Тёмный

BALAA! LEMA AFUNGUKA MAZITO | HAUTAAMINI AWATAJA WANAOSHIRIKIANA NA SERIKALI KUKANDAMIZA WANANCHI 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 175 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE RU-vid Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Опубликовано:

 

26 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@wiza2309
@wiza2309 Час назад
Mimi nadhani mtuache kama mwakanmmoja hivi bila kufanya chochote ili akili zetu zirudi
@IsayaKamomonga
@IsayaKamomonga 5 часов назад
Mwamba Godbless Jonathan Lema!!!!
@ProsperKinabo-j8g
@ProsperKinabo-j8g Час назад
Kama kuna siku Mtumishi Lema ameongea ukweli ni leo. Jamii/Wananchi ndio chanzo cha udhaifu wa nchi. Nilijiuliza maswali hayo hayo, hakukuwa na mtu yeyote alichukua video chap wakati Mr. Kibao alivyowekwa pingu? It's very sad! Yaani Kenya wametuacha mbali sanaa!! Waliua KANU kama karatasi kwa ushirikiano wa wananchi wote. Where are you and me?? Tuweke maswala ya nchi mbele.
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 2 часа назад
Very well spoken. Nimewaza hayo uliyoyaongea. Nilijiuliza ina maana ndege nzima hawakuweza kurusha habari kwamba lema amekamatwa? SHAME ON US. Nakupata kutoka USA. Wananchi ni wajinga sana. Na watanzania ni waoga sana mbali ya ujinga. Ni kweli kabisa. Tuombe mungu iko siku wataamka ktk usingizi mzito. Na nyinyi Allah atakulipeni kheri.
@abubakarimussa1955
@abubakarimussa1955 5 часов назад
Tushikamane kwani mshikamano ndiyo Kila kitu
@evelina9621
@evelina9621 Час назад
Mambo.ya.msingi.simu Msizitumia.njia.ya.wazungu.kuwamalima.wote.sio.chadema.act.ccm.vyama.vyote.kwenye.kapo.la.wazungu.ukoloni.mamboleo
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Час назад
Dah lema umeongea sana mambo muhim
@charlzmboya
@charlzmboya 2 часа назад
Mh lema wewe ni genius .. daaah Unazungumza pont muhimu sana NIMEKUSIKILIZA SANA KWA UNDANI HADI NIMETOKWA NA MACHOZI !! VIONGOZI WA DINI WANANYAMAZIA KIMYA HILI JANGA IPO CKU HII LAANA ITAWATAFUNA TU.
@wiza2309
@wiza2309 Час назад
Yaani tunatia aibu kweli kweli
@claudmahimbali
@claudmahimbali Час назад
Lema Umenitoa machozi wanaotutesa Wanafahamu Udhaifu wetu.Si unaona Mnyika Anafuatwa aeleze Alipataje taarifa za Kibao. Ndiyo maana watu Wanaogopa.
@wallacemngoma794
@wallacemngoma794 Час назад
Hakika Lema anasema kweli, wananchi wengi ni wanafiki, pamoja na waumini wa dini zote, mashehke na wachungaji wajitokeze kuwaelimisha waumini wao kujiokoa na hali ya nchi inavyokwenda, wasiogope kwani wakishindwa kufanya hivyo ni dhambi, wawashawishi waumini wao kuibadirisha serikali kupitia uchaguzi ujao, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Час назад
MR LEMA NAKUMBUKA ILE STORY ULITAKA KUWASAIDI WATOTO AMBAO BABA YAO ALIKAMATWA MOSHI NA AKAUAWA LKNI WAKAOGOPA 😢😢😢😢😢😢
@johnndimbo5082
@johnndimbo5082 Час назад
Lema ni mwamba, na hata viongozi wanatakiwa wamsikilize huyu jamaa wachukue hayo madini.
@SaimonMwashinga
@SaimonMwashinga Час назад
Hii speech inabalki milele maneno makubwa makubwa sana sana lema mungu akuinue
@hechechacha4032
@hechechacha4032 5 часов назад
Yaani tuna jamii ya watu wabinafsi sana
@leokamil6284
@leokamil6284 32 минуты назад
Ubinafsi unafki na uoga Plus upumbavu
@BorchertWilliam
@BorchertWilliam 4 часа назад
Lema umenena kwa usahihi kabisa usikte tamaa mungu ataya tendea haki hayo unayo yasema .
@SaimonMwashinga
@SaimonMwashinga Час назад
Da kweli sn yaan sisi watamzania wapumbavu sn dah
@SeifOmary-x1z
@SeifOmary-x1z 4 часа назад
Chadema pia mliwahi kususia maandamano ya sauti ya watanzania
@abushaddad989
@abushaddad989 17 минут назад
Wananchi wenye akili wanasubiri uchaguzi sio maandamano,Kama mungetumia busara na kusubir uchaguzi musingepoteza watu wenu kwa sababu za kuiga Gen z wa Kenya, suburini uchaguzi hakuna kiongoz yeyote angependa fujo kwenye utawala wake
@evelina9621
@evelina9621 2 часа назад
Waelezeni.wananchi.kama.wahataki.waache.kulalamika.maneno.yako.lema.mazuri.sana.tumieni.kuwaeleza.watakao.sikia.wapo
@HezronAlexander
@HezronAlexander 37 минут назад
Huyu jamaa ana philophy sana.Halafu hasomi popote,na anaongea kwa vituo mno.Hakika ana kipaji sana.Kuna wasomi hawawezi kabisa kuongea busara hizi.
@NnalaNsangalufuMwangati
@NnalaNsangalufuMwangati 53 минуты назад
Hii kitu inaumiza sana nchi yenye amani ila umoja hatuna wala upendo hatuna tumeshakuwa wabinafsi ndiomana tumefikia huku tuliko fika 😢hatujajua kesho yetu itakuwaje ingawa tayari tumeyaona haya
@healingsschool4630
@healingsschool4630 45 минут назад
NUMBERS 35: 31-33 and no atonement can be made for the land for the blood that is shade in it,......
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 10 минут назад
Kwa kweli Sasa tumepata Elimu nzuri Sana asante kwa uelevu uliyotupa
@ShabaniShebuge
@ShabaniShebuge 3 часа назад
Mtumishi naomba mukachunguze kijiji chakwamsanga wiilaya yahandeni hakinachama pinzani
@healingsschool4630
@healingsschool4630 57 минут назад
HESABU 35:31 Mtu ameniletea shells tayari you are now in case we need to get together with the repairment and maintenance of the new testament of goods import and export of the new ones and they are all very much for all the LORD
@LeoKinango
@LeoKinango 3 часа назад
Wote wanaopanda ndege hawajui baadhi yao hawajui maisha magumu, ingekua stendi kwenye basi isingekua kimya ndugu
@evaemil856
@evaemil856 2 часа назад
Serikali ya sasa Tanzania, watu wasiojulikana, Usalama wa Taifa na Polisi wake wako sawa na P. Diddy life.
@healingsschool4630
@healingsschool4630 53 минуты назад
Ndo Dunia ya sasa ilivyo, muhimu ni kuomba amani, msitake vyeo na madaraka
@SeifOmary-x1z
@SeifOmary-x1z 4 часа назад
Amekua akisisitiza sana makubaliano, sasa Leo kuwabadirisha watu siyo rahis
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 3 часа назад
Kumbe tunanunua ndege kwa ajili ya kusaidi kuteka WaTanzania.!
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 3 часа назад
Mkuu ajira hatuna ! Ongea haraka c unajua bando la wezesha!
@ZephrineMarwa
@ZephrineMarwa 28 минут назад
Najua hata tunaocomment hapa ni waoga sanaaa yaan😢
@abdallahalwardi588
@abdallahalwardi588 4 минуты назад
●majeshi ndiyo tatizo sugu😢😂
@abdallahalwardi588
@abdallahalwardi588 25 секунд назад
●hayo makanisa na misikiti 0 😢😂
@jumasaghida5492
@jumasaghida5492 2 часа назад
Mungu aendelee kukulinda lema una akili sanaaa
@abubakarimussa1955
@abubakarimussa1955 5 часов назад
Kaka ni kweli tunakoelekea ni kubaya zaidi
@ShabaniShebuge
@ShabaniShebuge 3 часа назад
Fikeni huko mukaweke wapinzan
@TinaDuwe-p4z
@TinaDuwe-p4z 4 часа назад
Tanzani tumerogwa
@abubakarimussa1955
@abubakarimussa1955 5 часов назад
Tufikuri mema na tuhurumiane
@SeifOmary-x1z
@SeifOmary-x1z 4 часа назад
Mbowe ndio chanzo
@LeoKinango
@LeoKinango 3 часа назад
Dawa yetu tuachwe tufanywe wanavyopenda wao, siku wakiamua kutuacha sawa, wakiamua waendelee sawa tuu, mpaka mwisho wa dahari
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 3 часа назад
Lema thinking capacity ya sisi watanzania ni ndogo sana.
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 5 часов назад
Mwamba heshima kwako""
Далее
Как он понял?
00:13
Просмотров 107 тыс.