Тёмный

BALEKE AMEMWAMBIA NINI MENEJA WA YANGA? MSIKILIZE WALTER HAPA 

Yanga TV
Подписаться 696 тыс.
Просмотров 71 тыс.
50% 1

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Спорт

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 128   
@africanbabaz4739
@africanbabaz4739 15 дней назад
WE NEED BALEKE ✅
@NeemaAkyoo-s4s
@NeemaAkyoo-s4s 16 дней назад
Hapana sis mashabiki haturizik bna hata wakati team imeshapata ushindi kuna ugum gani wa yeye kupewa hata dakika15 tu akikaa sana bench atapoteza kujiamini ni maoni tu syo lazima maan hatujui kocha yey anaona nin ila amfikirie nayeye japo hata dakika15🙏🙏🙏🙏💚💚💚💚
@RodgersMoshi-k4j
@RodgersMoshi-k4j 16 дней назад
Kocha yupo tuache afanye kaz yake
@NeemaAkyoo-s4s
@NeemaAkyoo-s4s 16 дней назад
@@RodgersMoshi-k4j nisawa sijakataa ila tu kuna wachezaji vipaji vinapotelea benchi
@IsmailKatala
@IsmailKatala 16 дней назад
​@@NeemaAkyoo-s4sJana kocha amesema Jezi ya Yanga ni ya gharama sana, ili mchezaji uivae na uanze kikosi Cha kwanza ni lazima upambane sana.
@Official_cairah
@Official_cairah 16 дней назад
Tunachotaka ni point
@Kabeya410
@Kabeya410 16 дней назад
Mechi zipo nyingi wote watacheza msiwe na haraka ni uvumilvu tu
@zakariaomary6723
@zakariaomary6723 16 дней назад
Acheze tu kwani inaweza muathiri ki psychology na kuendelea kushuka kiwango
@moricemisungwi4818
@moricemisungwi4818 16 дней назад
Jaman ngoma ya Ney wamitego ni 🔥🔥🔥
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 16 дней назад
Jamani kocha ana majukumu yake,viongozi wana majukumu yao, mashabiki na wanachama na wapenzi wana majukumu yao. Sio vizuri kuingiliana ktk.majukumu yetu. Tumpe kocha uhuru wa kutimiza wajibu wake. Kila mmoja wetu anapenda kuwaona wote wakicheza lakini bado kocha ndiye mwamuzi na ndilo jukumu lake. Sisi kazi yetu kupiga makelele majukwaani na kwenye vijiiwe vya kubishana na akina Kisugu na GB 64. Haitakuwa sahihi kama Gamondi siku moja akatufundisha jinsi ya kushangilia na kubishana na akina Jemedari , hiyo kazi haiwezi na atakuwa anatukosea na sisi basi tusimkosee Gamondi na benchi lake. AMINA.
@FrankKafene
@FrankKafene 16 дней назад
Umeongea ukweli
@vincentkatabalo286
@vincentkatabalo286 16 дней назад
Asante sana
@RodgersMoshi-k4j
@RodgersMoshi-k4j 16 дней назад
@@reginaldmapunda6702 tumepata coch Gamond anajua nini anafanya kuna michezo mbele atacheza sana akifanya vizuri atapata namba tuweni wanasoka wanaojitambua
@RodgersMoshi-k4j
@RodgersMoshi-k4j 16 дней назад
@@reginaldmapunda6702 chamsongi bado yanga inafanya vizuri kwa hiyo pia kuna wachezaji wengi wajacheza why baleke??
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 16 дней назад
@@RodgersMoshi-k4j Jamani nimesema uongozi, kocha wanafahamu kuliko sisi na kama hatuwaamini semeni watoke. Shida ni Baleke au ninini? Wao ndio walimleta na wao ndio hawamtumii na sio Baleke tu, yupo pia msheri, Nkane, Faridi , Sure boy, Kibwana nk. Sisi tunataka matokeo mazuri hizi siri za kambini achaneni nazo. Ukimchunguza sana bata hutakula nyama yake.
@leoninga-y8i
@leoninga-y8i 16 дней назад
Sawa kabisa walter
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 15 дней назад
All the best ✅✅✅💛💛💛🖤🖤🖤🔰🔰
@RamadhaniMshana-gk6vm
@RamadhaniMshana-gk6vm 16 дней назад
Jaman tunaomb baleke kesh acheze dube kesho asicheze
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 16 дней назад
Kama hana no kwa nini mlimsajili mwachieni aende kupapmbana kwenye club nyingine?
@MwaiburuHalisi
@MwaiburuHalisi 16 дней назад
Kocha anazingua kwet yaaan baleke akose namba daaah Sasa cjui walimsajilia nini
@ZachariaPetro-gn8qc
@ZachariaPetro-gn8qc 15 дней назад
Huyu kocha mnamchekea tu ila kwa badae mtkuja kujuta
@sir-dmwaye1891
@sir-dmwaye1891 16 дней назад
Kocha anaakili sana Usikute kesho anacheza
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 16 дней назад
Allaah Akbar
@SubiraMohammed-ks6qg
@SubiraMohammed-ks6qg 16 дней назад
Mungu ijalie yanga yetu ipate ushindi inshallah
@hajishomari6221
@hajishomari6221 16 дней назад
Kwa maoni yangu kocha ni tatizo Sana kwa Sasa wachezaji wamemzidi uwezo mpaka anashindwa kuwatumia kwa nafasi zao
@barakaandrea9697
@barakaandrea9697 16 дней назад
Mlimsajilii wa nini sasa eti dube na mzize wote wanafunga kwahiyo mnataka baleke afunge akiwa benchi apewe nafasii kwani dube anakosa nafasi ngapii mchezajii apewe nafasi achezee ko alisajiliwa akae benchi au ndo mihemko kumkomoa mtani
@MsafiriJabu
@MsafiriJabu 16 дней назад
Sio kweli mtu hata San saiv awekwi kocha ana ttz saiv sema matokeo timu inashinda lkn km inatokea tunapoyeza mechi tn hizi za kawad kelele zitakuw nyingi hivi kwel kibwama hata kukaa benchi saiv hakaa na kumpa namana 2 job ama nkane kweli wale wanacheza nafas yake anajiskiaje kibwama
@asifznz
@asifznz 16 дней назад
HIVI NDIO MNAMALIZA MCHEZAJI, MBONA KAWAFUNGA WAJEREMANI KWA MBONGE KICHWA NA KATUHESHIMISHA MIMI SIKUBALIANI NA KOCHA ,MWONYESHENI MAGOLI WALIZOFUNGA WAKATI HUYO SIMBA,GAMONI HAPA KASOSEA
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 16 дней назад
Makocha changamoto kama ilivyo Babu kaju.
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 16 дней назад
Akocha wanajua Sana kwahiyo mtulie😊😊😊😊
@jumanneenos2481
@jumanneenos2481 16 дней назад
Angalau leo nimepata watu wa kumpinga Gamond, Gamond Hafaiiiiii
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 16 дней назад
Mnatamani saaana makolokwinyo hiyo hali yenu ya migogoro na kukosa raha ije kwetu....mmefeli. Gamondi anajua anachokifanya so shut up your mouth​@@jumanneenos2481
@mwanangusana
@mwanangusana 16 дней назад
​@@jumanneenos2481Duuuuh
@hassanhaji2032
@hassanhaji2032 16 дней назад
Kila la kher wananchi
@AntonyMbalamwezi-ld6tx
@AntonyMbalamwezi-ld6tx 14 дней назад
Hao wakina dube na mzize siyo wazoefu wa cat coach achunge
@josepeter8033
@josepeter8033 16 дней назад
Hii ndio maana ya team kubwa🎉😊
@mwansasujonny3536
@mwansasujonny3536 16 дней назад
Young Africans 🥇🏆 lazima
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu 16 дней назад
Acheze bhana sisi tunamtaka
@upepobeka6877
@upepobeka6877 16 дней назад
Mpangeni baleke ana uwezo mkubwa
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 16 дней назад
Kila la kheri inshaallah
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 16 дней назад
Kwani wamesajili wanini kocha kama huwezi mchezzesha aondoke tu
@oscarmwailubi5078
@oscarmwailubi5078 16 дней назад
Ndg viongozi wetu mm ni YANGA KINDAKINDAKI lkn naomba baleke aànze pewa hata dk 15 tu
@VeniciusWattson
@VeniciusWattson 16 дней назад
Mpeni muda bhana baleke ni mchezaji mzr achezi ubaguzi
@mdathirukajumulo9181
@mdathirukajumulo9181 16 дней назад
Baleke mchezaji mzuri kauli za kocha sio nzuri aangalie
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 16 дней назад
Tumezoea uongo Kama anavyotuda ganya kocha wa taifa stars.hata wanasiasa wanatudanganya Sana ,hatupendi ukweli
@ZachariaPetro-gn8qc
@ZachariaPetro-gn8qc 15 дней назад
Ukweli kocha anakosea sana unashindwa nini kumpatia hata dk15 za mwisho au dk10
@MomadeMudimoz70-cs2ud
@MomadeMudimoz70-cs2ud 16 дней назад
Haya Ndio Mafara Ya Kusajili Mchezaji Bila Kumshilikisha Kocha Baleke Ni Mchezaji Mzuri Sana Lakini Kocha Hamtaki inauma 😢😢😢😢🔰🔰🔰🙏🙏🙏
@JeremiaMathias-im8rp
@JeremiaMathias-im8rp 16 дней назад
polee
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 15 дней назад
Yanga mbovu kuwahi kutokea ni hii Kwa sasa watu hawataelewa ila muda utaongea inshallah
@NelbatKasekwa
@NelbatKasekwa 16 дней назад
Ndugu zangu tuache papara atacheza tu tusubili nakubali saana kocha wetu🎉🎉🎉🎉🎉
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 16 дней назад
Kocha amwamini Baleke.
@OmaryMajivuno
@OmaryMajivuno 16 дней назад
❤❤❤❤ good 👍
@FanuelBumija
@FanuelBumija 16 дней назад
Tunataka wachezaji wote wacheze kwa wakati huwezi ukawa kocha mkubwa kuliko wote Tanzania kweny ligi kuu na ligi zote uwe una ubaguzi wa wachezaji
@RizikiMbembela-b6h
@RizikiMbembela-b6h 16 дней назад
Wampe mchezaj nafasi acheze waache kutuletea upuuz
@SalminMpotasalmin
@SalminMpotasalmin 16 дней назад
yanga daimambele nyuma mwiko
@MonicaSimon-py3nx
@MonicaSimon-py3nx 16 дней назад
Inshallah ataanza kucheza nayeye kipindi cha kwanza
@amaniomar1755
@amaniomar1755 16 дней назад
Meneja wa ball 🎉🎉🎉
@erwineponda9015
@erwineponda9015 16 дней назад
Jamani washabiki nabwanachama wenzangu acheni Lugha mbovu kocha ndio anajuavamtumievnani kwa muda gani.Upuuzi maanavyake nini? Hii ni mexhi ya ngapi mpaka mseme hovyo? Kuweni na subra Baleke ataecheza sana.msiangalie sasa angalieni na kesho.
@geraldmmuya6658
@geraldmmuya6658 16 дней назад
Pamoja na maeleo mazuri mimi naona ipo haja ya Baleke kwa dakika kumi
@sadambakary1369
@sadambakary1369 16 дней назад
Point 3 muhim
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 16 дней назад
Humu kwenye comment naona na akina Deborah wamecomment
@KevoKyara
@KevoKyara 16 дней назад
Nikweli tunataka na baleke apangweee akiwashe
@Alexismadimo
@Alexismadimo 16 дней назад
Mungu pamoja nasi
@rachelcheyo-p5z
@rachelcheyo-p5z 16 дней назад
Love yanga
@andersonshimbi1378
@andersonshimbi1378 15 дней назад
Wewe ndiye fala unayesema eti kuna ufala kwa kutomchexesha Baleke, mbona huongelei Kipa Khomein au Mshery???
@babupiza641
@babupiza641 16 дней назад
Sasa mlimsajili wa nn mpeni nafasi
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 16 дней назад
Gamondi hamtaki baleke
@MirumbeMarwa-eo2yl
@MirumbeMarwa-eo2yl 16 дней назад
Hiv jamani super ligi haipo tena au
@innocentmmandago3029
@innocentmmandago3029 16 дней назад
Atacheza tu!
@davidobambo509
@davidobambo509 16 дней назад
Chama langu
@zakayomaendeleo
@zakayomaendeleo 14 дней назад
Siku Gamondi akijichanganya akampanga Othos basi itakuwa imeisha hiyo
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 7 дней назад
Mimi chifu Numbo Chifu Wa yanga nasema iviii tarehe kumi na tisa ni siku ya kuwapaka watu mafuta yaani ni upako kimafuta day au P Didi day
@baheroomary7217
@baheroomary7217 16 дней назад
Me sishangai maana julian Alvarez ameondka man city kw sbb apati nafas kubw yakucheza ila ukija kimfumo pale city uwez muweka benchi haland anaekupa kitu kila day kwcbb ya mtu mwngne acheze icho ndo kinachoendlea yanga Alvarez anaondka city pep bado anamuhtaj ila mwisho wa sku inakua tfaut
@abasimbeve6171
@abasimbeve6171 16 дней назад
Kocha some kila sababu ya kumpa nafasi alau ya dakika 10 ili tuone hata mapungufu yake yanayomfanta kutokuwa kwenye kikosi
@OscarIsmail-t4j
@OscarIsmail-t4j 16 дней назад
Timu ikiwa wanaongoza apewa nafasi nae
@SadikiKidundo
@SadikiKidundo 8 дней назад
Kwekweli baleke ni mchezaji mzuli tumuani ili arete matokeo apangwe
@neemaisrael688
@neemaisrael688 16 дней назад
Kila la heri young African.
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 7 дней назад
Tarehe kumi na tisa ni siku ya wese day makolo watakula nyingi hao daaah sijapata kuona
@kimalebanduka4229
@kimalebanduka4229 16 дней назад
Naungana na kocha na bechi la ufundi asilimia 100
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 13 дней назад
Yaani mashabiki wa Simba wanatusanifu sana "eti tulimsajili wa nini kama hachezi" Nadhani swali hili atujibie Eng. Hersi. Hersi ebu ingilia Baleke apewe hata dk 30 tu mechi ya ligi. Inamuathiri kisaikolojia kukaa bench tunaomba sana viongozi wetu.
@Festoffesto87
@Festoffesto87 15 дней назад
Wachezaji wote wawe wanacheza acheni maneno.Balete acheze mzizi dube baleke wawe wana badilishana kucheza tuwe seriously
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 16 дней назад
Mchezaji apewe mda wa kucheza musiuekipaji chake
@AntonyMbalamwezi-ld6tx
@AntonyMbalamwezi-ld6tx 14 дней назад
Acheni kutuzingua dube akaze mguu na clement alenge na afungue magoli ,ebu mpeni nafasi baleke wakongo wanapiga KAZI hawana uzembe au msonda mpeni namba akiwashe
@nkilatv6307
@nkilatv6307 16 дней назад
Wanainchi
@vincentkatabalo286
@vincentkatabalo286 16 дней назад
Washabiki na wanachama tusimuingilie kocha majukumu yake.
@EmanuelMiyonjo
@EmanuelMiyonjo 16 дней назад
Ushind mwingi
@magahzinyo7033
@magahzinyo7033 16 дней назад
Haji manara anafaa saana kuwa msemaji
@flaviabaruti7602
@flaviabaruti7602 16 дней назад
Mbona akina skudu, nkane hamwazungmzii
@HassanNdauka-x1z
@HassanNdauka-x1z 16 дней назад
Skudu tumeshamuacha
@hassanyange7331
@hassanyange7331 16 дней назад
Ingekuwa Nabi angecheza
@monicalucas3738
@monicalucas3738 16 дней назад
Hao wanaoshabikia Baleke acheze chungeni sana ni mamluki wanataka kutuchonganisha na Baleke.
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h 16 дней назад
Ombi langu kwa uongoz wa yanga naomba yanga iwe na wimbo maalumu Kila inapocheza lazma uimbwe
@FanuelBumija
@FanuelBumija 16 дней назад
Uyu kocha wetu kweny makipa ndo kabisa ana ubaguzi mkubwa sana so haki iyo bora angekuwa nabi tu nahisi kuna wachezaji apo yanga wanamchukia na kumsema vibaya huyo kocha bila kujua ni bora nabi kuliko uyo gamond na nabi hakuwa na ubaguzi hadi raha na timu inapata matokeo mazuri
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 16 дней назад
Kocha aeche ujinga amuchezeshe sisi tunqchangia timu sio kumbuka benchi
@flavianajohn5250
@flavianajohn5250 16 дней назад
We ndo mjinga wa kwanza hata ukipewa uongoze kuku huwezi
@ZaydShafii
@ZaydShafii 16 дней назад
Naamini atacheza tu
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 16 дней назад
Baleke awe anapata hata Dakika 15 jaman za kucheza
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 16 дней назад
Mkae mtulie msiwaze makocha wanajua wanafanya Nini akiingia akikosa magoli mtaanza kumlaumu
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 16 дней назад
@@lucymsheshi5871 we unamjua baleke au unamsikiaga tu
@fabianmattaba3465
@fabianmattaba3465 16 дней назад
Kuwafunga wajeruman tu haitoshi ni mzito ngoja apunguze uzito
@ShabaniMussa-f3k
@ShabaniMussa-f3k 12 дней назад
Huyu anaetukana kwenye coment msifuatilie sio yanga .
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 16 дней назад
Bareke kasajiliwa kukaa bechi au
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 16 дней назад
Kaeni kwa kutulia asipofunga mtaanza kelele Makocha wanajielewa
@JmMorata
@JmMorata 16 дней назад
Asugue benchi
@linahtemalirwa5700
@linahtemalirwa5700 16 дней назад
Baleke awepe nafsi,ili kocha aone
@masoudmongomongo244
@masoudmongomongo244 16 дней назад
Kocha hapangiwi kikisi.
@IshaKhamis-v3p
@IshaKhamis-v3p 16 дней назад
Wampe nafac tumuone kama kasajiliwa acheze tuona kiwango chake pia
@AllyJuma-p9g
@AllyJuma-p9g 16 дней назад
Kocha ww msenge unatuchanganya
@abubakarysaid2772
@abubakarysaid2772 16 дней назад
Msenge mwenyewe maku wewe
Далее
Katta janjal
00:29
Просмотров 291 тыс.
Раха Хабиб или Чимаев
0:21
Просмотров 417 тыс.