Тёмный

Barabara ya ByPass Kujengwa Iringa Kupitia Kihesa Mpaka Igumbilo | Asas Aeleza Mikakati 

Focus Digito TV
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 347
50% 1

Salim Abri Asas ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa (MNEC) akiwakilisha Mkoa wa Iringa, ametembelea na kukagua hali na hatua iliyofikiwa katika Utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mchepuo (ByPass) itakayorahisisha Mawasiliano kutoka Barabara Kuu ya Dodoma-Iringa kupitia kata ya Kihesa iliyopo katika Manispaa ya Iringa mpaka Igumbilo kwa njia ya mkato ambapo ujenzi wake utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 41 mpaka kukamilika.
Asas amefanya ukaguzi huo Agosti 10, 2024 katika Ziara yake ya Kuimarisha Chama na Kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM pamoja na kukagua hali ya Miradi ya Maendeleo Iringa Mjini ambapo amesema kuwa atahakikisha anafikisha taarifa hali ya Ujenzi wa Bypass hiyo katika vikao husika ili nguvu iweze kuongezwa kufanikisha mradi huo kukamilika kwa wakati kwani kuna manufaa makubwa yatapatikana kwa Serikali, kwa wananchi na kwa Taifa zima kiujumla pale mradi huo utakapokamilika na kuanza kufanya kazi mkoani Iringa.
Ujenzi wa 'ByPass' ya Barabara inayochepuka kutoka barabara kuu ya Dodoma-Iringa kupitia Kihesa itakuwa msaada kwani ina lengo la kupunguza msongamano wa magari makubwa Katika mji wa Iringa na kuweka wepesi wa magari ya Mizigo kuifikia Barabara Kuu ya Morogoro kuelekea Tunduma kupitia Iringa na magari ya abiria kuifikia Stendi kuu ya Igumbilo kwa urahisi zaidi.
Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.
Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani.
Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments.
#FocusDigitoTV
..................
Tufuatilie Zaidi kupitia:
INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team FocusDigitoTV

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1   
@KAMBAKAMBA-e8w
@KAMBAKAMBA-e8w 5 дней назад
💚💚ccm
Далее
Как вам наши образы?🥰🥰🤍🤍
00:10
🍏 Устарели ОФИЦИАЛЬНО! 🤡
00:32
Ruaha Catholic University 2017 ( HD Video)
9:45
Просмотров 34 тыс.
SAKATA LA MACHINGA IRINGA RC AFUNGUKA WANAPOWAPELEKA
1:46
Как вам наши образы?🥰🥰🤍🤍
00:10