23 july 2016, nilipatana na kamzae mlolongo. Kalikuwa kanadai usaidizi kulipia mjukuu school fee. kalikuwa na dollars in cash. Mimi nikamdanganya exchange rates ndio nikulie. Akanipea bunda la noti niende nazo bank lakini akanishow nimwachie kasecurity. Nikampea simu(my first smart phone 😭) na 4k...alafu nikabaki na kabambe ndio we communicate. Tamaa yangu ikanishow ni ingie choo ya municipality nitoe madollar kiasi niende nazo mtaaani.. Nilipigwa na butwaa man. Ile bunda ilikuwa na dollar juu na chini... Kati kati zilikuwa paper za kitabu ya hesabu😂😂.... Kumpigia simu alikuwa mteja man.
I wish I had watched this a little earlier ...I'm a victim kwanza was online business...... unadeposit kapesa unangoja kazaane but wapi kidogo button ya kuwithdraw inapotea..😂 .. platform Kama investors ... achievers.. richtec..scam
Let me expose someone tulikua na yeye St Ignatius Mukumu Boys High School anajiita FB Babake Dylan Ashiono, alitry kunicorn 7400 but nikamsho nimesota ndio nijue ni conman kumsho niko na 150 akasema tuma🤣🤣🤣He is even now conning people mostly high-school mates eti anapeana job Nairobi Water salo 48500/= but lazima you pay 7400/= ya uniform. 😅😅😅... I loved this topic coincidentally he tried to con me last week
Wwaaaaw those are True story hio ya Gold na valuable stones ni sha patana nayo. Ingine ni ile ya duplicating money hapa Wa Kenya wame ooshwa kwa wingi.....
Am watching the show, and as a youth let me tell fellow youth nothing comes fast and easy in life hakuna shortcuts u have to work, hard earned doh is sweet fast money is like a flood it sweeps u away fast
Manze mimi nili coniwa 6500 na ma jamaa wa van wanakushow card una scratch unapata Kama ume win then wanakushow umeshinda uwatumie doo na zile vitu umeshinda wanakudunga kama simu ya wikoo alafu 30k wanakutumia kwa mpesa na hivyo ndo niliconiwa.
Mii nikikoniwa na mluo fulani alinishw eti yeye ni pilot..Sasa alikuwa na dem fulani eti ni wife alikuwa anafanya KQ sasa kuona mama anakam shopee na zile nguo za KQ nikaamini msee wake ni pilot..Msee akanishw atanitafutia job saf so nimpe 30k hiyo story ni refu wacha tuu alikula 15k pekee lakini from hiyo day nimepatana na conmen na conwomen,hii nairobi,na hakuna mwenye alinitoa kwa ujaja...