God wa Yanga Fei toto unamsema sababu aliwaacha. God Yanga ua chuki na Fei toto. Kwani wachezaji wangapi wanaondoka kwenye timu?mbona Chama amekuja kwenu mmeona mashabiki wa Simba wananawatukana au kumsema vibaya Chama?acha utoto wewe ni mzee mzima unamsakama Fei toto. Huo ni utoto wako.
Fei kaondoka yanga kwa kuzudhiaki sana tupo ktk mashindano anatuachu tena kwa kutufitini lazima tumchukie na alijua tutashindwa but kashindwa yeye.lakin chama kaondoka pasipo kashfa wala kiwasunbua simba tena kaomdoka mkataba umeisha kwa hiyo usifananishe na alivyoondoka fei