele
@RoseMsele 7 дней назад
Nakupenda sana dada Bukuku ubarikiwe mno hii nyimbo haipiti siku sijaisikiliza
@georgemuthokasyala8026
@georgemuthokasyala8026 2 месяца назад
Bahati Bukuku ni talent kubwa sana,,huu mziki ameutuliza sana huyu mama ako na vibe la Kinyamwezi💪💪💪💯💯💯
@mrpmrp5841
@mrpmrp5841 2 месяца назад
You are our gospel legends wapi like za kenya
@JimmieClimax
@JimmieClimax 2 месяца назад
Hawa wawili Wana Jambo😂❤ Anyway Naomba like ya Kenya ❤
@agneswu7364
@agneswu7364 2 месяца назад
My wedding song with whoever I don't know 😢😊
@patchomwamba9529
@patchomwamba9529 2 месяца назад
Ila nyie tuseme kweli bahati bukuku anajua anajua anajua tena yaani Mungu akulinde sana mamangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JamhuriJumaa
@JamhuriJumaa 2 месяца назад
Wow aim blessings true this song 🙏🙏🙏 Dawa ya Amani ya ndoa yangu n yesu tuu
@haki_ni_maisha
@haki_ni_maisha Месяц назад
Amen dawa yangu yesu. Much love from kenya
@lynahasiko6454
@lynahasiko6454 2 месяца назад
@Bahati bukuku you are ablessed woman of God with pure talent...this is master piece❤
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d 2 месяца назад
Dawa Yanga ni nyimbo nzuri tangu nilipoisikiliza kupitia audiomack mwaka Jana mwezi wa sita
@NEEMAJMKUDE
@NEEMAJMKUDE 2 месяца назад
Kazi nzuri sana nibarikiwa sana na mtumishi wa MUNGU bahati bukuku 👍🙏❤
@emiliebukachi1683
@emiliebukachi1683 2 месяца назад
Kenya tunakupenda pls allow us to download huu wimbo nataka kuchezea kwa harusi yangu end month pls
@bartelemyabassi.mohamed1185
@bartelemyabassi.mohamed1185 22 дня назад
Dawa yangu ni yesu sifa kwa Mungu❤
@omuze1290
@omuze1290 2 месяца назад
Usiku huu wa kuamkia tarehe 10.04.2024 nimeota ndoto kwamba nimemtembelea mch. Bahati Bukuku. Alitupokea vizuri sana na tukawa tuna mazungumzo yanayohusu ufalme wa Mungu. Mch. Bahati alikuwa mchangamfu sana lakini pia alionekana amekonda sana kimwili. Nilipoamka na kuingia youtube ndipo nikakutana na huu wimbo. Mimi siyo shabiki au follower wake!
@FnellyB.84
@FnellyB.84 2 месяца назад
Moz kumbe mama bado unatupenda nasi pia tunakupenda ❤
@deboraanyango5584
@deboraanyango5584 2 месяца назад
Wow ❤❤❤❤❤❤❤love your gospel music 🎶 🎉🎉🎉❤❤ love from Kenya 🇰🇪
@Joyyoy877
@Joyyoy877 Месяц назад
Wow very powerful song full of message dawa ni Yesu irisi maombi powerful ❤❤❤❤❤❤🎤🎤🎤🎤✨️✨️✨️✨️✨️🔥🔥🔥🔥
@ev.amanimwandodavid3653
@ev.amanimwandodavid3653 2 месяца назад
Nipeni liké zangu tafadhali❤🇨🇩🇨🇩
@JudicaelleGatali
@JudicaelleGatali 2 месяца назад
Yes verry good 🙏🙏🙏 le vraie médecin c'est Jésus-Christ il guérit tout , il repart tout fessant lui seulement confiance amen amen ❤❤❤ très bien dit belle chanson soyez toujours béni dans le seigneur amen amen
@eliasiravuga7539
@eliasiravuga7539 2 месяца назад
God bless you my Sister Bahati, and my brother mwaitege,,,, 📖💯🇨🇩🕊️📖💯🇨🇩🕊️
@Andrewkatiwa
@Andrewkatiwa 2 месяца назад
My wedding song is here 💗
@TabithaAlfred
@TabithaAlfred 2 месяца назад
Mung azidi kukuinua bahat bukuku unatubark sana❤❤❤
@metrinelinyonyi9113
@metrinelinyonyi9113 2 месяца назад
Nice song indeed God is the best medicine if u trust in Him nothing is impossible 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@peninahmwangi9802
@peninahmwangi9802 2 месяца назад
Wow! Your voice,,always melodious to my ears and heart ...the words in this song❤.Ni Yesu tu🎉
@BroNicholas
@BroNicholas 2 месяца назад
Wow... ❤❤❤❤❤❤❤ si uchawi ni maombi. Si kamuti ni maombi. Dawa yangu ni yesu....
@MaryhannahMembe-ok4gu
@MaryhannahMembe-ok4gu Месяц назад
More blessing to you madam BAHATI BUKUKU.
Далее
Bahati Bukuku - Picha ya Mama (Official Music Video)
8:21
Mama Ni Mama
8:39
Просмотров 217 тыс.
Soma Mwanangu Bony Mwaitege feat Bahati Bukuku
8:56
Просмотров 3,2 млн
Thank you 30M subscriber❤️IB:@hagimeshacho
0:23