Nimekuwa nikipoteza pesa wakati nimelewa kwa muda sasa, lakini hivi maajuzi nimegundua kwamba anayeniibia pesa zangu ni mke wangu binafsi , Je nifanye je? Naomba ushauri [kauli ya mteja wetu] #Barazani #MelodySinzore #InspekaMwala
4 дек 2019